Kuna maombi ulimwenguni kote kuliombea taifa la Israel (pray for Israel)

Usigeneralise hao ni walokole wachache na sio Dunia nzima
 
Watu wengine wapumbavu sana. Mnashabikia dini zilizoletwa na Wazungu na Waarabu. Hizo dini ni za watu wachache ambao waliamua kukaa majopo na kuandika maandiko na kuwaletea watu weusi msiotaka kuumiza vichwa. Tafuteni hela msipokuwa makini mtaolewa na wanaume wenzenu.
 
Mimi  swali linalonitatiza ni je, Mungu atasikiliza maombi yapi? Waisrael wawashinde waarabu na waajemi au kinyume chake? Wote si watoto wa Mungu huyo huyo? Au Mungu wa Israel ni tofauti na wa hao wengine?

Au maombi yote hayo ni ubatili tu na hayana tija?
 
Mungu wa Israel mana yake wa Yakobo sio hilo taifa lakishoga. Acheni ujinga kumzulia Mungu uwongo.
 
Tukisema humu,
Baadhi ya dini zimewafanya Waumini wake ndondocha mnabisha.

Nadhani Ifike hatua serikali yetu sikivu,
izitangaze baadhi ya Imani za kidini Kama MAGENGE YA UHALIFU
Waafrica kwa kupenda miujiza. Israel anawatwanga wezake wao wanaona raha, ukijua kupiga ujue na kupigwa.
Sasa badala wahikize mazunguzo ya kumaliza mgogoro wao wanazisha maombi. Mwafrica maombi ni suluhisho la kila tatizo
 
Taifa teule mnaliombea nyie msio wateule?dunia ina mambo sana
 
Tukisema humu,
Baadhi ya dini zimewafanya Waumini wake ndondocha mnabisha.

Nadhani Ifike hatua serikali yetu sikivu,
izitangaze baadhi ya Imani za kidini Kama MAGENGE YA UHALIFU
Yes hasa ile dini inayozalisha magaidi kila kukicha. Dini ya haki
 
Hahahah maombi ya kinafiki tu hayaendi kokote hata muombe dunia nzima.
 

Tuendelee kuwaombea...

 
: HEBU TUJIULIZE KIDOGO..

Mzungu anatumia millions of money kwajili ya kuchapisha Biblia

Anatumia millions of money kwajili ya safari yake ya ndege kuja africa

Anatumia millions of money kusafilisha mamia ya makontena yalio jaa Biblia katika meli

Anatumia millions of money kwajili ya hotel na matumizi ya masiku miezi na masaa kwa mda atakao kaa hapa africa

Bado atatumia millions of money kwajili ya kuhakikisha kila Biblia alio ibeba inafika KWA mamilion ya watoto mashuleni na majumbani.

Kiufupi anatumia billions of money kwajili tu ya kuja kuwafundisha ukristo..

MZUNGU hajawai kuja na kitabu cha kufundisha jinsi ya kutengeneza pikipiki

MZUNGU hajawai kuja na kitabu cha kufundisha jinsi ya kutengeneza dawa

MZUNGU hajawai kuja na kitabu cha kufundisha jinsi ya kutengeneza computer

MZUNGU hajawai kuja na kitabu cha kufundisha jinsi ya kutengeneza simu

USHAWAI KUJIULIZA KWANINI?

Muarabu anatumia millions of money kwajili ya kuchapisha quraan

Anatumia millions of money kwajili ya mamia ya makontena yalio jaa quraan ili ya weze kufika africa

Anatumia millions of money kwajili ya hotel atakayo fikia

Anatumia millions of money kwajili ya kuhakikisha kila kitabu alicho beba kinawafikia watoto na watu wazima huku vijijini kwetu.

Muarabu hajawai kufundisha jinsi ya kutengeneza marashi na manukato

Hajawai kufundisha jinsi ya kutengeneza vitambaa kwajili ya kanzu mabaibui na vilemba

Hajawai kufundisha kutengeneza vipodozi kama wanja

Vilevile huwezi hata kuwafundisha kilimo cha tende..

Kiufupi wote(mzungu/muarabu) wanatumia billions of money kwajili ya kuwafundisheni dini

HIVI USHAJIULIZA KWANINI?
KWANINI SIO VYOTE ILA NI DINI TU?

AKILI ISHAANZA KUAMKA AU NIKUACHE KWANZA?
: Lengo kuu la dini ni kulainisha mioyo ya waafrika ili iwe rahisi kututawala.....

Wametengeneza hofu katika mahubiri yao ili tukeshe kuitafuta pepo ilihali wao muda huo wanaendelea na shughuli za kuzalisha pamoja na kuongeza maarifa mabali mbali.

Mfumo wa elimu walioleta bado ni wa kumfanya mwafrika kuwa tegemezi kwao ....

Mifumo ya siasa wameifanya Afrika kuwa tegemezi kwao...

Kupitia dini zao imetufanya tuamini matambiko yetu na tiba zetu ni ushirikina.....

Jerusalem na mecca zimetengwa kama sehemu za watu kwenda kuhiji ..... Vipi yanayofanyika huko na matambiko yetu Africa??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…