Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Nimependa hiyo Haujambo ilivyokuja ghafla.🤣🤣🤣

Ila wanawake kuna muda tunazingua sana!!!😬
🤣🤣tatizo alikuwa anabwabwaja sana afu mimi sio mtu wa kupenda maugomvi.
Na mnazingua haswa, mtu unajitoa unampeenda yeye na mtoto eake lakini bado atakuona mbaya kwa kuwa mkweli tuu
Ila mpaka leo hajaniblock lakin msg hajibu
 
Dr. Unakubaliana mtoto wa miaka Saba kujikojolea?mtoto kuacha kukojoa kitandani wengi kuanzia miaka 3 wenye akili shape ni 2.8....huyo dada analea vibaya mtoto uongo ni dhambi,
Kujikojolea sio jambo la hiari ni jukumu la mzazi kumuamsha mtoto hata mara tatu usiku akojoe na sio kumchapa kuna athiri saikolojia ya mtoto.
 
ndio maana tunasema watoto huharibikia mikononi mwa mama zao.
ona huyu hataki mwanaye achapwe na alale peke yake miaka 7😃😃😃.

anaamini kabisa kwamba mtoto wa miaka 7 atasikia milio ya paa paa,halafu asijue kinachoendelea😆😆😆
 
Naunga mkono, well said Dr
 
Ila kwa hizi conversation kama ni real hapo hakuna mtu , atakutesa wakati yeye anaona wewe unamtesa , Yani hata kama hujasoma sms zote ukisoma ya kupangiwa nyumba tu 300k unaona hapo hivi kichwa RIP

Yani hiyo 300k imenifanya nimekasirika ghafla nikasonya kumbe jirani kanisikia akajua namsonya yeye😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…