Ukikomaa unatoboa bila kufanya chochote kama unakula na unafanya kazi au mazoezi ya nguvu kidogo (siyo sana)na kulala unapojisikia usingizi. Ila pia kurahisisha mchakato unaweza tumia vidonge au kidonge cha "multivitamins" kila siku (fata masharti) mpaka uanze jisikia kawaida. Tafuta chenye vitamin B kadhaa ndani yake, hasa vitamin B1 na vitamin B12.Nilipigwa homa kali sana ile sikukuu ya muungano 26/04.. Kwa sababu nilifululiza pombe wiki nzima bila kuacha. Aiseee almanusura nitembee mazima nashukuru nilipata matibabu mapema.
Tangu hiyo siku sijanywa pombe so, ni wiki mbili sasa sijagusa mtungi ila kama usemavyo ni mauzauza usiku ukibahatisha kusinzia kidogo, Ukishtuka kuupata usingizi ni kazi mno.Yaani ni utageukageuka hadi azana za msukitini unazisikia alfajiri. Usingizi ni wa mang'amng'am tu, kiukweli nakesha maana usingizi naupata saa 12 asubuhi. Ngoja nikomae nione mwisho wake utakuwaje maana wnasema ni mabadiriko ya mwili mtu anapitia baada ya kuacha pombe kwa mda fulani.
Shukrani sana mkuu kwa ushauri wako. Nitauzingatia maana hii vita ni kali sana🙏Ukikomaa unatoboa bila kufanya chochote kama unakula na unafanya kazi au mazoezi ya nguvu kidogo (siyo sana)na kulala unapojisikia usingizi. Ila pia kurahisisha mchakato unaweza tumia vidonge au kidonge cha "multivitamins" kila siku (fata masharti) mpaka uanze jisikia kawaida. Tafuta chenye vitamin B kadhaa ndani yake, hasa vitamin B1 na vitamin B12.
Unaweza pia tumia vidonge au kidonge cha vitamin B Complex kama mbadala (fata masharti). Hizi si dawa halisi bali ni vitamins tu ambazo zipo pia kwenye vyakula ila wataalam wanaziweka kwenye vidonge. Unashauriwa kuzitumia unapokua na afya duni (mfano kujifungua, ujauzito, ulevi etc) na ni kwa muda tu. Ila pia unaweza vitumia mara kwa mara kama mlo wako ni wa mashaka.
Ni kweli mkuu.Hivi hizi ndoto za kutisha na kuogofya zinauhusiano gani na pombe? Yaan kama mnywaji siku ukipumzika/ kuacha tu lazima ukose usingizi na ukiupata basi utashtuliwa na ndoto za ajabuajabu unazoziota mda mfupi tu baada ya kupata kausingizi.Yaani ulichokosema mkuu ndio mimi nipitia hali hiyo mpaka inanipa wasiwasi. Tukomae mkuu tuone mwisho wake.
Anza gym na piga mazoezi ya maana kila jioni Utasinzia tuuu.Kwanza nawasalimia wakubwa kwa wadogo. Sasa ni almost two weeks nimeacha pombe, hapo mwanzo nakili kuwa nilikuwa mnywaji mzuri tu (moderately drunken) yaani ni ile hali ya kunywa hata siku tatu mpaka nne mfululizo in a week kwa hali ya kawaida. Na hii iliwezekana kwasababu kazi ninayofanya inanipa nafasi ya muda mwingi kuwa free na kuassociate na watu wengi eneo la kazi na nyumbani pia. Tatizo limekuja sasa, kwa maamuzi yangu mwenyewe bila kushurutishwa nimeamua kusimama kunywa pombe, sasa kipya kilichotokea ni kwamba nakosa usingizi karibia usiku mzima. Yaani kama nikisinzia basi ni nusu saa au lisaa then nashtuka, hapo inaweza ikachukua mpaka masaa manne mpaka nane bila kusinzia tena.
