Kuna mahusiano kati ya kuacha pombe na kukosa usingizi(Insomnia)?

Kuna mahusiano kati ya kuacha pombe na kukosa usingizi(Insomnia)?

Kiukweli na kama Kuna mtu anatumia spirit hizi konyagi, k -vant, value na visungura aina yoyote hakikisha unaacha mara moja kwa usalama wa afya yako.
Na hizi bia light zoote hakikisha unaziacha.
[/QUOTE] vyote hapo sawa ila nyagi my dear siwezi. Acha kunywa hiy nyagi ndogo nunua lile kubwa hata ladha yake tofauti hizi ndogo ladha yake sawa na visungura tu lakini nyago kubwa hata stimu yake ni tofauti wakwetu. Na unapokunywa dont mix with sijui energy mara soda ndimu tumia ice tu au maji ya baridi yanatosha. Hapo kwa nyagi mm kwa upande wangu i have been drinking nyago kubwa since 201 ikiwa 3k hadi leo 12k wanywa wine na whisky figo zilisha feli mim bado napeta. Watu tuache kuiga uzungu na ukemia ati unachanga aina nying ya pombe cjui kutengeza mocktail cjui cocktail huo mchanganyiko ni sumu. Na kuna konyagi za kenya zipo nchini sawa na visungura tu
 
Iyo inaoaswa kuwa kabla ya jioni, kumbuka inshu yake ni usingizi
kuja akose usingz ni kwa kuwa bado pombe ipo mwilini bro na njia ya kuitoa ni mkojo na jasho na ikishatoka atalala kama mtoto mdogo. Usiku atakapokua amekunywa maji ameingia kurelax mwili unafanya kazi yake kwa kuchuja huo uchafu na baada ya mda mwili utarudi tu sawa na ni baada ya kiwango cha pombe kupungua mwilini.
 
Back
Top Bottom