Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

WIZARA YA UTUMISHI
WIZARA YA TAMISEMI
 
Mleta mada utafanya mawaziri uko walipo waanze kutafuta makamera wapige tukio fasta paaa mtu katumbuliwa jmosi
 
Huyu kaka mkubwa wa hawa jamaa wanao ishi kwenye mabati atapona kweli ?
 
Tatizo si gari bali ni dereva
 
Hata mimi naona hayaendi kabisaa yani kama vile wamekaa wanamshaangaa badala ya kumsaidia kulisukuma gurudumu la mendeleo dah kweli uongozi Afrika ni kama kujitwisha gunia la misumari.
 
Ndani ya binadamu walioumbwa na mwenyezi Mungu huwezi ukampata,binadamu mnayefanana kwa asilimia zote ziwe za kimaumbele,ziwe za kiutendaji,kila binadamu ameumbwa na udhaifu wake unaotofautiana na udhaifu wa mwenzake ila ametupa uwezo wa kuchukuliana madhaifu yetu,aliye na udhaifu juu ya kitu hiki mwenzake asiye na udhaifu wa hicho kitu ana msaidiya kukifanya.

Akitaka kuwapata watu watakao kwenda sawa na kasi yake awafukuze watu wote,wizara zote aongoze mwenyewe,kazi zote afanye mwenyewe tofauti na hivyo hakuna atayempata zaidi zaidi atawapata wavurugaji wanao tafuta kumfurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…