Kuna mbinu za makusudi za kuiua Serengeti ya Tanzania na Masai Mara ya Kenya ili kukuza Dubai Safari Park kwa ajili ya utalii wa wanyama wa porini?

Serengeti haiwezi kufa wala hakuna nchi inaweza jenga Serengeti kwa hio mkuu acha woga
 
Madini ambayo tunachimba mpaka sasa yanatunufaisha nini? Mama chondechonde acha SERENGETI .
 
Ningelikuwa kwenye nafasi fulani nyeti sana, ningefanya vyovyote kumzuia yeyote mwenye ulafi na ulaku na tamaa kwenye rasilimali za Tanzania.

Wale wapo kwenye hizo nafasi wapo wanaona kabisa hali si shwari Ila wanaminya kimya, wanasahau walikula kiapo kulinda Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania na mipaka yake.

Wote tutakufa hakuna atakayebaki milele kwenye hii dunia either uwe tajiri,masikini,kiongozi mlafi na mwenye kuhujumu rasilimali za nchi husika.

Kuna matendo wanafanya binadamu haswa wale wenye madaraka ya kulevya mpaka shetani anapiga ukunga na kustaajabu.

Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, ipo siku watajitoa watu kutetea masilahi ya wananchi na rasilimali za nchi yao.

Hallelujah!!!

VERY SOON VERY SOON VERY SOON!!!
 
Kwa ukubwa wa Serengeti kama 10% tu ya eneo lake litakuwa na madini either dhahabu au madini ya Vito kama safire n.k basi ni heri yachimbwe tu. Mapori yako mengi. Artificial safari ya Dubai haitaweza kushindana na Tanzania yenye hifafhi kama utitiri.
Tumeanza kuchimba Gold 🪙, Tanzanite, Ruby na mengine meengii miaka dahari na dahari, haya tuambie tumedaidikaje mpaka sasa kabla ya kuvamia hayo ya kwenye NPs??
 
Tumeanza kuchimba Gold 🪙, Tanzanite, Ruby na mengine meengii miaka dahari na dahari, haya tuambie tumedaidikaje mpaka sasa kabla ya kuvamia hayo ya kwenye NPs??
Tumekuwa na hifadhi tangu tupate uhuru. Hiyo Serengeti ilianzishwa na Waingereza kuwa hifadhi rasmi je, imetukwamua na umaskini?
 
Tumekuwa na hifadhi tangu tupate uhuru. Hiyo Serengeti ilianzishwa na Waingereza kuwa hifadhi rasmi je, imetukwamua na umaskini?
Imeanzishwa na Wajerumani siyo waingereza...kama ambavyo hifadhi nyingi na misitu ya hifadhi ilivyoanzishwa na wakoloni. Ninaweza kukuletea takwimu za mapato ya utalii tokea Serengeti ianzishwe mpaka leo ila na wewe uniletee takwimu za mapato ya madini tuliyopata tokea uhuru mpaka sasa kwa maana nchi imepata asilimia ngapi na makampuni ya madini yametia mifukoni asilimia ngapi, uko tayari??
 
Wajerumani walianzisha ila kuwa rasmi documented ni kazi ya Mwingereza
 
Wewe kwelibkiboko ya jiwe unaandika ujinga sana.kubwa jinga flani hivi lina bwawaja tu.
 
kwan miaka yote hiyo kodi zetu wamefanyia nini ? ilihali kila mradi umejengwa kwa mkopo , je hatujawai chimba madini ? je yametupa pesa gan,? viongoz wabovy ndo wananufaika
 
Wajerumani walianzisha ila kuwa rasmi documented ni kazi ya Mwingereza
View attachment 3049559
Mjerumani aliyeitwa Bernhard Grzimek na mwanaye Michael ndiyo waaasisi wakuu na wamefanya mengi sana kama tafiti na kuandika kitabu na kutengeneza filamu maarufu ya Serengeti Shall Not die, ambayo ndiyo iliyoifungua hiyo hifadhi huko duniani. Huyu mjerumani na mwanawe walikuja baadae kufariki kwa ajali ya ndege huko huko Serengeti na kuzikwa huko huko na kaburi lipo mpaka leo, ni sehemu ya utalii ( I stand to be corrected in some areas). Waingereza kikubwa walichofanya kwenye utawala wao, pamoja na Mambo mengine, ni kuwafukuza Wamasai mwaka 1951 na kuwahamishia Ngorongoro. Wakati Serengeti ikiwa Game Reserve miaka ya 1921 hiyo mbuga ilikuwa ni makazi ya Wamasai, na neno Serengeti ni asili yake kimasai ikimaanisha endless plains yaani mbuga isiyo na mwisho ukiiangalia huoni mwisho. Mwaka jana nilibahatika kuitembelea hiyo mbuga yoootee na kiukweli sijawahi kuona hifadhi ya kipekee, yenye wanyama wengi na wa kila aina kama hiyo. Magari ya watalii na idadi ya watalii niliowaona kwa siku 5 nilizokuwa huko was astonishing!! Kila cruiser au Land Rover moja na wataliii wake ndani nikaambiwa mpunga tunaovuna ni not less than 10milion, sasa ukipiga na muda wote wa high season uishe ni madola mengiii sana...
 
Kwa ukubwa wa Serengeti kama 10% tu ya eneo lake litakuwa na madini either dhahabu au madini ya Vito kama safire n.k basi ni heri yachimbwe tu. Mapori yako mengi. Artificial safari ya Dubai haitaweza kushindana na Tanzania yenye hifafhi kama utitiri.
Hapana yasichimbwe yabaki tu ardhini
 
Oh really, ujuha? Nadhani niliku-overate, kwa sababu you have to be a certifiably dumb person kufikira Dubai Safari Park haina room for expansion, kwamba ilipojengwa wali-exhaust all space around it, na kwamba ukiwa una plan kuziua Serengeti na Masai Mara hutakuwa ukifikiria expansion ya Dubai Safari Park

Pia, I sijasema Dubai wanataka kui-clone Serengeti ndani ya Dubai Safari Park, kwa hiyo argument ya Serengeti kuwa 1,000 bigger than Dubai Safari Park is null and void. Na ikiwa size matters that much kwako, fikiria idadi ya watalii wanaoenda Kruger National Park ya South Africa, dhidi ya idadi ya visitors Serengeti, na how many times Kruger national Park inaingia kwa Serenegeti.
 
Hapana yasichimbwe yabaki tu ardhini
Hivi walijuaje kuna madini huko mbugani Serengeti na kwingineko, nani aliwaruhusu kufanya huo utafiri ikiwa TANAPA walishasema hakuna kuchimba madini mbugani? Nani kamwambia Samia kuna madini huko, na huyo aliemwambia amejuaje, alifanya lini huo utafiti, exploration?
 
Serengeti haiwezi kufa wala hakuna nchi inaweza jenga Serengeti kwa hio mkuu acha woga
Tatizo ni kwamba watu wenye point kama zako hamuelewi kabisa somo kama hii thread, na viongozi wakijua Watanzania wengi wako hivi ndio wanafanya mambo ya ajabu kwa kujiamini kabisa
 
Unaouongea ni ujinga wa kujitungia.

Dubai safari park siyo safari park ya kwanza duniani. Zipo nyingi tu duniani. Watu wanawachana na zoo duniani ili wanyama wajifaraguwe.

Serengeti ipo na itaendelea kuwepo na hao EWaarabu wamewekez sana Serengeti.

Unafahamu kuwa moja ya hoteli za gharama kubwa duniani ipo Serengeti na Waarabu wana hisa zao humo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…