ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
LandCruiser Hardtop 4X4 tena ina mkonga nje ingependeza sana !Sijui unatembea vipi ndani ya gari na kwa urefu gani. Lakini kuendesha masaa matatu tu njia ya lami safi unabadili kila mkao kama dereva.
Sasa kukaa ndani ya gari kwa masaa sita njia ya mabonde kama mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya sehemu zingine. Huko ni kutafuta kutengeuna viuno.
Better still kuna durability ya hayo magari, jamaa wanazunguka na hayo magari sio mzaha hasa mawaziri (kwakweli wanastahili hizo gari). Kuna sehemu hawa watu wanaenda njia zake sio mzaha.
Sikubaliani na matumizi mengi ya hovyo ya serikali ya Tanzania, Ila sio kwenye luxury 4x4 za viongozi, jamaa wanazunguka.
Unadhani kwanini IST zipo mijini tu sio vijijini.
Bei nafuu ya kununulia na ni imara zaidi na maintainance yake ni rahisi sana !
Kila ndege huruka kwa ubawa wake !
Kama Nchi ni masikini tuende hivyo hivyo kwa umasikini wetu !
Wapo Viongozi waliokuwa wakitembelea LandRover 109 na hawakutenguka viuno !
Kupanga ni kuchagua !
Naona tumechagua Kazi na Bata !
Kazi kidogo Bata mingi 🤣👍🙏