View attachment 3116170
Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱
Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel
Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.
Nini maana yake? Israel ni taifa ni teule la Mungu. Mungu hapo zamani alijitambulisha kwamba ni Mungu wa Israel🇮🇱
HAPA KUNA SIRI!
:
HEBU TUJIULIZE KIDOGO..
Mzungu anatumia millions of money kwajili ya kuchapisha Biblia
Anatumia millions of money kwajili ya safari yake ya ndege kuja africa
Anatumia millions of money kusafilisha mamia ya makontena yalio jaa Biblia katika meli
Anatumia millions of money kwajili ya hotel na matumizi ya masiku miezi na masaa kwa mda atakao kaa hapa africa
Bado atatumia millions of money kwajili ya kuhakikisha kila Biblia alio ibeba inafika KWA mamilion ya watoto mashuleni na majumbani.
Kiufupi anatumia billions of money kwajili tu ya kuja kuwafundisha ukristo..
MZUNGU hajawai kuja na kitabu cha kufundisha jinsi ya kutengeneza pikipiki
MZUNGU hajawai kuja na kitabu cha kufundisha jinsi ya kutengeneza dawa
MZUNGU hajawai kuja na kitabu cha kufundisha jinsi ya kutengeneza computer
MZUNGU hajawai kuja na kitabu cha kufundisha jinsi ya kutengeneza simu
USHAWAI KUJIULIZA KWANINI?
Muarabu anatumia millions of money kwajili ya kuchapisha quraan
Anatumia millions of money kwajili ya mamia ya makontena yalio jaa quraan ili ya weze kufika africa
Anatumia millions of money kwajili ya hotel atakayo fikia
Anatumia millions of money kwajili ya kuhakikisha kila kitabu alicho beba kinawafikia watoto na watu wazima huku vijijini kwetu.
Muarabu hajawai kufundisha jinsi ya kutengeneza marashi na manukato
Hajawai kufundisha jinsi ya kutengeneza vitambaa kwajili ya kanzu mabaibui na vilemba
Hajawai kufundisha kutengeneza vipodozi kama wanja
Vilevile huwezi hata kuwafundisha kilimo cha tende..
Kiufupi wote(mzungu/muarabu) wanatumia billions of money kwajili ya kuwafundisheni dini
HIVI USHAJIULIZA KWANINI?
KWANINI SIO VYOTE ILA NI DINI TU?
AKILI ISHAANZA KUAMKA AU NIKUACHE KWANZA?
: Lengo kuu la dini ni kulainisha mioyo ya waafrika ili iwe rahisi kututawala.....
Wametengeneza hofu katika mahubiri yao ili tukeshe kuitafuta pepo ilihali wao muda huo wanaendelea na shughuli za kuzalisha pamoja na kuongeza maarifa mabali mbali.
Mfumo wa elimu walioleta bado ni wa kumfanya mwafrika kuwa tegemezi kwao ....
Mifumo ya siasa wameifanya Afrika kuwa tegemezi kwao...
Kupitia dini zao imetufanya tuamini matambiko yetu na tiba zetu ni ushirikina.....
Jerusalem na mecca zimetengwa kama sehemu za watu kwenda kuhiji ..... Vipi yanayofanyika huko na matambiko yetu Africa??????