Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Huo ni Mlonge ila kula 4 asubuhi na 4 jioni ila inategemea na tumbo lako kama unataka kuhara kula hata kumi kisha kunywa maji ya kutoshaSalaam wana JF
Kwa wale wasafiri wa kanda ya ziwa hasa kutokana Mwanza kwenda mikoa mingine mtakua mashahidi kwa hili...
Ushauri mzuri kabisa huuAngalia usije ukaishiwa maji tu mwilini
Yaap ur right jamaa alituambia tukishatumia hii mbegu ,tusinywe maji ya baridini moja ya dawa bora sana, na ukitaka ujue tumbo ni jalala Zaidi ya dampo, kunywa hii kitu, just be alone at home with a private toilet, hii dawa kiboko, the good thing is ukinywa maji ya baridi tu, inakata mda huohuo, lakin shughuli yake si mchezo
Mkuu ukinywa hiyo dawa tumbo haliumi?ni moja ya dawa bora sana, na ukitaka ujue tumbo ni jalala Zaidi ya dampo, kunywa hii kitu, just be alone at home with a private toilet, hii dawa kiboko, the good thing is ukinywa maji ya baridi tu, inakata mda huohuo, lakin shughuli yake si mchezo
Mkuu nimejikuta nacheka tu tena Sana yaani ulivoandika nikawa navuta picha mbavu Sina eti unaeza vuta kilaini,daaah mkuu umeniongezea siku jioni hii nikiwa nasubiria mechi ya Simba na Al masry,hivo vimbegu ninavo viwili nilinunua mwezi uliopita ,naogopa ht kuvimeza , aisee ila nitameza tuu!
Haliumi lakini linavurugika mpaka basi, unaweza ukahamia chooni kabisa, lakin ikishakata you will feel different, mwili unakuwa mwepesi and more energeticMkuu ukinywa hiyo dawa tumbo haliumi?
Ahahaaaaisee hatari sana hiyo kitu *****, first time nlikula tumbo likaanza kuunguruma sauti za ajabu like kuna mdudu tumboni, si nkatest kujamba kumbe maronyoso ndo yalikuwa njiani aisee ushuz ulinuka sana hapo hapo nkawah toi kutest kujamba tena koki ikafunguka yalitoka kwa spidi ya tsunami!
Hahaaaa hio ni kiboko[emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliwahi kutumia hii dawa. Halafu nilimeza vimbegu viwili jamani mwenzenu. Nilikaa chumbani kwangu naingia chooni kila baada ya sekunde kumi mwishowe nikavua nguo zote nikawa uchi muda wa kuvua hata kanga mwilini ulikuwa hautoshi unaweza shtukia vitu vimeshuka mapajani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hio dawa ni kiboko na mimi niitafute maana naona kama nyie mlifaidi kinomaaisee hatari sana hiyo kitu, first time nlikula tumbo likaanza kuunguruma sauti za ajabu like kuna mdudu tumboni, si nkatest kujamba kumbe maronyoso ndo yalikuwa njiani aisee ushuz ulinuka sana hapo hapo nkawah toi kutest kujamba tena koki ikafunguka yalitoka kwa spidi ya tsunami!
Kwenye maduka ya dawa za kisunna, sema nataka "Habbatl-mulku"kwa dar zinapatikana wapi hizo mbegu.
Hii unatakiwa utumie nusu tu, yaani ile mbegu moja igawe mara mbili hapo haitakusumbua. Mie natumia hadileo nikiona tumbo langu linvurugu nyingi,choo hakipatikani vizuri hiyo ndio dawa yangu ya kuflash utumbo mkubwa.Niliharisha siku nzima miguu ikachoka .nikabaki kusimama huku nahara mimaji .
Ni shida