Ngoja nikaze mkuu, unaona nimejilazimisha kusinzia hapa baada ya kuileta hii thread lakini baada ya dakika 37 nimeshtuka na sijui kama usingizi utakuja tena na ukirudi ujue kumi na moja hiyo😭Kuna uhusiano mkubwa sana , insomnia inakuja kama moja ya dalili za alcohol withdrawing, hapo kaza kidogo baada ya Siku 28 mwili utarudi mahala pake ..hongera kwa maamuzi mazuri ingawa sisi bado tunaliendeleza
Vidonge sio vizuri akiwa na addicted navyo italeta shidaNdyo, kuna mahusiano. Kukosa usingizi au pia unaota mindoto ya ajabu ajabu ya kukurusha roho/moyo ghafla ucku.
Cha kufanya endelea kukaza. But sometimes tumia vidonge vitakavyokupa usingizi kama vile pirton n. k, lakini usijizoeshe
Sasa kwa wengine ni ile hali nikoanza chuoa ya kwanza tu kitakachonifanya niondoke hapo ni kama nimeishiwa cash and sometimes kama ni karibu na sehemy huduma za kifedha bhasi nitaenda kufanya mhamala ili niendelee. Hii hali inaharibu sana malengo. Ninazo cases zinazonihusu nyingi tu za kumaliza fedha niliyokuwa nimepanga nifanyie kitu fulani kisa pombe😀Mi silali hata siku 3 nisipopiga ubwii.
Siku 3-4 huku nakunywa Cola,kahawa ,chai
Nimeamua nijinywee tu.nalala poa kabisa
Vidonge sio vizuri akiwa na addicted navyo italetaNdyo, kuna mahusiano. Kukosa usingizi au pia unaota mindoto ya ajabu ajabu ya kukurusha roho/moyo ghafla ucku.
Cha kufanya endelea kukaza. But sometimes tumia vidonge vitakavyokupa usingizi kama vile pirton n. k, lakini usijizoeshe
Nilipigwa homa kali sana ile sikukuu ya muungano 26/04.. Kwa sababu nilifululiza pombe wiki nzima bila kuacha. Aiseee almanusura nitembee mazima nashukuru nilipata matibabu mapema.Kwanza nawasalimia wakubwa kwa wadogo. Sasa ni almost two weeks nimeacha pombe, hapo mwanzo nakili kuwa nilikuwa mnywaji mzuri tu (moderately drunken) yaani ni ile hali ya kunywa hata siku tatu mpaka nne mfululizo in a week kwa hali ya kawaida. Na hii iliwezekana kwasababu kazi ninayofanya inanipa nafasi ya muda mwingi kuwa free na kuassociate na watu wengi eneo la kazi na nyumbani pia. Tatizo limekuja sasa, kwa maamuzi yangu mwenyewe bila kushurutishwa nimeamua kusimama kunywa pombe, sasa kipya kilichotokea ni kwamba nakosa usingizi karibia usiku mzima. Yaani kama nikisinzia basi ni nusu saa au lisaa then nashtuka, hapo inaweza ikachukua mpaka masaa manne mpaka nane bila kusinzia tena.
Hii hali imepelekea kutumia muda mwingi kwenye social media kama JF au kuangalia movies especially series kama bundle la Internet limekata huo usiku. Usiombee uwe addicted na Internet alafu bundle likakuishia usiku wa manane alafu usingizi hauna😂😭. Imefikia hatua sasa naona kama maamuzi niliyochukua yanataka kuniletea madhara mengine ambayo sikuwahi kuyaexperience hapo before. Imefikia hatua nawaza sana mambo mengi usiku hata kubadirisha habit ya kula( Sikuwaga na tabia ya kula usiku wa manane siku za nyuma, ila kwasababu muda mwingi niko macho njaa inauma inabidi nipate chochote nilichokiacha jioni).
Sasa nauliza niendelee kukaza labda hapo mbele hali itabadirika ila ndio naingia mazima kwenye insomnia na madhara yake? Karibuni wakuu tushauriane.
Arushaone
min -me
Mbaga Jr
Dr Adam Francis
Dr Ahmed Albah-Shahwa
Seran
Na wengineo
Usingizi hakuna mzee mimi nipo siku 20+ sijabwia kilaji . Hali ilikua mbaya ila nauona mwanga . Nasoma soma biblia muda kama huu nirudishe mahusiano na aliye juu.Kwanza nawasalimia wakubwa kwa wadogo. Sasa ni almost two weeks nimeacha pombe, hapo mwanzo nakili kuwa nilikuwa mnywaji mzuri tu (moderately drunken) yaani ni ile hali ya kunywa hata siku tatu mpaka nne mfululizo in a week kwa hali ya kawaida. Na hii iliwezekana kwasababu kazi ninayofanya inanipa nafasi ya muda mwingi kuwa free na kuassociate na watu wengi eneo la kazi na nyumbani pia. Tatizo limekuja sasa, kwa maamuzi yangu mwenyewe bila kushurutishwa nimeamua kusimama kunywa pombe, sasa kipya kilichotokea ni kwamba nakosa usingizi karibia usiku mzima. Yaani kama nikisinzia basi ni nusu saa au lisaa then nashtuka, hapo inaweza ikachukua mpaka masaa manne mpaka nane bila kusinzia tena.
Hii hali imepelekea kutumia muda mwingi kwenye social media kama JF au kuangalia movies especially series kama bundle la Internet limekata huo usiku. Usiombee uwe addicted na Internet alafu bundle likakuishia usiku wa manane alafu usingizi hauna😂😭. Imefikia hatua sasa naona kama maamuzi niliyochukua yanataka kuniletea madhara mengine ambayo sikuwahi kuyaexperience hapo before. Imefikia hatua nawaza sana mambo mengi usiku hata kubadirisha habit ya kula( Sikuwaga na tabia ya kula usiku wa manane siku za nyuma, ila kwasababu muda mwingi niko macho njaa inauma inabidi nipate chochote nilichokiacha jioni).
Sasa nauliza niendelee kukaza labda hapo mbele hali itabadirika ila ndio naingia mazima kwenye insomnia na madhara yake? Karibuni wakuu tushauriane.
Arushaone
min -me
Mbaga Jr
Dr Adam Francis
Dr Ahmed Albah-Shahwa
Seran
Na wengineo
Mbona vitisho mkuuUsinywe bia au mapombe makali just kunywa wine zenye ABV YA 18% Z NA KUNYWA 1 BOTTLE YENYE ML CHINI YA 700 KILA SIKU PIGA CHUPA 1....hakuna kuacha tayari figo na ini lako lina shida hata ukiacha haisadii kitu tena ndo utakufa faster zaidi
Hiyo mbinu hata mm nimeitumia imenisaidia,neno la Mungu linanguvuUsingizi hakuna mzee mimi nipo siku 20+ sijabwia kilaji . Hali ilikua mbaya ila nauona mwanga . Nasoma soma biblia muda kama huu nirudishe mahusiano na aliye juu.
Yaani ulichokosema mkuu ndio mimi nipitia hali hiyo mpaka inanipa wasiwasi. Tukomae mkuu tuone mwisho wake.Nilipigwa homa kali sana ile sikukuu ya muungano 26/04.. Kwa sababu nilifululiza pombe wiki nzima bila kuacha. Aiseee almanusura nitembee mazima nashukuru nilipata matibabu mapema.
Tangu hiyo siku sijanywa pombe so, ni wiki mbili sasa sijagusa mtungi ila kama usemavyo ni mauzauza usiku ukibahatisha kusinzia kidogo, Ukishtuka kuupata usingizi ni kazi mno.Yaani ni utageukageuka hadi azana za msukitini unazisikia alfajiri. Usingizi ni wa mang'amng'am tu, kiukweli nakesha maana usingizi naupata saa 12 asubuhi. Ngoja nikomae nione mwisho wake utakuwaje maana wnasema ni mabadiriko ya mwili mtu anapitia baada ya kuacha pombe kwa mda fulani.
Anataka awe huyuUnaacha pombe ili ufanye kitu gani?