Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa hiyo tumtegemee MKenya katika jambo hili?Uzuri au ubaya ekolojia ya Serengeti inafika hadi Masai Mara Kenya. Na tunawajua vizuri wakenya kwa kupiga kelele, hili watalivalia njuga.
Huna akili ww!Wacha yachimbwee tunataka mapato yaongezeke
Tumeanza kuchimba Gold 🪙, Tanzanite, Ruby na mengine meengii miaka dahari na dahari, haya tuambie tumedaidikaje mpaka sasa kabla ya kuvamia hayo ya kwenye NPs??Kwa ukubwa wa Serengeti kama 10% tu ya eneo lake litakuwa na madini either dhahabu au madini ya Vito kama safire n.k basi ni heri yachimbwe tu. Mapori yako mengi. Artificial safari ya Dubai haitaweza kushindana na Tanzania yenye hifafhi kama utitiri.
Tumekuwa na hifadhi tangu tupate uhuru. Hiyo Serengeti ilianzishwa na Waingereza kuwa hifadhi rasmi je, imetukwamua na umaskini?Tumeanza kuchimba Gold 🪙, Tanzanite, Ruby na mengine meengii miaka dahari na dahari, haya tuambie tumedaidikaje mpaka sasa kabla ya kuvamia hayo ya kwenye NPs??
Imeanzishwa na Wajerumani siyo waingereza...kama ambavyo hifadhi nyingi na misitu ya hifadhi ilivyoanzishwa na wakoloni. Ninaweza kukuletea takwimu za mapato ya utalii tokea Serengeti ianzishwe mpaka leo ila na wewe uniletee takwimu za mapato ya madini tuliyopata tokea uhuru mpaka sasa kwa maana nchi imepata asilimia ngapi na makampuni ya madini yametia mifukoni asilimia ngapi, uko tayari??Tumekuwa na hifadhi tangu tupate uhuru. Hiyo Serengeti ilianzishwa na Waingereza kuwa hifadhi rasmi je, imetukwamua na umaskini?
Wajerumani walianzisha ila kuwa rasmi documented ni kazi ya MwingerezaImeanzishwa na Wajerumani siyo waingereza...kama ambavyo hifadhi nyingi na misitu ya hifadhi ilivyoanzishwa na wakoloni. Ninaweza kukuletea takwimu za mapato ya utalii tokea Serengeti ianzishwe mpaka leo ila na wewe uniletee takwimu za mapato ya madini tuliyopata tokea uhuru mpaka sasa kwa maana nchi imepata asilimia ngapi na makampuni ya madini yametia mifukoni asilimia ngapi, uko tayari??
Wewe kwelibkiboko ya jiwe unaandika ujinga sana.kubwa jinga flani hivi lina bwawaja tu.Nakwenda mbali zaidi ni kwamba kama 10% ya eneo la Serengeti litachimbwa madini basi itapatikana pesa nyingi sana itakayoweza kuendesha nchi bila kuyumba kwa miaka kadhaa, na kama asilimia zitazidi na pesa itaongezeka hivyo ustawi katika jamii utaongezeka.
Tuna hifadhi nyingi sana. Tuna mapori tengefu mengi , Dubai mwenye kieneo kidogo tena artificial hataweza kukompiti na Tanzania kwenye wild tourism labda tu kwasababu ya ujinga wa watu wachache watakaosomamia hizo hifadhi zetu
kwan miaka yote hiyo kodi zetu wamefanyia nini ? ilihali kila mradi umejengwa kwa mkopo , je hatujawai chimba madini ? je yametupa pesa gan,? viongoz wabovy ndo wananufaikaNakwenda mbali zaidi ni kwamba kama 10% ya eneo la Serengeti litachimbwa madini basi itapatikana pesa nyingi sana itakayoweza kuendesha nchi bila kuyumba kwa miaka kadhaa, na kama asilimia zitazidi na pesa itaongezeka hivyo ustawi katika jamii utaongezeka.
