Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Bado niko hapa nasubiri komenti za wananzengo
 
hakika mtu ambae hana akili ni wewe
 
Hapo ndo utagundua kwanini wachaga tuligundua kusema "Yesu na Maria" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachangiaji wengi Ni wa binafsi Sana hapa wanaungana na huyu psychopath , mwenye shida ya Akili na ubinafsi mwingi
Angekuwa mwanao ungesema apelekwe kwa bibi yake? Jibu ni hapana.
Nakumbuka kuna siku mwenzangu alienda kazn mm nipo home mtoto mkubwa tu kama miaka 4 Akaenda karuharibu mazingira, karbu na bara bara akachafua mazingira nikaskia Naitwa na mrembo mmoja , baba fulan. .....njoo uone mwanao alicho Fanya nikafika nikapasafisha, na kajasho la aibu😄. nikamwosha nikatulia zangu kimya.
Siku mchapa ila Baada siku kazaa akaaza kupenda kwenda chooni bila kushurtishwa hivyo upendo ni Mzuri.
Mimi kinyesi Cha mwanangu huwa naona kama hakina harufu.
Huyo mtoto ulimchukia kwasababu siyo wako.
Ukweli ulimtamani Huyo mwanamke Baada ya kimchoka ukaanza kuonyesha Rangi halisi uliyo nayo.
Kwa Masuala ya mtoto una roho mbaya Sana naungana naye na huku
Unajiona ulitenda wema ...ukisha mlala mwanamke kola unachomfanyia siyo wema hata ukijanga kwao ni fadhila ya unyumba wake.
Jifunze upendo acha roho mbaya na kiburi.
 
Nimekuelewa sana bro
 
Siku yakikukuta ndio utajua kua ulikua hujui u achokijua.
 
Hata ww huna stara kwann umesema moja kwa moja jamaa anaroho mbaya yaani mtoto wa miaka Saba tulale nae kweli we unaakili kweli... Yaan kweli sisi wanaume mungu atusaidie kama ndio wanawake kama Hawa dah
 
Utoto raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…