Kuna mambo ukifanya watu hawafikirii mara mbili kujichukulia sheria mkononi

Napinga dhulma hadharani.

Hao Haki za binadamu Wakati mwingine huhalalisha Mpaka uhalifu na uovu kama vile Ushoga.

Uliwahi kuwasikia hao Haki z binadamu wakipiga kelele kutetea wanaoibiwa waume au wake za Watu?
Hakuna binadamu anaibiwa labda atekwe. Yaani washughulike na watu wazima aliokubaliana kuunganisha nyeti zao. Hao ambao wameoa na kuolewa halafu wanachepuka ndio wanatakiwa wapewe adhabu.

Hivi mtu mzima anaibwaje? Waache kushughulikia mambo ya msingi wahangaike na mambo ya ajabu ajabu.
 
Haki za mahusiano sio kama za timu za mpira, mke wako akiamua kukuacha anakuacha muda wowote na kwa sababu zozote zile atakazojisikia nazo, hapo kesi ni mbili tu ya mali au watoto.
 
Sio hata suala la haki za binadamu, ni suala la kustaarabika na kutoka katika unyani na ujima wa mapenzi.

Nyani, sokwe na tumbling ndio wanapigania majike, binadamu wengi waliofikia kiwango cha juu cha evolution wameachana na hayo mambo.

Hao binadamu unaozungumzia ndîo wale wamefika level ya Ushoga.

Kiumbe yeyote anapigania mambo makuu yafuatayo;
1. Family
Mke, Mume na Watoto. Hii ndîo himaya yake. Kugusa Moja ya mwanafamilia Hapo NI kugusa Maisha ya MTU husika Moja Kwa Moja. Najua ninyi àmbao mmefika level ya juu kama mnavyojiita na kujiona hamlijui hilo.sio ajabu kwèñu ushoga au Mtoto kuwa shoga siô tatizo.

Kwèñye familia Mtu huweza kuua au kufanya chochote Kwa Sababu ya familia
Ila Mashoga na Watu wasiokuwa na familia hawawezi kuelewa hili

2. Ardhi.
Kiumbe chochote kilichopo Duniani kinapiga kufa kupona Kulinda Ardhi au Eneo lake la kuishi.
Mtu yupo tayari kufanya chochote ikiwezekana kuua Kwa sababu ya nchi yake au Taífa lake.
Ndicho unachoona kinatokea Huko Palestina

Lakini Kwa vile upeo wa ninyi mnaojiita Civilized NI mdogo Wakati kimsingi hampo civilized hamuwezi kuelewa mambo haya.

Chukua Ardhi ya Mtu alafu ulete hizô hadithi zenu za kijinga sijui mlifundishwa na Nani uone kitakachotokea.
 
Labda uanzishwe utaratibu wa mwanamke akiolewa apigwe chata kama utambulisho.

Mwanamke hutoka nje ya ndoa kwa utashi wake. Na zipo sababu zinazopelekea yote hayo.

Alicho kiandika mtibeli sio cha kuzingatia maana anahamasisha uvunjifu wa amani.
 
Kwa nini ukiibiwa gari usitafute jingine Kwa nini unaenda Polisi?

Ishu siô uhakika WA kupata Mwingine ishu NI kile ulichofanyiwa ambacho jamii haioni kama umefanyiwa uonevu Kwa sababu ya kizazi cha nyoka na Laana
Tofautisha gari na binadamu. Anayeibiwa na mtoto, au mtu kutekwa. Kwanza mke au mume anaibiwa na kufichwa wapi?
 
Dawa ya jeuri, kiburi na dharau ni Ubaya
 
Haki za mahusiano sio kama za timu za mpira, mke wako akiamua kukuacha anakuacha muda wowote na kwa sababu zozote zile atakazojisikia nazo, hapo kesi ni mbili tu ya mali au watoto.

Hatuzungumzii kutaka talaka tunazungumzia Cheating.
Hivi Akili yako inashindwa kusoma Kwa ufahamu?

Mwanamke au Mwanaume anaruhusa ya kumuacha mwenza wake. Siô Kosa.
Lakini cheating ni Kosa.

Ndîo maana nikasema ninyi mnaojifanya Civilized mara nyingi upeo wenu NI mdogo katika masuala ya Haki hususani Haki za Mahusiano ya Watu
 
You are so archaic
 
Asante. Eti mtu anafananisha gari ambalo halina akili wala haliwezi kuondoka sehemu bila kuendeshwa na binadamu na mke au mume. Huu ni uduwanzi.
 
Tofautisha gari na binadamu. Anayeibiwa na mtoto, au mtu kutekwa. Kwanza mke au mume anaibiwa na kufichwa wapi?

Kwa sababu Akili yako inawaza kuficha kitu.
Watu wanaiba mawazo, ubunifu, mitindo, Mbinu n.k. alafu kuna Mtu anauliza vinafichwa Wapi.
 
Wife kakusaliti nn...mbona andiko refu sana lenye hisia kaliiii!!
 
Haki za mahusiano sio kama za timu za mpira, mke wako akiamua kukuacha anakuacha muda wowote na kwa sababu zozote zile atakazojisikia nazo, hapo kesi ni mbili tu ya mali au watoto.
Watu wana kazi kweli. Ukiona hana uaminifu muache
Tafuta maisha mengine. Kama umemfumania fungua kesi ya madai ukamdai mgoni wako.
 
Labda uanzishwe utaratibu wa mwanamke akiolewa apigwe chata kama utambulisho.

Mwanamke hutoka nje ya ndoa kwa utashi wake. Na zipo sababu zinazopelekea yote hayo.

Alicho kiandika mtibeli sio cha kuzingatia maana anahamasisha uvunjifu wa amani.

Tu/Wanaofanya uhalifu WA Kutoka na wake au waume za Watu waô hawaleti huo uvunjifu wa Amani?

Unajua maana ya Amani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…