matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mungu alipombariki ibrahim ni ili kupitia wazao wake wa kiroho sio wa kimwili. Ndio maana biblia inasemaNaomba ukakisome tena Mkuu utaelewa kwanini Paul alikuwa na sinto fahamu na Petro juu ya hilo.
Je ahadi zilizoko ndani ya agano la kale ni hai au zimepitwa na muda wake.?
Wagalatia 3:29
Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.
Mkristo ndio mzao wa Ibrahim sio wale jamaa wa Pale Palestine. Ahadi zote za agano la kale ni kwa wale qmbao watampokea Yesu wakiwemo na kabila la wayahudi. Msukuma na Myahudi aliyempokea Yesu wote ni sawa. Ila myahudi asiyempokea Yesu ni sawa na Muislam asiyemnua Yesu hawana tofauti.
pia hao unaowaita waisrael wengi sio ni wazungu waliojibadili majina. Kama ulikuwa hujui Hata Benjamin Netanyahu ni mpoland anayeitwa Benzion Mileikowsky