Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.

Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama ambavyo nliandika uzi jana. Sisemi single mothers wote wapo hivi ila huyu wangu ni kilaza. Nlimuamini sababu ana degree alimaliza CBE na ni dada mzuri wa sura , umbo na rangi. Nlidhani pia kwa kufiwa na kuwa na mtoto angekuwa matured. Bado ana upumbavu mwingi kichwani.

View attachment 2866044View attachment 2866046View attachment 2866048View attachment 2866049
Huyu Yuko kibiashara
 
Kuna watoto wanapigwa na bado wanajikojolea.

Mimi nimesoma shule za boarding tangu nikiwa mtoto. Kuna wakubwa kabisa wanakojoa mno. Na kila siku asubuhi viranja (walikuwa wakubwa mno, wanapiga zaidi ya Walimu) walikiwa wanapita kitanda baada ya kitanda kutembeza bakora. Wanawadunda balaa, lakini kesho yake tena kaliachia.

Lazima tufahamu kuwa, tunatofautiana. Kuna watoto (wakiwepo wangu) hata miaka miwili haiishi, hakojoi tena kitandani.

Kuna wengine wana vibofu vidogo kujikojolea usiku kutakuwepo tu.

Anaweza kupigwa na kupigwa asiache.
Huyo wa miaka7 Wala haitaji kupigwa, Ila inabidi tu atengenezewe ratiba ngumu ambayo itampa mda wa kulala walau hata mara mbili au mara tatu mchana ili ikifika usiku asichoke Sana( kulala ni lazima atake asitake),, hata akibamwa kukojoa usiku anaamka bila shida.. Na kwenye chakula pia sisi kwetu dogo ikishafika tu kuanzia saa12 jioni hakuna kunywa kimiminika chochote, sio juice ,soda, maziwa Wala maji na labda wakati wa kula ambapo napo atakunywa glasi moja au nusu.. Saa mbili kamili ni kukojoa kulala hiyo ni amri, zamani alikua anaamshwa kwenye saa4 hivi au sa5 kukojoa Ila Saizi anaamka mwenyewe na hakojoi Tena Hadi asubuhi anaamka akiwa mkavu...
Tatizo wanawaacha tu watoto wanakua na ratiba kama za watu wazima ndomana
 
Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.

Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama ambavyo nliandika uzi jana. Sisemi single mothers wote wapo hivi ila huyu wangu ni kilaza. Nlimuamini sababu ana degree alimaliza CBE na ni dada mzuri wa sura , umbo na rangi. Nlidhani pia kwa kufiwa na kuwa na mtoto angekuwa matured. Bado ana upumbavu mwingi kichwani.

View attachment 2866044View attachment 2866046View attachment 2866048View attachment 2866049
Hii ngurumbembe ulikutana nayo wapi mkuu?
 
Ngoja kwanza , twende taratibu na ujibu hili swali Kabla ya kuamua kuishi nae huyo single maza ulijua sababu ya kifo cha mume wake?

Maana tunawaambia kila siku vijana siyo tuu muonyeshwe kaburi na cheti cha kifo mkaridhika ,hata kujua sababu ya kifo cha mume wake ni point ya msingi sana kuiweka maanani.
Hii aione dronedrake
 
Yeye hana akili.
Na wewe una roho mbaya kweli unahesabu nimekupa hela ya.. hela ya.. hela ya..
Yaani ndio umeona vya maana kujitetea kwamba umempa ili asikusakame kuvunja mahusiano yenu!
Pipa na mfuniko.
Hivi ulishalipa mahari au unamtumia tu dada wa watu halafu unataka kumpangia jinsi ya kulea mtoto wa mwenzio?

