Kuna maombi ulimwenguni kote kuliombea taifa la Israel (pray for Israel)

poor mind set! Asilimia kubwa wa israel sio wa kristo lkn waskristo walivyolishwa matango pori na wazungu ndo umefikia hatua hii
Israel kuna waislam wengi kuliko wakristo,iran kuna wayahudi wengi pia,ni afrika tu ndio tunajiaminisha kwa upumbavu wetu hii vita ni ya kidini
Screenshot_20241005_214040_Chrome.jpg
 
View attachment 3116170

Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱

Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel

Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.

Nini maana yake? Israel ni taifa ni teule la Mungu. Mungu hapo zamani alijitambulisha kwamba ni Mungu wa Israel🇮🇱

HAPA KUNA SIRI!
Uchawa isiokuwa na manufaa huu.
 
Unqfiki wa kiroho. Ombea wote na wanaoteswa na Israel pia
wayahudi na waarabu ni mabedui.
tunaopenda amani hatufurahishwi na mapigano ya pande zote. panapombana wadhalimu kuna watu wema wanalipa gharama.
 
View attachment 3116170

Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱

Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel

Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.

Nini maana yake? Israel ni taifa ni teule la Mungu. Mungu hapo zamani alijitambulisha kwamba ni Mungu wa Israel🇮🇱

HAPA KUNA SIRI!
Wanristo na wayahudi wanaamini katika Mungu mmoja Yahwe.

Wala usione ajabu.

Ala ni shetani
 
Acha kujitoa fahamu wewe,, au kama hujui kitu kaa kimya,, wakristo wengi hasa Africa huvi kwanini mnapenda kujipendekeza kwa wayahudi??
Kimsingi ni hivi,,,, wakristo maana yake ni wafuasi wa kristo/yesu /wanaomfuta yesu.. so yesu hapa ndio msingi/mhimili wa imani ya kikristo, lakini wayahudi huyo yesu hawamkubali na wao ndio waliomuua, wanamuona kama mtoto wa haramu, so huo muingiliano wa ukristo na uyahudi unatoka wapi hapa zaidi nyie walokole wa kwa mfipa kujipendekeza kwao.
 
Ni sawa! Wengine tumeshaanza dua zetu kitambo sana kwa Palestina 🇵🇸 Tunamuomba Allah amalize vita wala sio kuua mtu.
Baada ya kupigwa.
Walivyoua Oct 7, ulikuwa wapi!?
 
View attachment 3116170

Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱

Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel

Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.

Nini maana yake? Israel ni taifa ni teule la Mungu. Mungu hapo zamani alijitambulisha kwamba ni Mungu wa Israel🇮🇱

HAPA KUNA SIRI!
Hivi wanafahamu kuwa islael sio wakristo wenzao? Ni bora kuombea isitokee vita ya tatu ya dunia..sio kuiombea islael
 
View attachment 3116170

Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱

Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel
Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.

Nini maana yake? Israel ni taifa ni teule la Mungu. Mungu hapo zamani alijitambulisha kwamba ni Mungu wa Israel🇮🇱

HAPA KUNA SIRI!
Hao waisrael hawatutambui sisi wakristo infact wanatuona takataka.ni mtu mjinga tu atatoa hayo maombi lakini wenye akili wanamambo muhimu katika nchi zao za kuziombea.
 
View attachment 3116170

Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱

Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel

Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.

Nini maana yake? Israel ni taifa ni teule la Mungu. Mungu hapo zamani alijitambulisha kwamba ni Mungu wa Israel🇮🇱

HAPA KUNA SIRI!
Siwezi kufanya huu upuuzi. Bora niiombee Congo
 
View attachment 3116170

Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱

Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel

Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.

Nini maana yake? Israel ni taifa ni teule la Mungu. Mungu hapo zamani alijitambulisha kwamba ni Mungu wa Israel🇮🇱

HAPA KUNA SIRI!
Kwani Israeli watu wake dini gani? Na wewe unayewaombea ni dini gani?
 
View attachment 3116170

Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱

Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel

Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.

Nini maana yake? Israel ni taifa ni teule la Mungu. Mungu hapo zamani alijitambulisha kwamba ni Mungu wa Israel🇮🇱

HAPA KUNA SIRI!
Badala ya kuombea nchi Yako ukawaombee mashoga ww sio mzima
 
Back
Top Bottom