Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Yani huyo demu, ana njaa sana ila anataka kujifanya anakuletea ujeuri wa kitoto kabisa.
Achana nae haraka sana mana hata kichwani inaonesha wazi kabisa ni patupu
Asiachane amnyooshe tu
 
Wee jamaa akili zako bhana[emoji4]
Sasa kwani uwongo....wee ulionaga wapi mechi inaanza 1-0

Tusilete ujuaji mwingi hapa single mothers watamu ila kuwa date kuna changamoto nyingi ambazo u can do without kama ukichukua demu ambaye wee ndio unaanza kuweka kitu kwa oven.

Wee kama unaona utawezana na hizo changamoto sawa. Ila sio waja lalamika hapa na wakati tulishawaambia.

Wee ukitaka kujua hawa single maza wahuni, wao hawataki kabisa mtoto wao wa kiume aoe single maza. So they know its never a virtue being a single maza but wanajitia uwazimu tuu hapa
 
Kabisa daktari...umeongea pwenti tuuu yanii
 
Hayo ndo malezi Sasa tumelelewa na mababu zetu, Sio unalea litoto hata kubrash viatu haliwezi
 
JobTrueTrue
 

😂😂
Wéwe ulitakaje? Wéwe si upo ziarani unataka nawe upostiwe
 
Hahah eti kama ni hivyo nipangie nyumba ya vyumba viwili na jiko ya laki 3 niajiri dada wa kazi ili nikiwa nakuja kwako niwe namuacha na dada...nimegundua huyo analea mtoto kama yai na bibi yake mtoto hapendi ujinga ndo maaana hataki akae nae..yani analea bomu..

Huyu mwanamke ni pasua kichwa..yani kama utamrudia kisa sijui mzuri...walai utakufa kabla ya siku zako..
 
Ndo Wazazi Hawa watoto wakichapwa fimbo 2 maandamano Hadi kwa RC
Ni ujinga tu mkuu na usomi uchwara ndio umetufikisha hapa... wanaposema elimu ya leo ni ya kipumbavu bas huna hata haja ya kuumiza kichwa kujua maana yake nini, tazama tu jinsi wasomi wanavyo behave hata kwenye mambo basic kabisaa kama malezi ndio utaona kwel tumepoteana
 
DISGUSTING!
hakiii mi ningekuwa mwanaume hata sijui ka ningeweza date this kind of a woman!
Kuna namna tu mtu mwenye uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo is sexy!
kinyume chake mtu anakuwa so flat, hata hanogi!
 
Mf: mamaJ
Kichwani Ni empty set
 
Mi nishakubaliana na ule msalaba wangu[emoji4]
Hata huyu hawezi kumuacha,wanawake wanaojilipuaga hivi Huwa mnawapenda sana...imagine anamwambia una roho mbaya halafu hapohapo anamwambia nipangie nyumba ya laki tatu🤣🤣🤣Ndio utajua hujui
 
DISGUSTING!
hakiii mi ningekuwa mwanaume hata sijui ka ningeweza date this kind of a woman!
Kuna namna tu mtu mwenye uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo is sexy!
kinyume chake mtu anakuwa so flat, hata hanogi!
Wanawake was hivi tunakutanaga nao Sana tu sema tunajiaminishaga watabadilika
 
Hata huyu hawezi kumuacha,wanawake wanaojilipuaga hivi Huwa mnawapenda sana...imagine anamwambia una roho mbaya halafu hapohapo anamwambia nipangie nyumba ya laki tatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio utajua hujui
Ha ha ha .....yaan uyu ke Ni pacha wake mamaJ kabisa, nafurah nmepata mwenzangu akaribie tuteseke[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…