Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote



HUYU NDIYE RAIS TUNAYEMTAKA, SIYE YULE ALIYEACHA UWOZO KILA KONA YA NCHI
 
Na yule anayelala na nguo za jeshi ili apigie picha likitokea tukio la usiku?
 

Hahahahahaha haya mkuu ubarikiwe hahahahahaha
 
Reactions: BAK
Serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani katika miezi sita ya mwanzo ilikuwa active sana na kwa muda mchache tulipata mafanikio makubwa sana. Endapo itaendelea kwa spidi ile ile Tanzania tutafika mbali sana, nowdays mawaziri wamepunguza kasi, wabunge na serikali za mitaa zimepunguza spidi. Viongozi waongeze juhudi na ubunifu kuijenga nchi yetu kwa mafanikio zaidi
 
Kuhusu viongoz wa dini labda anatafta mwakilishi
 
Hivi tunategemea nin kama watu wanafungiwa ndani hawawezi kutoka nje kujifunza nin kinaendelea dunian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…