DOKEZO Kuna Mama anauza gongo na bangi wazi kata ya Moshono mtaa wa Mtoni, karibu na chuo cha uhasibu Arusha. OCD Arusha Mjini tusaidie

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Cha muhimu hapo Gongo ifanywe rasmi, packaging iwe safi tuuze soko la nje, Russia na China zitakua masoko yetu ya kipekee sana
 
Charity starts at home.
Watoto wadogo wanauzia bangi na gongo wewe unataka kuona hili ni sawa.una matatizo wewe.au ni ndugu yake na. Huyo mama
Enhe, vikikomeshwa hapo kitaa, maeneo mengine nayo wataacha?

Nimesema mfumo wa sheria hiyo ufumuliwe na kutizamwa upya.
Unielewe nilichomaanisha, sinywi gongo na sitetei gongo.
 
Nakazia
 
Hakuna tofauti wa gongo na Spirit vijana wanakunywa Kwa kununua dukani ,na bangi imethibitika Haina madhara kama sigara ,Bora wavute hiyo
 
Sio wivu mkuu.mbona kuna watu kibao wanafanya kazi halali sijawaongelea humu?
Vijana wakaharibika mabaya.mwaka jana wanafunzi watatu wa bachelor Uhasibu wali_disco Kwa kuendekeza hizo bangi na gongo
Hivi unajua kuna wasomi wamesomeshwa Kwa wazazi wao kuuza gongo! Sasa hao waliosomeshwa kwa gongo wanatakiwa kurudi kuwasaidia ili waache kuuza gongo
 
Huyo Mama anapaswa kupewa hati, itoshe, tuzo za Ujasiriliamali.

Kafulila amsaidie huyu Mama ajenge kiwanda chake kidogo cha Wiskey.

KIpindi cha kuwatia umasikini Waafrika Ukome.

Gongo=Whiskey
Bangi=CBD

Vyote hivo hapo juu vinawaingizia Mabilioni ya $ wenzetu huko.

Mama huyo mjasirimali asaidiwe.

Nje ya Mada:Wewe mamako alikuwa anauza nini kukulisha, kukusomesha, kukuvika nguo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…