Nakimbizwa
Senior Member
- Jun 19, 2023
- 154
- 302
lakini waislam wakioombea palestina au iran ni sawa kabisa sio?Mkuu hawa binadamu wakuitwa wakristo ni special group inabidi wapimwe mkoj,o maana siamini kama wanatumia akili zao aise.
Yaani utakuta hadi makanisani kuna bendera ya Israel unajiuliza hawa viumbe wamerogwa na nani kwa kiwango hiki?
Ila nyie wavaa vijora kuwaombea waarabu ni akili sio?Huo Ni Utaahira uliotukuka!
Lazime tuliombee Taifa la BWANA WETU YESU KRISTO hata utukane, na kwa uwezo wa YEHOVA Israel itashinda hao magaidipoor mind set! Asilimia kubwa wa israel sio wa kristo lkn waskristo walivyolishwa matango pori na wazungu ndo umefikia hatua hii
AMEENMUNGU WA IBRAHIM, MUNGU WA ISAKA, MUNGU WA YAKOBO kutoka 3:14-16
God bless Israel
Shangaa na wewe.Ila nyie wavaa vijora kuwaombea waarabu ni akili sio?
Kwani we inakuuma nini? au ni akili ya msikitini ndo inakupa shida mbona mnaabudu kwa lugha ya kiarabu na wala hatushangaiIsrael wakiristo ni asilimia ndogo mno ukilinganisha na Wayahudi pamoja na Waislamu ambao ndio dini kuu mbili pale Israel.
Sasa mkiristo unamuombea Israel kama nani maana Wayahudi ambao ndiyo wenye nchi hasa hawana hata habari na maombi ya wakiristo kwasababu wanawachukia vibaya sana.
Kwani wewe unaumia nini wakristo kuiombea Israel ngedere wewe ulitaka waombee mashoga wa iranMkuu hawa binadamu wakuitwa wakristo ni special group inabidi wapimwe mkoj,o maana siamini kama wanatumia akili zao aise.
Yaani utakuta hadi makanisani kuna bendera ya Israel unajiuliza hawa viumbe wamerogwa na nani kwa kiwango hiki?
Huyo Allah baada ya kuwaingiza mkenge na kuangukia pua kala kona na kuzama chaka.Ni sawa! Wengine tumeshaanza dua zetu kitambo sana kwa Palestina 🇵🇸 Tunamuomba Allah amalize vita wala sio kuua mtu.
We shoga unaumiaje wakristo kuiombea wa Israel taifa teule linalomaliza ugaidiAise tunaposema wakristo ni janga la kidunia inabidi iwe inaeleweka.
Sasa unamuombea mtu ambaye hata hakuthamini wala kukujua unaishi vipi na wapi.
Ile nchi ni ya Wayahudi na waislamu acheni shobo nyie wakiristo kujipendekeza.
wakristo mnajipendekeza kwa waisraeli na waisrael hawawataki wala kuwatambua nachowashauri acheni kusoma biblia kwani mnalishwa magimbi pori kutoka kwenye kitabu hicho kilichoandikwa na wazungu kimkakatiView attachment 3116170
Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱
Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel
Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.
Nini maana yake? Israel ni taifa ni teule la Mungu. Mungu hapo zamani alijitambulisha kwamba ni Mungu wa Israel🇮🇱
HAPA KUNA SIRI!
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi pia nimeelekeza familia yangu kufunga na kuomba kwa ajili ya taifa la Israel. Shetani hana nafasi ya kujitwalia utukufu mbele za Mungu wa Yakobo. Baba jina lako libarikiwe. Hakuna Mungu ila wewe; miungu yote itashindwa mbele zako ewe Mtakatifu wa Israel.
waisraeli hawawatambui nyie wakristo acheni kujipendekezaIla nyie wavaa vijora kuwaombea waarabu ni akili sio?