Kuna mambo ukifanya watu hawafikirii mara mbili kujichukulia sheria mkononi


Umekutana na Mwanamke àmbaye umemtaka kimapenzi. Alafu akakuambia yeye siô Mke wa Mtu.
Ulitumia njia gàni kujiridhisha kuwa yeye siô Mke wa Mtu?

Bora unambie umemkuta kwèñye makasino ya kujiuzia Huko angalau utakuwa na hoja na Mimi Watu watakutetea.
Hata mwenye Mke atakutetea.

Mwanamke yeyote unayemuona anapita barabarani na siô Mkeo wal nduguyo hauna Haki naye Bila kujiridhisha

Mwanamke àmbaye unahaki naye kufanya mapenzi NI Mkeo au kahaba àmbao Wanamaeneo Yao ya kufanya shughuli hizô.
 
Unatumia Sheria au Kanuni Ipi kusema Hakuna Mume WA Mtu?
Je maonî yako Binafsi?
Je NI Imani yako binafsi?
Je NI Mila na desturi za kabîlà lako?
Au Dini yako?

Au je unatumia Kigezo cha Upendo na HAKI kuzungumza ulichozungumza?
Hivi unajua Mila na tamaduni zetu zinaruhusu mke zaidi ya mmoja na je wajua mwanzo wa mapenzi ni urafiki na kutongozana!?
Mke wa mtu sawa ila mme wa mtu hayupo anaweza kuwa mme wa watu (means wanawake wengi ,kwa waislam hadi wanne na kwa wasukuma no limit hata kumi unaenda)
 
Hii hapana, maana siku hizi watu wanasafiri mikoa yote na nchi yote.

Ndio maana kuna vitu kama pete ya ndoa na mavazi (waislamu) lakini vyote sio fool proof kumjua mwenza wa mtu.

Kwa unaoishi nao mtaani sawa itakuwa ujinga lakini napo sio wote

Mke wa Mtu na Mume WA mtu wanajulikana Kabisa Wala huo siô mjadala.

Wanaosema hawajulikani Basi hawajawahi kuwa kwèñye Ndoa na hawajawahi kuitwa Mume au Mke.
 
Kwa nini ukiibiwa gari usitafute jingine Kwa nini unaenda Polisi?
Mke sio gari..
It’s not healthy to stay with someone who makes you feel insecure because you’re not wanted for yourself. Relationships can’t thrive without trust so instead of trying to salvage what’s left, it’s best to let your unfaithful significant other go. There’s no going back from this. You deserve more and never settle for less.
 
Mimi na wewe hatuwezi kusupport aina ya adhabu zinazotolewa kwa waanga mbali mbali wa hayo matukio

Ila niamini mimi ikija kukutokea wewe au mimi mtazamo utabadilika.
 
Mtibeli, ninaamini kabisa kuwa uwezo wako wa kufikiri uko sawa.

Ninachokiona hapa, ni kwamba unajaribu kujenga hoja tu ili kuendeleza mjadala.

Na log out!
 
Haya unayoyaandika hayatofanya kazi siku utakayofumaniwa na mke wa mtu,

Binafsi nlishajifunza na kufahamu kwamba watu tunatofautiana sana kwenye kuchukua maamuzi hivyo kivyovyote vile ntajizuia kwa maisha yangu yote kufanya jambo ambalo litanifanya niweke maisha yangu rehani
 

Nafikiri huelewi hata Mada inahusu Jambo gàni. Tunazungumzia HAKI.
Hatuzungumzii uwezo wa kumuacha Mtu msaliti aende ili wewe uendelee na Maisha yako na upate kilichobora.

Tunazungumzia Haki za Mahusiano, hasa mahusiano ya Mume na Mke.
Nitakupa mfano wa Haki za Mahusiano ya Watu kama Wachezaji na Club ya Mpira.
Mchezaji anapokuwa CHINI ya Club Fulani Kwa mkataba hasa WA Milele alafu ikabainika NI msaliti yàani amevunja Moja ya makubaliano Kwa kwenda kinyemela katika club ñyiñgine, ili kutenda Haki Mchezaji Yule lazima apewe adhabu, tenà adhabu Kali. Hizô NI taratibu za kimahusiano.

Halikadhalika, mahusiano tunazungumzia makubaliano ya Mtu na Mtu, Mtu na Watu au kikundi cha Watu na kikundi kingine.
Mfano Kampuni ya Madini imeingia mkataba na serikali Ikatoka suala la kuchimba Madini. Lakini ikatokea mmojawapo akakiuka makubaliano lazima adhabu itolewe ili Haki ionekana.

Hayo ya kuendelea na mahusiano au kutoendelea NI ishu nyingine àmbayo nayo ni Haki ya wahusika kuamua kama wanaendelea ama Laah.

Kwèñye Mahusiano ya mapenzi Hapa tunazungumzia HISIA za ndàni Kabisa Zenye Ñguvu kuliko zote Kwa binadamu.
MTU anaposalitiwa kimapenzi alafu Hakuna Sheria yoyote ya maana katika makosa ya namna hiyo hupelekea Mtu Husika Kutoa adhabu atakayoona itamfaa.

Wewe Unazungumzia mambo àmbayo Kwa makusudi au kutokujua huyaelewi
 
Kama haya ndio mawazo ya watibeli basi ni watu wajinga sana, wajima ambao bado hawajaingia kwenye civilization.
 
Mke wako sio mali yako hadi uanze kuua na kulawati watu waliyefanya naye mapenzi
 
Nilichogundua wewe ni dhaifu sana kwenye mapenzi, kugongewa kunakuuma sana, hili andiko lako linaonyesha ulishawai kupigwa tukio na haukua na kufanya
 
Haki za binadamu haziwezi kuona hayo Kwa sababu hawajui Haki NI nini
Sio hata suala la haki za binadamu, ni suala la kustaarabika na kutoka katika unyani na ujima wa mapenzi.

Nyani, sokwe na tumbling ndio wanapigania majike, binadamu wengi waliofikia kiwango cha juu cha evolution wameachana na hayo mambo.
 
Kama haya ndio mawazo ya watibeli basi ni watu wajinga sana, wajima ambao bado hawajaingia kwenye civilization

Huko tulishatoka miaka mingi.

Kwako civilization NI kuchukua Mke au Mume WA Mtu?
Au kuona Mke au Mume WA Mtu anachukuliwa alafu Yule aliyeonewa asitendewe HAKI yake
 
Umeongea ukweli mtupu
 
Haki ya kuua? Kujeruhi? Kubaka? Basi watibeli ni jamii ya wajinga..
Ww ni mshamba wa mapenzi na hujiamini..
 
Ni bora mkaachana, majuto yanakuwa ni makubwa baada ya kutenda tukio..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…