Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho

Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao

Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka

My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Kama Kujiweka Quarantene ni kukurupuka ,Kuazimisha NYUNGU ambapo hakuna mchanganyo( Ingridients) maalumu, Kila mtu anajichagulia majani yake na kuchanganya atakavyo,Hali kadhalika NYUNGU pia jichagulie saizi yako bila kujali chochote mwengine la kilo 2,3,5, Haina fomula .....
Kwenye hili hujaona UJUHA wala UKURUPUKAJI?,
Ushauri :-
Tuyape yote Nafasi na baadae tufanye Tathmini lipi ni la KIBWEGE na Lisilo na MAARIFA.
 
Kama kawaida usingesema neno tofauti na hilo kwa kuwa unalishea matango pori.

Kauli na hoja zako mara nyingi huwakilisha jina la ID yako Retited ndani na nje ya uwewe na nafsi yako. MTU MZIMA HOVYOOOO!
 
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho

Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao

Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka

My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Rubbish.
 
Kama wabunge hawakushirikishwa hata mimi nakubaliana na wewe siyo sawa ila pamoja na hayo ushahidi ni muhimu kutuletea hapa ku validate HOJA yako
 
Kajifukize kwanza ndg, Mshirikina.
Umeandika ukaidi wa Pombe tupu..

Itoeni Pombe Chato kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaangalie Chadema Whatsapp Group ndiyo ulete hapa mapovu yako mkuu!!

Mm naangalia hapa eh kuna Mpya gani zaid ya kuambiwa watume namba wanazotumia watsap kwenye office ya bunge?
 
Kama wabunge hawakushirikishwa hata mimi nakubaliana na wewe siyo sawa ila pamoja na hayo ushahidi ni muhimu kutuletea hapa ku validate HOJA yako
Ngoja nikitoka kwenye nyungu nikuletee screenshots za Whatsapp Group la Chadema uone wanavyonyongana huko!!
 
Sugu anatakiwa akae chini ku bagain na Keep Calm.. Keep calm agombee Mbeya mjini, Sugu asogee Chunya hapo au Mbarali au hata Rungwe...(am not sure kama hayo yote ni majimbo) in an exchange for support.. Otherwise ategemee kivumbi.
mmeanza ramli, wachawi kweli nyie
 
Kama fukuto na mkanganyiko uko ziziem. Kwa hili wamepigwa bao. Watz wako mil 50, kati ya waliofariki 16 watatu ni wabunge, na inasemekana kuwa kuna wabunge wengine kama 3 wanaendelea kupata matibabu. Utaona hapo kiasilimia jinsi gn ugonjwa umeingia ndani ya bunge. Yaani robo ya wathiikiri ya watz ni wabunge.

Ttz la mleta mada ni ktk nyumbu, mshua akitoa amri ya kusimamisha bunge ili waende lockdown Atakuwa wa kwanza kupongeza hapa
Umeona wabunge waliofariki ni watatu na hao wengine watakuwa kumi na tatu, ilà wabunge wametajwa kwa sababu ni wabunge. Hao kumi na tatu kiuhalisia wanaweza kuwa wengi zaidi, sina facts hivyo nasema HUENDA!!
 
Hata kama wangekuwa wengi kiasi gani Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi sasa kama yeye anakimbia vita sasa nani ataongoza mapigano kwa wapigakura wao??

Nyinyi kweli mna zaidi ya kichaa, yaani mbunge kujikarantini kuingia ndani ya bunge lililojaa virusi vya korona anaitwa anakimbia kuongoza vita. Lakini Rais anayeitwa Amiri jeshi mkuu na kuna wakati anavaa hadi kombati kukimbia ofisi na kujificha uvunguni huko aliko mnaona hiyo ni sawa? Sasa kama hamuugui kichaa mtakuwa mnaugua nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm naangalia hapa eh kuna Mpya gani zaid ya kuambiwa watume namba wanazotumia watsap kwenye office ya bunge?
Acha uongo kuwa mkweli. Labda hauko kwenye group la wabunge wa Chadema mkuu cheki Mh. Jafal Michael kawaambia nini kama kweli upo kwenye group hilo?
 
Kaangalie Chadema Whatsapp Group ndiyo ulete hapa mapovu yako mkuu!!
Akaangalie au wewe leta hapa? Hata hivyo hiyo inaonyesha hicho chama kina mjadala wa mawazo kupingana.
Chadema sio CCM ambayo wakiambiwa kujifukiza hakuna anayehoji, kuna siku mtaambiwa kutawadha njia panda nanyi kama mazuzu tutawaona foleni bila kuhoji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom