Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nimebarikiwa.Ulaaniwe wewe na kizazi chako, nakazia.
Hivyo laana unayoitoa ni sawa na kujilaani wewe mwenyewe na ukoo wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimebarikiwa.Ulaaniwe wewe na kizazi chako, nakazia.
Halafu hasikii la kuambiwa kwa sababu yeye ni.....Huyu mama anajiona ana akili kuliko Nyerere, Mwinyi, Mkapa , kikwete na Magufuli, wote hao hawajachimba ila kwakua yeye ni jiniaz basi anachimba.
Jinga kweli wewe,,, kwa madini gani yanayoweza kuipeleka Tz mbali,,, kila kitu failuresNakwenda mbali zaidi ni kwamba kama 10% ya eneo la Serengeti litachimbwa madini basi itapatikana pesa nyingi sana itakayoweza kuendesha nchi bila kuyumba kwa miaka kadhaa, na kama asilimia zitazidi na pesa itaongezeka hivyo ustawi katika jamii utaongezeka.
Tuna hifadhi nyingi sana. Tuna mapori tengefu mengi , Dubai mwenye kieneo kidogo tena artificial hataweza kukompiti na Tanzania kwenye wild tourism labda tu kwasababu ya ujinga wa watu wachache watakaosomamia hizo hifadhi zetu
Ni kweli kiasi fulani, lakini huoni kwamba safari hii mjomba factor imekuwa kubwa sana? Katika hili la Serengeti huwezi kusema "sisi wenyewe" tunaziua mbuga, wakati kulikuwa na msimamo mkali wa TANAPA kwamba hakuna kuchimba madini katika hifadhi yeyote ya serikali, jambo ambalo sasa limepinduliwa na raisi. Au unataka TANAPA waingie katika confrontation na raisi, watumie askari wao kuzuia kampuni yeyote ya madini kuingia mbugani kwa lengo la kuchimba madini?Hakuna mbinu za makusudi mnaziua wenyewe Mbuga zenu,mnatoa wamasai na kuleta wachimba madini mbugani,wawindaji si ukichaa huo.
Next 20 years tutakua tunaenda kushangaa wanyama kama tembo na Faru Dubai.
Mkuu uchumi wetu utaharibika sana. Inasikitisha na kutia huzuni. Fisiumu ni janga kwa TzNachoona hata maeneo ya mashamba watachukua tutabaki tupu wakimaliza kugawa hizo mbuga..sasa makampuni ya Utalii ya nini kama huko huko tena anavuruga ina maana hayo madini yapo mbuga za Tanzania tu haoni Nchi zingine wapo makini kwenye hili swala..
Kuna msemo kwamba ukimwaga ugali na mie namwaga mboga. Sasa Nape na Makamba, wamemwagiwa ugali, labda sasa hii ni nafasi kwao kutuambia ni nini kinaendelea huko juu kuhusu mutakabali wa nchi yetu, maana tunaona kama kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea. Kama hamuwezi kusema waambeni wale wenye uwezo wa kuchukua hatua. Ila muwe very careful, maana hata polisi, wakati hawajui watu wanatekwa na nani, wanasema sio wao wanaoteka.Mkuu uchumi wetu utaharibika sana. Inasikitisha na kutia huzuni. Fisiumu ni janga kwa Tz
Tuliambiwa hivi hivi kwenye tanzanite, gesi nk nkNakwenda mbali zaidi ni kwamba kama 10% ya eneo la Serengeti litachimbwa madini basi itapatikana pesa nyingi sana itakayoweza kuendesha nchi bila kuyumba kwa miaka kadhaa, na kama asilimia zitazidi na pesa itaongezeka hivyo ustawi katika jamii utaongezeka.
Vurugu na sumu za uchimbaji kwa wanyama zitaenea zaidi ya hizo 10%. Athari zake kwa utalii zitachafua Serengeti yote na si hizo 10% tu.Kwa ukubwa wa Serengeti kama 10% tu ya eneo lake litakuwa na madini either dhahabu au madini ya Vito kama safire n.k basi ni heri yachimbwe tu. Mapori yako mengi. Artificial safari ya Dubai haitaweza kushindana na Tanzania yenye hifafhi kama utitiri.
Uzuri au ubaya ekolojia ya Serengeti inafika hadi Masai Mara Kenya. Na tunawajua vizuri wakenya kwa kupiga kelele, hili watalivalia njuga.Serengeti si ya Samia. Si ya kujiamulia tu kufanya unachotaka. Ile ni urithi wa dunia.
Ikolojia yake tu haipaswi kuwa disturbed kwa kuweka lami. Lazima UNESCO wakupe ruhusa ya kufanya hivyo. Ije kuwa shughuli za uchimbaji? Kuna idadi kubwa sana ya dollars zinamwaga kuitunza Serengeti. Watu wanatoa pesa zao za misaada kuendeleza hifadhi hiyo.
Wakati fulani Kikwete alitaka kushinikiza tuchimbe chumvi pale ziwa Natron. Makazi ya zaidi asilimia 75 ya Flamengo dunia nzima. Alichoambiwa, akafunga mdomo na dili lote likayeyuka.
Kuna upuuzi mwingi unashinikizwa kwa manufaa ya watu fulani fulani. Na Rais pasipo kufanya utafiti vema akayavaa mazima mazima. Tukemee.
Hakuna cha maana tunachofaidika haswa na madini yetu. Mapapa wa madini wananeemeka, sisi tunaachiwa mashimo na kemikali hatari kwa wananchi wetu..
