The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
Cha muhimu hapo Gongo ifanywe rasmi, packaging iwe safi tuuze soko la nje, Russia na China zitakua masoko yetu ya kipekee sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma pale mwaka gani mkuu?Kanichanganya hata mimi maaana nlidhani moshono ni kule kijenge maana maeneo ya nane nane hadi kwa msola ni maeneo yangu ya kujidai wakati nasoma IAA
Enhe, vikikomeshwa hapo kitaa, maeneo mengine nayo wataacha?Charity starts at home.
Watoto wadogo wanauzia bangi na gongo wewe unataka kuona hili ni sawa.una matatizo wewe.au ni ndugu yake na. Huyo mama
2013Umesoma pale mwaka gani mkuu?
wewe umesoma pale ? 2013 mimi nlikuwa najishindia old hostel, main cafetaria na zile lab za nyangumi...Kina YUSUPH LIECHUKA WANATUJUAUmesoma pale mwaka gani mkuu?
NakaziaIkiwa watawala wanakwiba mali za umma.....matrafiki wanakula rushwa hadharani......na mama Abdul anagawa fedha kununua magoli badala ya kuboresha maisha ya walipa kodi......waache wananchi wajipambanie wenyewe......uadirifu unatakiwa uanze na watawala kama mfano......
Hakuna tofauti wa gongo na Spirit vijana wanakunywa Kwa kununua dukani ,na bangi imethibitika Haina madhara kama sigara ,Bora wavute hiyoHabari wana JamiiForums.
Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni maarifu kama Kigamboni.
Vijana wote wa mtaani pamoja na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu wameharibika Kwa kunywa gongo na kuvuta bangi bila kificho.
Cha ajabu viongozi wa serikali ya mtaa wapo lakini hawachukui hatua yoyote.Wananchi walishalalamika kwenye mikutano ya mtaa lakini wapi!!!
CHA KUSHANGAZA ZAIDI MME WAKE NA HUYU MAMA NI ASKARI POLISI,SUREEE!! Lakini bangi na gongo inauzwa kwake lakini yeye akitoka nyambani anaenda kukukamata vijana anauza mkaa na vitu vidogo vidogo.
Kuna kipindi alikatamatwa na polisi akatoka ndani ya nusu Saa.Aliporudi alikuja na speed mpya huku akidai hakuna mtu wa kumfanya kitu.
OCD okoa vijana wanaangamia.na huyo polisi ambaye bangi na gongo vinauziwa kwake,analizalilisha jeshi la polisi
Hivi unajua kuna wasomi wamesomeshwa Kwa wazazi wao kuuza gongo! Sasa hao waliosomeshwa kwa gongo wanatakiwa kurudi kuwasaidia ili waache kuuza gongoSio wivu mkuu.mbona kuna watu kibao wanafanya kazi halali sijawaongelea humu?
Vijana wakaharibika mabaya.mwaka jana wanafunzi watatu wa bachelor Uhasibu wali_disco Kwa kuendekeza hizo bangi na gongo
Huyo Mama anapaswa kupewa hati, itoshe, tuzo za Ujasiriliamali.Habari wana JamiiForums.