Kuna Marafiki Sio wa Kwenda Nao Sehemu

Huyo rafikiyo ni malaya, au nitumie neno gani mzigua ili kupunguza ukali wa tabia yake?

Angalia tu watu wasije kutumia msemo maarufu, "birds of the same feathers....."
Huo huwaga haupo kwangu. Nina tabia za kwangu peke angu. Nimeshakua na marafiki wa tabia zote ila sijawahi iga tabia ya mtu. Sana sana mtu akiniiga mimi lazima apotee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akufaae kwa dhiki ndie rafiki

Yani mimi kua na urafiki na mtoto wa kike
Ni sawa na kushika mua kama fimbo ya kutembelea.
Ipo siku ntamtafuna tu urafiki kusaidiana bwana
Kupunguziana genye

Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
 
Akufaae kwa dhiki ndie rafiki

Yani mimi kua na urafiki na mtoto wa kike
Ni sawa na kushika mua kama fimbo ya kutembelea.
Ipo siku ntamtafuna tu urafiki kusaidiana bwana
Kupunguziana genye

Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
Labda ila sijawahi kutoka na rafiki yangu kwanza hizo hamu hazipogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…