Sasa tunaamua kujaribu kuiua Serengeti kwa manufaa ya wajomba. Tukemee.
mkuu hoja yako ni ya msingi, kukukumbusha tu hili suala halijaanza leo wala jana, kuna wakati kulikua mpaka na mkono wa CDF mmoja hivi, lakini usijali suala hili halitakua na mwisho mwema. Tamaa ya pesa haiwezi kutufanya kama taifa tukakengeuka, kama ni madini hatujaanza kuchimba leo.Na hiyo asilimia 10% ya Serengeti ni kakipande kadogo pembeni mwa Serengeti tutakapochimba, kwa hiyo hakuna tatizo? Ndani ya mbuga ya Serengeti, hata kama ni eneo la 2% ya mbuga, haifai kabisa kuchimba. Suala sio kuchimba tu, ni pamoja na logistics za kuendesha mradi wa uchimbaji kutia ndani wafanya kazi, nyumba za kuishi, magari, mitambo, uwanja wa ndege, umeme, maji, vumbi, sumu za ku process madini, nk! Kuna sababu za msingi kwa nini TANAPA walisema ni marufuku! Na kumbuka, Serengeti ya wanyama itaishi muda gani, na madini ndani ya Serengeti yatachimbwa kwa muda gani? Is it worth it kuharibu kitu cha kudumu kwa ajili ya kitu cha faida ya muda mfupi?
Waulize wachumi wakufanyie hesabu net present value ya Serengeti kama mbuga ya Wanyama, na Serengeti kama mradi wa madini!
Lakini swali la msingi, ni kwa kiwango gani Tanzania inafaidika na madini tuliyonayo ambayo inabidi yachimbwe na kampuni za kigeni? Dhahabu, almasi, Tanzanite, gesi nk, ni kwa kiasi gani vimetunyanyua sana kiasi kwamba leo tukivikuta ndani ya Ngorongoro ni afadhali tuharibu Ngorongoro ili kuvipata?
Nafurahi kuona bado tuna sauti kama hizi nchini!mkuu hoja yako ni ya msingi, kukukumbusha tu hili suala halijaanza leo wala jana, kuna wakati kulikua mpaka na mkono wa CDF mmoja hivi, lakini usijali suala hili halitakua na mwisho mwema. Tamaa ya pesa haiwezi kutufanya kama taifa tukakengeuka, kama ni madini hatujaanza kuchimba leo.
aisee umeandika kilekile nilichotaka kumuandikia huyo kilaza wahedi.Na hiyo asilimia 10% ya Serengeti ni kakipande kadogo pembeni mwa Serengeti tutakapochimba, kwa hiyo hakuna tatizo? Ndani ya mbuga ya Serengeti, hata kama ni eneo la 2% ya mbuga, haifai kabisa kuchimba. Suala sio kuchimba tu, ni pamoja na logistics za kuendesha mradi wa uchimbaji kutia ndani wafanya kazi, nyumba za kuishi, magari, mitambo, uwanja wa ndege, umeme, maji, vumbi, sumu za ku process madini, nk! Kuna sababu za msingi kwa nini TANAPA walisema ni marufuku! Na kumbuka, Serengeti ya wanyama itaishi muda gani, na madini ndani ya Serengeti yatachimbwa kwa muda gani? Is it worth it kuharibu kitu cha kudumu kwa ajili ya kitu cha faida ya muda mfupi?
Waulize wachumi wakufanyie hesabu net present value ya Serengeti kama mbuga ya Wanyama, na Serengeti kama mradi wa madini!
Lakini swali la msingi, ni kwa kiwango gani Tanzania inafaidika na madini tuliyonayo ambayo inabidi yachimbwe na kampuni za kigeni? Dhahabu, almasi, Tanzanite, gesi nk, ni kwa kiasi gani vimetunyanyua sana kiasi kwamba leo tukivikuta ndani ya Ngorongoro ni afadhali tuharibu Ngorongoro ili kuvipata?
sio kama. ni mpumbavu hasa. na amethibitisha kwa asilimia 100 bila dosari.we jamaa kama mpumbavu hivi?
Ndo akili za Chura kiziwi hizo🤣🤣we jamaa kama mpumbavu hivi?
Mkuu kweni Chama kinacho isimamia Serikali inasemaje juu hili? Je SERA hii ilikuwemo kwenye Mipango yao ya Muda Mfupi ama Mrefu? Jamani tujuzeniSerengeti si ya Samia. Si ya kujiamulia tu kufanya unachotaka. Ile ni urithi wa dunia.
Ikolojia yake tu haipaswi kuwa disturbed kwa kuweka lami. Lazima UNESCO wakupe ruhusa ya kufanya hivyo. Ije kuwa shughuli za uchimbaji? Kuna idadi kubwa sana ya dollars zinamwaga kuitunza Serengeti. Watu wanatoa pesa zao za misaada kuendeleza hifadhi hiyo.
Wakati fulani Kikwete alitaka kushinikiza tuchimbe chumvi pale ziwa Natron. Makazi ya zaidi asilimia 75 ya Flamengo dunia nzima. Alichoambiwa, akafunga mdomo na dili lote likayeyuka.
Kuna upuuzi mwingi unashinikizwa kwa manufaa ya watu fulani fulani. Na Rais pasipo kufanya utafiti vema akayavaa mazima mazima. Tukemee.
Hakuna cha maana tunachofaidika haswa na madini yetu. Mapapa wa madini wananeemeka, sisi tunaachiwa mashimo na kemikali hatari kwa wananchi wetu..
Sasa tunaamua kujaribu kuiua Serengeti kwa manufaa ya wajomba. Tukemee.