Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #141
Binafsi Nashindwa kiwaelewa
View attachment 3648878
Binafsi Nashindwa kiwaelewa
View attachment 3648878
Thank you mama watoto wangu. Nakupenda sana. Hakika kwangu wewe ni mzuri kuliko pesaUkimpenda mkeo inatosha
Mpende mkeo ukishindwa basi hata mama YakoThank you mama watoto wangu. Nakupenda sana. Hakika kwangu wewe ni mzuri kuliko pesa
Nakupenda mke wanguMpende mkeo ukishindwa basi hata mama Yako
FayaaaaaNakukubali mkuu 💪.
Barikiwa SanaAmina sana🙏🏽
Mzee kuwa na shobo haipendeziNakupenda mke wangu
Shikamoo shoboMzee kuwa na shobo haipendezi
Sasa tutakuwaje serious na fake id lakini😅🤣🤣🤣 Why kinafki
licha ya wengi wenu kuendeshwa na hisia potofu useless, nitaendelea kuwapenda zaidi kwasababu ndio ndugu zangu,You can't love us kama huwezi kulaani udhalimu wa mama yenu kwetu.

🤣🤣🤣 Dah ni kunafikiana tu maana kuna ufake ndani hapa 🤣Sasa tutakuwaje serious na fake id lakini😅
Hiii nidharau unaomba msamaha kwa lugha ya kikoloni uzalendo upo wapi.....I love everyone, please forgive me for those I have offended,,,
And even those who hate me,pleas bear with me , I am not perfect.
Forgive me for my language 🙏Hiii nidharau unaomba msamaha kwa lugha ya kikoloni uzalendo upo wapi.....
Nonsense.licha ya wengi wenu kuendeshwa na hisia potofu useless, nitaendelea kuwapenda zaidi kwasababu ndio ndugu zangu,
sasa ntafanyaje unadhani?![]()
Amri iliyo kuu ni UPENDO! Basi tupendane..
Leo nimekaa nikitafakari kwa kina kuhusu jukwaa letu.
Mara nyingi tunakutana humu kuchangamsha akili, kubishana, na wakati mwingine kupeana changamoto za kimaisha.
Lakini ukweli ni kwamba, nyuma ya kila jina unaloliona humu (hata yale ya kufikirika), kuna binadamu halisi.
Kuna mtu anasoma posti yako huku yuko wodini anaumwa, mwingine ananuka madeni, mwingine kaachwa...
Mwingine kapoteza kazi, mwingine ana msongo mkubwa wa mawazo na JF ndio kimbilio lake pekee la kupoteza muda ili asijisikie mpweke.
Humu ndani wengi hatujuani kwa sura, lakini mioyo yetu inagusana kupitia maandishi yetu.
Huu uzi sio wa ligi wala malumbano. Ni uzi wa faraja. Kama kuna mwana-JF uandishi wake umewahi kukufariji siku ukiwa na upweke, mtag hapa umwambie "Asante". Kama uliwahi kumkwaza mtu kwa maneno makali humu ndani, omba msamaha hapa.
Maisha ni mafupi mno, na hatujui kesho yetu.
Tuigeuze JF kuwa sehemu salama (safe space) ya kupendana, kufarijiana, na kuinuana kiroho.
Mimi nawaombea heri na baraka ninyi nyote mnaosoma ujumbe huu. Mungu awabariki na kuwapa amani ya mioyo yenu. Nawapenda sana! 🙏🌹View attachment 3648845
Mungu akubariki na kukupa amani ya moyo wako. Nakupenda sana! 🙏🌹Amri iliyo kuu ni UPENDO! Basi tupendane..

Kuna mmoja alisikika akisema hivi naomba nimnukuuForgive me for my language 🙏
sifahamu gentleman,Nonsense.
Jana ametuitaje akiwa Zanzibar?
Ni hisia hizo?!