Tuna hifadhi nyingi sana. Tuna mapori tengefu mengi , Dubai mwenye kieneo kidogo tena artificial hataweza kukompiti na Tanzania kwenye wild tourism labda tu kwasababu ya ujinga wa watu wachache watakaosomamia hizo hifadhi zetu
Mjerumani aliyeitwa Bernhard Grzimek na mwanaye Michael ndiyo waaasisi wakuu na wamefanya mengi sana kama tafiti na kuandika kitabu na kutengeneza filamu maarufu ya Serengeti Shall Not die, ambayo ndiyo iliyoifungua hiyo hifadhi huko duniani. Huyu mjerumani na mwanawe walikuja baadae kufariki kwa ajali ya ndege huko huko Serengeti na kuzikwa huko huko na kaburi lipo mpaka leo, ni sehemu ya utalii ( I stand to be corrected in some areas). Waingereza kikubwa walichofanya kwenye utawala wao, pamoja na Mambo mengine, ni kuwafukuza Wamasai mwaka 1951 na kuwahamishia Ngorongoro. Wakati Serengeti ikiwa Game Reserve miaka ya 1921 hiyo mbuga ilikuwa ni makazi ya Wamasai, na neno Serengeti ni asili yake kimasai ikimaanisha endless plains yaani mbuga isiyo na mwisho ukiiangalia huoni mwisho. Mwaka jana nilibahatika kuitembelea hiyo mbuga yoootee na kiukweli sijawahi kuona hifadhi ya kipekee, yenye wanyama wengi na wa kila aina kama hiyo. Magari ya watalii na idadi ya watalii niliowaona kwa siku 5 nilizokuwa huko was astonishing!! Kila cruiser au Land Rover moja na wataliii wake ndani nikaambiwa mpunga tunaovuna ni not less than 10milion, sasa ukipiga na muda wote wa high season uishe ni madola mengiii sana...Wajerumani walianzisha ila kuwa rasmi documented ni kazi ya Mwingereza
View attachment 3049559
Hapana yasichimbwe yabaki tu ardhiniKwa ukubwa wa Serengeti kama 10% tu ya eneo lake litakuwa na madini either dhahabu au madini ya Vito kama safire n.k basi ni heri yachimbwe tu. Mapori yako mengi. Artificial safari ya Dubai haitaweza kushindana na Tanzania yenye hifafhi kama utitiri.
Oh really, ujuha? Nadhani niliku-overate, kwa sababu you have to be a certifiably dumb person kufikira Dubai Safari Park haina room for expansion, kwamba ilipojengwa wali-exhaust all space around it, na kwamba ukiwa una plan kuziua Serengeti na Masai Mara hutakuwa ukifikiria expansion ya Dubai Safari ParkUjuha huo, unafananisha safari park na serengeti?
Ukubwa wa Serengeti, siyo safari park tu ya Dubai, Dubai yenyewe na majengo yake na bandari zake na fukwe zake zitaingia mara nne.
Kama ni safri parfk tu ya Dubai ni mra zaidi 1,000 itaingia ndani ya serengeti na isionekane.
Yaongezeke Tanzania au Dubai?Wacha yachimbwee tunataka mapato yaongezeke
Hivi walijuaje kuna madini huko mbugani Serengeti na kwingineko, nani aliwaruhusu kufanya huo utafiri ikiwa TANAPA walishasema hakuna kuchimba madini mbugani? Nani kamwambia Samia kuna madini huko, na huyo aliemwambia amejuaje, alifanya lini huo utafiti, exploration?Hapana yasichimbwe yabaki tu ardhini
Tatizo ni kwamba watu wenye point kama zako hamuelewi kabisa somo kama hii thread, na viongozi wakijua Watanzania wengi wako hivi ndio wanafanya mambo ya ajabu kwa kujiamini kabisaSerengeti haiwezi kufa wala hakuna nchi inaweza jenga Serengeti kwa hio mkuu acha woga
Unaouongea ni ujinga wa kujitungia.Oh really, ujuha? Nadhani niliku-overate, kwa sababu you have to be a certifiably dumb person kufikira Dubai Safari Park haina room for expansion, kwamba ilipojengwa wali-exhaust all space around it, na kwamba ukiwa una plan kuziua Serengeti na Masai Mara hutakuwa ukifikiria expansion ya Dubai Safari Park
Pia, I sijasema Dubai wanataka kui-clone Serengeti ndani ya Dubai Safari Park, kwa hiyo argument ya Serengeti kuwa 1,000 bigger than Dubai Safari Park is null and void. Na ikiwa size matters that much kwako, fikiria idadi ya watalii wanaoenda Kruger National Park ya South Africa, dhidi ya idadi ya visitors Serengeti, na how many times Kruger national Park inaingia kwa Serenegeti.