Huyo wa miaka7 Wala haitaji kupigwa, Ila inabidi tu atengenezewe ratiba ngumu ambayo itampa mda wa kulala walau hata mara mbili au mara tatu mchana ili ikifika usiku asichoke Sana( kulala ni lazima atake asitake),, hata akibamwa kukojoa usiku anaamka bila shida.. Na kwenye chakula pia sisi kwetu dogo ikishafika tu kuanzia saa12 jioni hakuna kunywa kimiminika chochote, sio juice ,soda, maziwa Wala maji na labda wakati wa kula ambapo napo atakunywa glasi moja au nusu.. Saa mbili kamili ni kukojoa kulala hiyo ni amri, zamani alikua anaamshwa kwenye saa4 hivi au sa5 kukojoa Ila Saizi anaamka mwenyewe na hakojoi Tena Hadi asubuhi anaamka akiwa mkavu...
Tatizo wanawaacha tu watoto wanakua na ratiba kama za watu wazima ndomana