Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Mtumishi shangaziyo😁Astakafirilah mtumishi 🙆
Mtumishi shangaziyo😁Astakafirilah mtumishi 🙆
Hivi Kuna watu ambao wamefikiwa na hiyo update?Update ni nzuri kusema ukweli japo bado haijawa stable ikitulia nadhani itakuwa best version ya JF app.
Developer wakifanyia kazi comment section,PM na kwenye profile pale kwenye notification button huwezi kurudi kwenye mada husika ukipata notification(inabaki blank)
Kiufupi updated version ikiwa stable ni ya moto
Uno Luv.Amri iliyo kuu ni UPENDO! Basi tupendane..
Leo nimekaa nikitafakari kwa kina kuhusu jukwaa letu.
Mara nyingi tunakutana humu kuchangamsha akili, kubishana, na wakati mwingine kupeana changamoto za kimaisha.
Lakini ukweli ni kwamba, nyuma ya kila jina unaloliona humu (hata yale ya kufikirika), kuna binadamu halisi.
Kuna mtu anasoma posti yako huku yuko wodini anaumwa, mwingine ananuka madeni, mwingine kaachwa...
Mwingine kapoteza kazi, mwingine ana msongo mkubwa wa mawazo na JF ndio kimbilio lake pekee la kupoteza muda ili asijisikie mpweke.
Humu ndani wengi hatujuani kwa sura, lakini mioyo yetu inagusana kupitia maandishi yetu.
Huu uzi sio wa ligi wala malumbano. Ni uzi wa faraja. Kama kuna mwana-JF uandishi wake umewahi kukufariji siku ukiwa na upweke, mtag hapa umwambie "Asante". Kama uliwahi kumkwaza mtu kwa maneno makali humu ndani, omba msamaha hapa.
Maisha ni mafupi mno, na hatujui kesho yetu.
Tuigeuze JF kuwa sehemu salama (safe space) ya kupendana, kufarijiana, na kuinuana kiroho.
Mimi nawaombea heri na baraka ninyi nyote mnaosoma ujumbe huu. Mungu awabariki na kuwapa amani ya mioyo yenu. Nawapenda sana! 🙏🌹View attachment 3648845
Dah kudadeki 😂Mtumishi shangaziyo😁
Kwenye playstore bado kuna image ya old version ya JF.Sasa napata wapi kama playstore bado? Mbona sikuelewi?
Yeah binafsi natumia updated version japo sio stable ni kama trial versionHivi Kuna watu ambao wamefikiwa na hiyo update?
Ulipakua au ulifanyeje mkuu.Yeah binafsi natumia updated version japo sio stable ni kama trial version
Yeah nilipakua kwenye playstore japo inabidi kuondoa old version kwanza tofauti na hapo ukienda playstore huwezi kupata updated version bila kufuta uliyonayo kwenye simuUlipakua au ulifanyeje mkuu.
Haya mkuu let me tryKwenye playstore bado kuna image ya old version ya JF.
Fanya hivi:
I:Uninstall old version(uliyonayo sasa hivi)
II:Fungua playstore nenda kwenye search bar type JamiiForums.
III:Itakuja app ya JF yenye image yake ya zamani(usiogope update haijawa stable ndio maana)
IV:Bonyeza button ya Install(subiri imalize,utakuwa tayari kupata updates)
Note:Hii kwa watu wa android huko kwingine sijui inaonekana bado sio stable nadhani ni trial version lakini baada ya muda watafix itakuwa sawa
Poa poa all the bestHaya mkuu let me try
Ngoja niipakue ili nami nienjoy.Yeah nilipakua kwenye playstore japo inabidi kuondoa old version kwanza tofauti na hapo ukienda playstore huwezi kupata updated version bila kufuta uliyonayo kwenye simu
Poa poa kila la kheri kiongoziNgoja niipakue ili nami nienjoy.
Eeeewaaaa! Fanya chaap.Nitakupa hela 😀
Imework ila haiko sawa kabisa Daah yaani haizoelekiPoa poa all the best