Kuna Maisha Nyuma ya Hizi 'ID' Zetu, Tusiache Kupendana ❤️

binafsi kama mtumishi na kiongozi wa wananchi,
wadau wote wa JF ni ndugu, jamaa na marafiki zangu.

nitawaheshimu, nitawathamini na kuwapenda daima licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi.

Siwezi kua na chuki ya muda mfupi au muda mrefu na mdau yeyote yule wa Jf kwasababu yoyote ile jukwaani.

I love you all my fellow Tanzanians without any condition 🐒
 
Nyuma ya hizi ID Kuna watu nawapenda na kuwakubali sana.

Unaweza kumwelewa mtu kutokana na uandishi wake.
Ukajua tu huyu ni mtu wa aina gani.
Wakati mwingine unafurahi tu kusoma comment zake.
Na hata ukiwa nje ya Jukwaa unawamiss tu.
Na hata wakati mwingine unaingia Jukwaani Ili usome nyuzi zao, comment au likes zao.
Wengine Avatar zao zinavutia sana.

Narudi kuwataja Vipenzi wangu 😘
 
the legendary Mshana Jr 🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…