Ila hii kama kama chai vile??☕
 
Huyo wa miaka7 Wala haitaji kupigwa, Ila inabidi tu atengenezewe ratiba ngumu ambayo itampa mda wa kulala walau hata mara mbili au mara tatu mchana ili ikifika usiku asichoke Sana( kulala ni lazima atake asitake),, hata akibamwa kukojoa usiku anaamka bila shida.. Na kwenye chakula pia sisi kwetu dogo ikishafika tu kuanzia saa12 jioni hakuna kunywa kimiminika chochote, sio juice ,soda, maziwa Wala maji na labda wakati wa kula ambapo napo atakunywa glasi moja au nusu.. Saa mbili kamili ni kukojoa kulala hiyo ni amri, zamani alikua anaamshwa kwenye saa4 hivi au sa5 kukojoa Ila Saizi anaamka mwenyewe na hakojoi Tena Hadi asubuhi anaamka akiwa mkavu...
Tatizo wanawaacha tu watoto wanakua na ratiba kama za watu wazima ndomana
Njia hiyo ni nzuri sana. Na italeta matokeo bora sana pasipo athari..

Wenzako wanashauri acharazwe bakora za kufa mtu atanyooka. Si kweli.
 
Ukute Baba mtu yupo hai ila alishindwa kuvumilia huo upuuzi unaoletewa wewe, Mwanamke asie na furute anaona ni bora apange aishi mwenyew kwa kuitumikisha Kei yake kwako mtaishi hivyo mpka lini? Huyo hana mpango wa kuanzisha familia mpya bali kudanga na kulea mwanae tu.
Endelea kununua utelezi wa singo maza bila kujijua.
 
Yeye hana akili.
Na wewe una roho mbaya kweli unahesabu nimekupa hela ya.. hela ya.. hela ya..
Yaani ndio umeona vya maana kujitetea kwamba umempa ili asikusakame kuvunja mahusiano yenu!
Pipa na mfuniko.
Hivi ulishalipa mahari au unamtumia tu dada wa watu halafu unataka kumpangia jinsi ya kulea mtoto wa mwenzio?

Ila hii kama kama chai vile??[emoji477]
Mwingine huyu , naye kuna jamaa anaumia huko.[emoji16][emoji16]
 
Aiseee analazimisha mambo kwa kikojoleo ndo ulipe 300k? Miaka saba anataka alale na mama yake watoto wenyewe wa kizazi hiki, mzazi kulala na mtoto mwisho miaka 4. Miaka saba kukojoa kitandani lazima achezee mboko ukimlea lea atakojoa mpaka utu uzimani eboo, huyo msomi hafai
 
Mama Mwana heshima sana. Mimi ndicho nilicho-note zaidi kwenye hayo malumbano. Jamani hawa wanawake wenye ku-mix L na R karibia wote wako kama huyu wa jamaa. Trust me! Nilikuwa na wa kwangu, naye ana mtoto mmoja, malumbano yake ni kama huyu 100%. Na kuandika sasa... ni wale wa ''malahaba'', ''gali'' ''mahongezi'' n.k. Kuna haja ya kila kijana anayetaka kuoa kumpa mchumba wake mtihani wa kuandika maneno ya kiswahili. Kuna watu wanaweza kusema natania lakini hebu jaribuni kuchunguza. Halafu ni wabishi, hawajui matumizi ya fedha... Huyu jamaa inabidi akimbie haraka sana sana. Yaani akimbie kama ameona simba. Halafu huwa wanatumia waganga wa kienyeji kweli kweli, eti ili wapendwe.
Uko sawa kabisa meku
 
Aiseee analazimisha mambo kwa kikojoleo ndo ulipe 300k? Miaka saba anataka alale na mama yake watoto wenyewe wa kizazi hiki, mzazi kulala na mtoto mwisho miaka 4. Miaka saba kukojoa kitandani lazima achezee mboko ukimlea lea atakojoa mpaka utu uzimani eboo, huyo msomi hafai
miaka 4 ?
Kwanini ?
Unless nafasi hairuhusu mtoto akiacha kunyonya tu ni muda stahiki wa kulala mwenyewe!
Aanze kujifunza kujitegemea.
 
Back
Top Bottom