Kuna maombi ulimwenguni kote kuliombea taifa la Israel (pray for Israel)

Kuna maombi ulimwenguni kote kuliombea taifa la Israel (pray for Israel)

Ni sawa! Wengine tumeshaanza dua zetu kitambo sana kwa Palestina 🇵🇸 Tunamuomba Allah amalize vita wala sio kuua mtu.
 
Israel wakiristo ni asilimia ndogo mno ukilinganisha na Wayahudi pamoja na Waislamu ambao ndio dini kuu mbili pale Israel.

Sasa mkiristo unamuombea Israel kama nani maana Wayahudi ambao ndiyo wenye nchi hasa hawana hata habari na maombi ya wakiristo kwasababu wanawachukia vibaya sana.
Kwani we inakuuma nini? au ni akili ya msikitini ndo inakupa shida mbona mnaabudu kwa lugha ya kiarabu na wala hatushangai
 
Mkuu hawa binadamu wakuitwa wakristo ni special group inabidi wapimwe mkoj,o maana siamini kama wanatumia akili zao aise.

Yaani utakuta hadi makanisani kuna bendera ya Israel unajiuliza hawa viumbe wamerogwa na nani kwa kiwango hiki?
Kwani wewe unaumia nini wakristo kuiombea Israel ngedere wewe ulitaka waombee mashoga wa iran
 
Aise tunaposema wakristo ni janga la kidunia inabidi iwe inaeleweka.

Sasa unamuombea mtu ambaye hata hakuthamini wala kukujua unaishi vipi na wapi.

Ile nchi ni ya Wayahudi na waislamu acheni shobo nyie wakiristo kujipendekeza.
We shoga unaumiaje wakristo kuiombea wa Israel taifa teule linalomaliza ugaidi
 
View attachment 3116170

Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱

Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel

Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.

Nini maana yake? Israel ni taifa ni teule la Mungu. Mungu hapo zamani alijitambulisha kwamba ni Mungu wa Israel🇮🇱

HAPA KUNA SIRI!
wakristo mnajipendekeza kwa waisraeli na waisrael hawawataki wala kuwatambua nachowashauri acheni kusoma biblia kwani mnalishwa magimbi pori kutoka kwenye kitabu hicho kilichoandikwa na wazungu kimkakati
 
Mimi pia nimeelekeza familia yangu kufunga na kuomba kwa ajili ya taifa la Israel. Shetani hana nafasi ya kujitwalia utukufu mbele za Mungu wa Yakobo. Baba jina lako libarikiwe. Hakuna Mungu ila wewe; miungu yote itashindwa mbele zako ewe Mtakatifu wa Israel.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom