Habari wanaJF,
Naomba niwashirikishe ndoto yangu;
Nikiwa chuo mwaka wa pili semister ya kwanza tulikuwa katika chumba cha mtihani mchana, tulikuwa tunafanya Financial Accounting kiukweli yale maswali nilikuwa nayafahamu ajabu wakati naanza kufanya ule mtihani ilinitokea hali ya tofauti.
Nilifanikiwa kufanya swali moja tena ilikuwa ni nusu tu swali na nikashangaa masaa 3 yameisha bila kumaliza maswali ya mtihani. Wakati natafakari cha kuandika nilishtuka hali ya kujisikia kufika kileleni kama vile nilikuwa nafanya mapenzi ili hali nimekaa kwenye kili tena chumba cha mtihani. Nilifanikiwa kupata supplimentary na Mungu alisaidia nikaclear.
Tokea hapo nimekuwa nikiota nafanya mtihani ila mtihani wenyewe unakuwa ni mgumu kupita maelezo na huwa sifanikiwa kujibu swali hata moja, halafu nashtuka najisikia kama nilikuwa nafanya mapenzi basi nachukia najikagua kama nimechafuka lakini hamna kitu.
Hii ndoto imekuwa ikinisumbua sana mambo ya kufanya mtihani ndotono kwa kweli sipendi
Je, hii ndoto ina mahusiano gani na maisha ya kawaida kwa wale wanaofahamu?