DOKEZO Kuna Mama anauza gongo na bangi wazi kata ya Moshono mtaa wa Mtoni, karibu na chuo cha uhasibu Arusha. OCD Arusha Mjini tusaidie

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Moshi nyumbani nina wk 2 tangu nitoke kule ila tamaduni za moshi/arusha ni zile zile dungu linauza gongo bangi na jioni mirungi
na watu wanatumia kama wapo seblen kwao.

Saa moja asbh mtu yupo tilalila kwa gongo madogo wa 90 kuja 2000 ndio wazee kwa muonekano wa sura unakutana na mtu utafikiria analia kumbe gongo duh.
 
Muache ale kwa urefu wa kamba yake, hao wateja wake hawapelekwi kwa mtutu wa bunduki bali huenda kuburudika kwa utashi wao wenyewe. Acha unoko.
 
Sidhani kama ni sahihi kutaja mahali anapouzia kama wamnaftia wateja

Kuna mteja wangu alishakuwa na kesi kama hiyo lakini wengi wana tumia ushirikina ili wasikamatwe.
 
Bunge litafakari namna ya kuruhusu hiyo biashara. Mbona K vant na konyagi ni ruksa?
 
Wale vijana wanaojiita wadudu itakuwa hawakosekani katika hiyo mitaa
 
Dah ndio maana wewe ni masikini,una roho Mbaya.
Kwani umelazimishwa kununua!
 
kibaya hapo ni hajalipa kodi ila tofauti na k vant ni tbs na tra,kikubwa maokoto ukishindwa kushindana nae ungana nae.
 
 

Attachments

  • 5929282-43d7e58f930fba84b8de7085be6f9086.mp4
    19.9 MB
Charity starts at home.
Watoto wadogo wanauzia bangi na gongo wewe unataka kuona hili ni sawa.una matatizo wewe.au ni ndugu yake na. Huyo mama
 
Mbaya sana serikali inayaona haya lakini imekaa kimya. Watu wenye awareness tupaze sauti Mimi nimeanzia humu na kila mtu Kwa nafasi yake apinge
 
M
ongeza Pato la Taifa kwa kumchangia hata tuglasi tuwili vya gongo kwanza kitu halisia hiyo kibo
 
Punguza Ny.ege!.... Unataka watu watu wapatie wapi stimu!...

Chimbo unakuta limetulia...kunguni moja kama wewe inayowashwa!... inawaharibia wana chimbo la kula vitu vyao!
 
Sio wivu mkuu.mbona kuna watu kibao wanafanya kazi halali sijawaongelea humu?
Vijana wakaharibika mabaya.mwaka jana wanafunzi watatu wa bachelor Uhasibu wali_disco Kwa kuendekeza hizo bangi na gongo
Wazazi nao wa play part yao, kuna wazazi ni wanywaji wa pombe lakini watoto wao hawanywi, embu mpenzi mama huyo mtaji abadilishwe biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…