Kuna mdada kakosea kutuma hela nifanyaje?

Kuna mdada kakosea kutuma hela nifanyaje?

"NIkiwa zangu ghetto nimetulia baada ya kazi nzito ya presentation ya individual assignment hapo majira ya saa 2 asubuhi katika harakati za kutafuta maksi 10 za course work katka module ya remote sensing kuisha"

Sasa hicho kitu hapo juu kinahusianaje na content ya mada? Si ungeanzisha tu uzi mwingine kujisifia ulivyopata hizo maksi 10
🤣🤣Alitaka tujue anachukua mastaz🤣marks kumi zenyewe bado hajajua ka kazipata🤣
 
Mimi nilisha wahi kuingiziwa pesa nyingi na MTU aliyefanya transfer kutoka NMB.
SIKUHANGAIKA KUMTAFUTA NA YEYE HAKUHANGAIKA KUNITAFUTA.
Nasubiri Kama atafanya huu wema Tena.
 
NIkiwa zangu ghetto nimetulia baada ya kazi nzito ya presentation ya individual assignment hapo majira ya saa 2 asubuhi katika harakati za kutafuta maksi 10 za course work katka module ya remote sensing kuisha.

Nikarud zang geto kunywa chai na mama umut(wife anakiband), sasa nikiwa namalizia kpande cha boga cha mwsho mara kiswaswadu changu kikaingia meseji lakin nikiwa sjaitilia sana maanani hiyo meseji lakni kutokana na wivu wa mama umut akaniambia utaki kusoma meseji kwasababu wanawake zako wa chuo wanakutafuta, nikaona isiwe tabu nikachukua simu nisome meseji ndo nakutana na meseji ya m pesa kwamba nmepokea 76500 kutoka kwa mtu X nikajiuliza mwenyw hii laini nmesajil juzi na hata vocha sjaweka na hakuna hata mtu mmoja anaeijua hii namba nikajisomea kmoyomoyo hili zali la mtende.

JE, MNANISHAURI VIPI LIWE ZALI LA MTENDE AU UTU NIWEKE MBELE
Umeshasema zari la mentali ndio hilo
 
Kama una uhitaji sana na pesa na huyo mtu hajakutafuta, itumie na umshukuru Mungu.
 
Mwaka juzi kuna mwanangu alikua ana struggle tuition fee pale MUM, punde c punde muamala ukasoma 1million TTCL. Ntarudi kumalizia stori.
 
"NIkiwa zangu ghetto nimetulia baada ya kazi nzito ya presentation ya individual assignment hapo majira ya saa 2 asubuhi katika harakati za kutafuta maksi 10 za course work katka module ya remote sensing kuisha"

Sasa hicho kitu hapo juu kinahusianaje na content ya mada? Si ungeanzisha tu uzi mwingine kujisifia ulivyopata hizo maksi 10
Huyo hajapata hizo maksi 10, ndo alikua anazipambania ila ninauhakika hawezi zipata
 
Back
Top Bottom