Hii hali imepelekea kutumia muda mwingi kwenye social media kama JF au kuangalia movies especially series kama bundle la Internet limekata huo usiku. Usiombee uwe addicted na Internet alafu bundle likakuishia usiku wa manane alafu usingizi hauna😂😭. Imefikia hatua sasa naona kama maamuzi niliyochukua yanataka kuniletea madhara mengine ambayo sikuwahi kuyaexperience hapo before. Imefikia hatua nawaza sana mambo mengi usiku hata kubadirisha habit ya kula( Sikuwaga na tabia ya kula usiku wa manane siku za nyuma, ila kwasababu muda mwingi niko macho njaa inauma inabidi nipate chochote nilichokiacha jioni).
Sasa nauliza niendelee kukaza labda hapo mbele hali itabadirika ila ndio naingia mazima kwenye insomnia na madhara yake? Karibuni wakuu tushauriane.
Arushaone
min -me
Mbaga Jr
Dr Adam Francis
Dr Ahmed Albah-Shahwa
Seran
Na wengineo
Yaani ndoto ya kwanza nimesinzia tu naona mti unanidondokea nikashtuka kwa kasi kama na ukwepa vile kumbe ndio naruka toka side moja ya kitanda mpaka nyingine. Usiku huo huo baadae tena nikaota gafra katokea mtu ananishushia kitu kama jiwe hivi nilipolala nikashtuka kwa kasi sana. Baada ya hapo sikulala mpaka kumi na moja na kushtuka mida ya saa moja na nusu asubuhi. Aisee wenye nia ya kuachana na maji ya dhahabu tunakazi kwakweli. Ila kuna mdau mmoja katupa moyo na kusema kuwa itachukua siku chache tu na mwili utazoea na kurudi kwenye hali yake. Tukaze mkuu😊Ni kweli mkuu.Hivi hizi ndoto za kutisha na kuogofya zinauhusiano gani na pombe? Yaan kama mnywaji siku ukipumzika/ kuacha tu lazima ukose usingizi na ukiupata basi utashtuliwa na ndoto za ajabuajabu unazoziota mda mfupi tu baada ya kupata kausingizi.
On me it was just all over the suddenly maana niliamka nina hang over kali sana, mwili unatetemeka, hamu ya kula sina (Soup haipandi) nikaishia kula kula kidogo tu na kunywa maji the whole day. Shuguli ilianza usiku joto la mwili limepanda na kichwa kinagonga vibaya mno. Nikajiambia haya yote ya nini? Pesa yangu mbaya zaidi washkaji nawanunulia mimi, nikajiapia kuwa ngoja nihangaike kuuweka mwili sawa ila pombe ndio bhasi, bora hii hela ninayotumiaga huku niielekeze sehemu nyingine tuUnaachaje pombe mkuu😂
Punguza taratibu💯
Utaweza mkuu ila kuacha ghafla ndio hivo mwili unachoka ila baadaye utazoea.On me it was just all over the suddenly maana niliamka nina hang over kali sana, mwili unatetemeka, hamu ya kula sina (Soup haipandi) nikaishia kula kula kidogo tu na kunywa maji the whole day. Shuguli ilianza usiku joto la mwili limepanda na kichwa kinagonga vibaya mno. Nikajiambia haya yote ya nini? Pesa yangu mbaya zaidi washkaji nawanunulia mimi, nikajiapia kuwa ngoja nihangaike kuuweka mwili sawa ila pombe ndio bhasi, bora hii hela ninayotumiaga huku niielekeze sehemu nyingine tu
Ni kweli, huwa siku za kwanza usingizi utasumbua kidogo, ni sehemu ya kile kinachoitwa alcohol withdrawal, ila baada ya wiki moja hadi mbili utakikuta ubongo wako umerudi kwenye hali yake ya kawaida.Kwanza nawasalimia wakubwa kwa wadogo. Sasa ni almost two weeks nimeacha pombe, hapo mwanzo nakili kuwa nilikuwa mnywaji mzuri tu (moderately drunken) yaani ni ile hali ya kunywa hata siku tatu mpaka nne mfululizo in a week kwa hali ya kawaida. Na hii iliwezekana kwasababu kazi ninayofanya inanipa nafasi ya muda mwingi kuwa free na kuassociate na watu wengi eneo la kazi na nyumbani pia. Tatizo limekuja sasa, kwa maamuzi yangu mwenyewe bila kushurutishwa nimeamua kusimama kunywa pombe, sasa kipya kilichotokea ni kwamba nakosa usingizi karibia usiku mzima. Yaani kama nikisinzia basi ni nusu saa au lisaa then nashtuka, hapo inaweza ikachukua mpaka masaa manne mpaka nane bila kusinzia tena.
