Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
NjiroHivi IAA ipo Moshono au ipo Njiro?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NjiroHivi IAA ipo Moshono au ipo Njiro?
Muache ale kwa urefu wa kamba yake, hao wateja wake hawapelekwi kwa mtutu wa bunduki bali huenda kuburudika kwa utashi wao wenyewe. Acha unoko.Habari wana JamiiForums.
Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni maarifu kama Kigamboni.
Vijana wote wa mtaani pamoja na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu wameharibika Kwa kunywa gongo na kuvuta bangi bila kificho.
Cha ajabu viongozi wa serikali ya mtaa wapo lakini hawachukui hatua yoyote.Wananchi walishalalamika kwenye mikutano ya mtaa lakini wapi!!!
CHA KUSHANGAZA ZAIDI MME WAKE NA HUYU MAMA NI ASKARI POLISI,SUREEE!! Lakini bangi na gongo inauzwa kwake lakini yeye akitoka nyambani anaenda kukukamata vijana anauza mkaa na vitu vidogo vidogo.
Kuna kipindi alikatamatwa na polisi akatoka ndani ya nusu Saa.Aliporudi alikuja na speed mpya huku akidai hakuna mtu wa kumfanya kitu.
OCD okoa vijana wanaangamia.na huyo polisi ambaye bangi na gongo vinauziwa kwake,analizalilisha jeshi la polisi
Sidhani kama ni sahihi kutaja mahali anapouzia kama wamnaftia watejaHabari wana JamiiForums.
Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni maarifu kama Kigamboni.
Vijana wote wa mtaani pamoja na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu wameharibika Kwa kunywa gongo na kuvuta bangi bila kificho.
Cha ajabu viongozi wa serikali ya mtaa wapo lakini hawachukui hatua yoyote.Wananchi walishalalamika kwenye mikutano ya mtaa lakini wapi!!!
CHA KUSHANGAZA ZAIDI MME WAKE NA HUYU MAMA NI ASKARI POLISI,SUREEE!! Lakini bangi na gongo inauzwa kwake lakini yeye akitoka nyambani anaenda kukukamata vijana anauza mkaa na vitu vidogo vidogo.
Kuna kipindi alikatamatwa na polisi akatoka ndani ya nusu Saa.Aliporudi alikuja na speed mpya huku akidai hakuna mtu wa kumfanya kitu.
OCD okoa vijana wanaangamia.na huyo polisi ambaye bangi na gongo vinauziwa kwake,analizalilisha jeshi la polisi
Ok sawa kwa ufafanuzi mkuu, nimeongeza kitu 👏
aisee nasubiri jibu huenda najua home ni Moshono kumbe naishi Njiro!Hivi IAA ipo Moshono au ipo Njiro?
Habari wana JamiiForums.
Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni maarifu kama Kigamboni.
Vijana wote wa mtaani pamoja na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu wameharibika Kwa kunywa gongo na kuvuta bangi bila kificho.
Cha ajabu viongozi wa serikali ya mtaa wapo lakini hawachukui hatua yoyote.Wananchi walishalalamika kwenye mikutano ya mtaa lakini wapi!!!
CHA KUSHANGAZA ZAIDI MME WAKE NA HUYU MAMA NI ASKARI POLISI,SUREEE!! Lakini bangi na gongo inauzwa kwake lakini yeye akitoka nyambani anaenda kukukamata vijana anauza mkaa na vitu vidogo vidogo.
Kuna kipindi alikatamatwa na polisi akatoka ndani ya nusu Saa.Aliporudi alikuja na speed mpya huku akidai hakuna mtu wa kumfanya kitu.
OCD okoa vijana wanaangamia.na huyo polisi ambaye bangi na gongo vinauziwa kwake,analizalilisha jeshi la polisi
Charity starts at home.Ukisikia kusagiwa kunguni ndiyo huku sasa.
Lingekuwa ni suala la nia njema kuwatakia heri vijana wa huo mtaa, ungejumuisha na mitaa mingine yote nchini Tz.
Namaanisha hivii?: mtaa huo wakifungiwa kupika gongo, walevi wa mtaa huo watahamia mtaa mwingine kwenda kunywea na kuvutia huko.
Gongo na bhangi yamekuwa ni mapato haramu ya Polisi tangu enzi za Nyerere.
Huyo Polisi uliyemchomea utambi hapo akiacha kupika yeye, ataenda kukamata iliyopikwa mitaa mingine, ataendelea kula haramu za gongo na bhangi vile vile.
Kikubwa hapo ni kushauri sheria inayoharamisha matumizi ya gongo zaidi ya miaka 50, huku gongo hiyo ikiendelea kupikwa na kunywewa iangaliwe upya ama ifutwe.
Imekuwa ikiwanufaisha Polisi kwa mlango wa nyuma tangia itungwe.
Mbaya sana serikali inayaona haya lakini imekaa kimya. Watu wenye awareness tupaze sauti Mimi nimeanzia humu na kila mtu Kwa nafasi yake apingeMoshi nyumbani nina wk 2 tangu nitoke kule ila tamaduni za moshi/arusha ni zile zile dungu linauza gongo bangi na jioni mirungi
na watu wanatumia kama wapo seblen kwao.
Saa moja asbh mtu yupo tilalila kwa gongo madogo wa 90 kuja 2000 ndio wazee kwa muonekano wa sura unakutana na mtu utafikiria analia kumbe gongo duh.
Ipo eneo maarufu la Njiro Kata ya Engutoto..ingawa ni kweli kata ya Moshono inapakana na Njiro..shida neno KARiBU ni relative term!Hivi IAA ipo Moshono au ipo Njiro?
ongeza Pato la Taifa kwa kumchangia hata tuglasi tuwili vya gongo kwanza kitu halisia hiyo kiboHabari wana JamiiForums.
Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni maarifu kama Kigamboni.
Vijana wote wa mtaani pamoja na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu wameharibika Kwa kunywa gongo na kuvuta bangi bila kificho.
Cha ajabu viongozi wa serikali ya mtaa wapo lakini hawachukui hatua yoyote.Wananchi walishalalamika kwenye mikutano ya mtaa lakini wapi!!!
CHA KUSHANGAZA ZAIDI MME WAKE NA HUYU MAMA NI ASKARI POLISI,SUREEE!! Lakini bangi na gongo inauzwa kwake lakini yeye akitoka nyambani anaenda kukukamata vijana anauza mkaa na vitu vidogo vidogo.
Kuna kipindi alikatamatwa na polisi akatoka ndani ya nusu Saa.Aliporudi alikuja na speed mpya huku akidai hakuna mtu wa kumfanya kitu.
OCD okoa vijana wanaangamia.na huyo polisi ambaye bangi na gongo vinauziwa kwake,analizalilisha jeshi la polisi
Punguza Ny.ege!.... Unataka watu watu wapatie wapi stimu!...Habari wana JamiiForums.

Wazazi nao wa play part yao, kuna wazazi ni wanywaji wa pombe lakini watoto wao hawanywi, embu mpenzi mama huyo mtaji abadilishwe biasharaSio wivu mkuu.mbona kuna watu kibao wanafanya kazi halali sijawaongelea humu?
Vijana wakaharibika mabaya.mwaka jana wanafunzi watatu wa bachelor Uhasibu wali_disco Kwa kuendekeza hizo bangi na gongo