Habari wana JamiiForums.
Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni maarifu kama Kigamboni.
Vijana wote wa mtaani pamoja na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu wameharibika Kwa kunywa gongo na kuvuta bangi bila kificho.
Cha ajabu viongozi wa serikali ya mtaa wapo lakini hawachukui hatua yoyote.Wananchi walishalalamika kwenye mikutano ya mtaa lakini wapi!!!
CHA KUSHANGAZA ZAIDI MME WAKE NA HUYU MAMA NI ASKARI POLISI,SUREEE!! Lakini bangi na gongo inauzwa kwake lakini yeye akitoka nyambani anaenda kukukamata vijana anauza mkaa na vitu vidogo vidogo.
Kuna kipindi alikatamatwa na polisi akatoka ndani ya nusu Saa.Aliporudi alikuja na speed mpya huku akidai hakuna mtu wa kumfanya kitu.
OCD okoa vijana wanaangamia.na huyo polisi ambaye bangi na gongo vinauziwa kwake,analizalilisha jeshi la polisi