Hii hali imepelekea kutumia muda mwingi kwenye social media kama JF au kuangalia movies especially series kama bundle la Internet limekata huo usiku. Usiombee uwe addicted na Internet alafu bundle likakuishia usiku wa manane alafu usingizi hauna😂😭. Imefikia hatua sasa naona kama maamuzi niliyochukua yanataka kuniletea madhara mengine ambayo sikuwahi kuyaexperience hapo before. Imefikia hatua nawaza sana mambo mengi usiku hata kubadirisha habit ya kula( Sikuwaga na tabia ya kula usiku wa manane siku za nyuma, ila kwasababu muda mwingi niko macho njaa inauma inabidi nipate chochote nilichokiacha jioni).
Sasa nauliza niendelee kukaza labda hapo mbele hali itabadirika ila ndio naingia mazima kwenye insomnia na madhara yake? Karibuni wakuu tushauriane.
Arushaone
min -me
Mbaga Jr
Dr Adam Francis
Dr Ahmed Albah-Shahwa
Seran
Na wengineo
Mkuu kupitia coment yako ndio nimejua kumbe mwaka jana kichwa kimenisumbua kwa miezi 7 mfululizo kumbe kisa pombe kali nashangaa tangu januari hali haipo maana kila siku nilikua nabwiya panadolOn me it was just all over the suddenly maana niliamka nina hang over kali sana, mwili unatetemeka, hamu ya kula sina (Soup haipandi) nikaishia kula kula kidogo tu na kunywa maji the whole day. Shuguli ilianza usiku joto la mwili limepanda na kichwa kinagonga vibaya mno. Nikajiambia haya yote ya nini? Pesa yangu mbaya zaidi washkaji nawanunulia mimi, nikajiapia kuwa ngoja nihangaike kuuweka mwili sawa ila pombe ndio bhasi, bora hii hela ninayotumiaga huku niielekeze sehemu nyingine tu
Mkuu hii ndo ilinitokea mimi hiyo tarehe 26/04.., aiseee, ile homa sijawahi kuumwa. Mimi wakutapika mbele za watu hata kujizuia nilishindwa. Hamna chakula kinapanda hata kidogo, nikila natapika chote na hapo na kuhara kila baada ya dk10. Pombe ile nilihisi nimekunywa sumu dadeki. Hadi leo sitamani kwakweli!On me it was just all over the suddenly maana niliamka nina hang over kali sana, mwili unatetemeka, hamu ya kula sina (Soup haipandi) nikaishia kula kula kidogo tu na kunywa maji the whole day. Shuguli ilianza usiku joto la mwili limepanda na kichwa kinagonga vibaya mno. Nikajiambia haya yote ya nini? Pesa yangu mbaya zaidi washkaji nawanunulia mimi, nikajiapia kuwa ngoja nihangaike kuuweka mwili sawa ila pombe ndio bhasi, bora hii hela ninayotumiaga huku niielekeze sehemu nyingine tu
Hapo kwenye kunywa maji mengi jioni si ataishia kushtuka kwenda kukojoa mara kwa mara usikuKwanza hongera kwa hatua uliyoichukua. Fanya hivi bro. Kila siku jion hakikisha umefanya mazoezi ya kukimbia ili usweat na hapo hapo unakunywa maji kwa wingi yani maji kunywa hadi wakushangae na tena uepuke kutumia vinywaji vya kahawa kahawa ndan ya cku 3 utaona change. Kaza bro usirudi tena huko japo ukumbuke marafiki lazma wakutenge. Kama una wife mwambie ahakikishe anakupikia uji kila jion after mazoezini and you will thank me later.