Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Yeah ndio maana nilisema bado haiko stable watarekibisha soon lakiniImework ila haiko sawa kabisa Daah yaani haizoeleki
Yeah ndio maana nilisema bado haiko stable watarekibisha soon lakiniImework ila haiko sawa kabisa Daah yaani haizoeleki
Sawa ila naona haitaweza kuipikubweb versionYeah ndio maana nilisema bado haiko stable watarekibisha soon lakini
Yeah binafsi huwa natumia zote mbili web na App lakini hii version ikiwa stable ntarudi mazima kwenye app.Kwangu naona ni nzuriSawa ila naona haitaweza kuipikubweb version
🤣🤣🤣🤣Umeanza Sasa,nasema umeanzaa Sasa, Mwashambwa kumanyokooooo
Labda wataiboresha zaidi mimi naona muundo wa threads hakuja kaa appealing kabisa... Kwanza fonts ndogo sanaYeah binafsi huwa natumia zote mbili web na App lakini hii version ikiwa stable ntarudi mazima kwenye app.Kwangu naona ni nzuri
Font size unaweza kuongeza.Nenda kwenye profile,fungua settings hapo kuna sehemu ya text size unaweza kuongeza font sizeLabda wataiboresha zaidi mimi naona muundo wa threads hakuja kaa appealing kabisa... Kwanza fonts ndogo sana
Sio kwamba ndogo sioni ila wameifanay kuwa kama Twitter hivi... Which is not bad either... Labda nitaizoea tuFont size unaweza kuongeza.Nenda kwenye profile,fungua settings hapo kuna sehemu ya text size unaweza kuongeza font size
Hakika MkuuInabidi kuchagua wa kumpenda, coz huwezi kupenda wala kupendwa na kila mtu. Wengine tubaki kupeana heshima, ila upendo kama jina lake tunawapa wachache tunaoona mioyo inaendana.
🤣🤣🤣mbali na kushow love, ila wakianza kuombana misamaha sijui ya nini wataanza kufukua makaburi hatimae kinanuka😅😅
Ndio ndio nakaziamshana JF haina tofauti na maisha halisi tunayoishi mitaani, kukwazana na kupatana ni sehemu ya maisha hayo kutegemeana na mada iliyopo mezani.
Sasa isijetokea unamuomba mtu msahama leo kwa tofauti zenu zilizopita, kisha kesho mkakosana tena, binafsi nina wasiwasi kama naweza patana forever na Tlaatlaah na ndugu yake Lucas Mwashambwa.
Anyway muhimu tuishi tukijua haya ni mapito.
Aaah sawa sema kwenye hii version sijaona kama kuna sehemu ya kucustomize fonts tofauti na font size.Nadhani default font family ndio hiyo tu.Lakini sio mbayaSio kwamba ndogo sioni ila wameifanay kuwa kama Twitter hivi... Which is not bad either... Labda nitaizoea tu
Tuta adapt tu hakuna namnaAaah sawa sema kwenye hii version sijaona kama kuna sehemu ya kucustomize fonts tofauti na font size.Nadhani default font family ndio hiyo tu.Lakini sio mbaya
🤣🤣🤣 Why kinafkiTupendane kinafki tu jamani☺️
Yeah hata old version watu hawakuielewa mwanzoni lakini badae mambo yalikuwa sawa(ni kawaida hii mabadiliko yanapotokea) but hii kwangu itakuwa best versionTuta adapt tu hakuna namna
Hakika umenena mkuuHapa kuna namna tatu za kuishi kwa amani bila kuacha kuwa mtu mwema:
Weka mipaka:
Saidia pale unapoweza, lakini usiruhusu watu wakanyage utu wako.
Chagua wa kumsaidia:
Sio kila mtu anastahili wema wako; wengine wanakuja kutumia fursa tu.
Jitunze kwanza:
Huwezi kutoa maji kwenye kisima kilichokauka; jipende mwenyewe kwanza.
Mwisho; umesema wema ni nini vile!?😀🙌🏿🏃🏿
You can't love us kama huwezi kulaani udhalimu wa mama yenu kwetu.binafsi kama mtumishi na kiongozi wa wananchi,
wadau wote wa JF ni ndugu, jamaa na marafiki zangu.
nitawaheshimu, nitawathamini na kuwapenda daima licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi.
Siwezi kua na chuki ya muda mfupi au muda mrefu na mdau yeyote yule wa Jf kwasababu yoyote ile jukwaani.
I love you all my fellow Tanzanians without any condition 🐒
🤣🤣🤣 Kwamba mkiwa na hoja tofauti ni vumbi tupu,,sawa lakini tusiache kupendana japo kidogo,kuna maisha pia nje hukuMshana umeongea vizuri sana, ila unajua kabisa wabongo hatupendani bila sababu. Huku JF mtu anakupenda tu pale mkiwaza sawa au mkiwa mnaungana kumshambulia mtu mwingine. Hiyo real love unayotaka hapa haipo, watu wanapenda vibes zao tu. Siku ukileta hoja inayowaacha njiapanda, ndio utajua hujui!
Nawapenda sana machawa hasa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na ChoiceVariableAmri iliyo kuu ni UPENDO! Basi tupendane..
Leo nimekaa nikitafakari kwa kina kuhusu jukwaa letu.
Mara nyingi tunakutana humu kuchangamsha akili, kubishana, na wakati mwingine kupeana changamoto za kimaisha.
Lakini ukweli ni kwamba, nyuma ya kila jina unaloliona humu (hata yale ya kufikirika), kuna binadamu halisi.
Kuna mtu anasoma posti yako huku yuko wodini anaumwa, mwingine ananuka madeni, mwingine kaachwa...
Mwingine kapoteza kazi, mwingine ana msongo mkubwa wa mawazo na JF ndio kimbilio lake pekee la kupoteza muda ili asijisikie mpweke.
Humu ndani wengi hatujuani kwa sura, lakini mioyo yetu inagusana kupitia maandishi yetu.
Huu uzi sio wa ligi wala malumbano. Ni uzi wa faraja. Kama kuna mwana-JF uandishi wake umewahi kukufariji siku ukiwa na upweke, mtag hapa umwambie "Asante". Kama uliwahi kumkwaza mtu kwa maneno makali humu ndani, omba msamaha hapa.
Maisha ni mafupi mno, na hatujui kesho yetu.
Tuigeuze JF kuwa sehemu salama (safe space) ya kupendana, kufarijiana, na kuinuana kiroho.
Mimi nawaombea heri na baraka ninyi nyote mnaosoma ujumbe huu. Mungu awabariki na kuwapa amani ya mioyo yenu. Nawapenda sana! 🙏🌹View attachment 3648845
🤣🤣🤣Pameanza kuchangamkaYou can't love us kama huwezi kulaani udhalimu wa mama yenu kwetu.
Ukimpenda mkeo inatosha