Ni kweli tunaona kwenye Whatsapp Group lao wasivyokubaliana!Mkuu mda ni mwalimu mzuri, kuna fukuto kubwa
Wabunge wengi wa Chadema wanaweza kuitisha Press muda wowote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli tunaona kwenye Whatsapp Group lao wasivyokubaliana!Mkuu mda ni mwalimu mzuri, kuna fukuto kubwa
Wabunge wengi wa Chadema wanaweza kuitisha Press muda wowote
Kama Kujiweka Quarantene ni kukurupuka ,Kuazimisha NYUNGU ambapo hakuna mchanganyo( Ingridients) maalumu, Kila mtu anajichagulia majani yake na kuchanganya atakavyo,Hali kadhalika NYUNGU pia jichagulie saizi yako bila kujali chochote mwengine la kilo 2,3,5, Haina fomula .....Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Kama kawaida usingesema neno tofauti na hilo kwa kuwa unalishea matango pori.Rubbish!
Rubbish.Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Kama wabunge hawakushirikishwa hata mimi nakubaliana na wewe siyo sawa ila pamoja na hayo ushahidi ni muhimu kutuletea hapa ku validate HOJA yakoKuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Hata kama wangekuwa wengi kiasi gani Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi sasa kama yeye anakimbia vita sasa nani ataongoza mapigano kwa wapigakura wao??Wabunge wangapi wamefariki na ugonjwa??
Tunaona kwenye Whatsapp Group la Chadema wanavyorumbana!Rubbish.
Kajifukize kwanza ndg, Mshirikina.Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Chadema Whatsapp Group ni ushahidi wanataka kutoana macho huko!Rubbish!
Kaangalie Chadema Whatsapp Group ndiyo ulete hapa mapovu yako mkuu!!Kajifukize kwanza ndg, Mshirikina.
Umeandika ukaidi wa Pombe tupu..
Itoeni Pombe Chato kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Na watumishi wa afya wanaohudumia wagonjwa Kila siku wao sijui wafanyaje sasa
wewe una ota kweliAhaha mfn Sugu Ndio kwisha Habari yake
Kaangalie Chadema Whatsapp Group ndiyo ulete hapa mapovu yako mkuu!!
Ngoja nikitoka kwenye nyungu nikuletee screenshots za Whatsapp Group la Chadema uone wanavyonyongana huko!!Kama wabunge hawakushirikishwa hata mimi nakubaliana na wewe siyo sawa ila pamoja na hayo ushahidi ni muhimu kutuletea hapa ku validate HOJA yako
mmeanza ramli, wachawi kweli nyieSugu anatakiwa akae chini ku bagain na Keep Calm.. Keep calm agombee Mbeya mjini, Sugu asogee Chunya hapo au Mbarali au hata Rungwe...(am not sure kama hayo yote ni majimbo) in an exchange for support.. Otherwise ategemee kivumbi.
Umeona wabunge waliofariki ni watatu na hao wengine watakuwa kumi na tatu, ilà wabunge wametajwa kwa sababu ni wabunge. Hao kumi na tatu kiuhalisia wanaweza kuwa wengi zaidi, sina facts hivyo nasema HUENDA!!Kama fukuto na mkanganyiko uko ziziem. Kwa hili wamepigwa bao. Watz wako mil 50, kati ya waliofariki 16 watatu ni wabunge, na inasemekana kuwa kuna wabunge wengine kama 3 wanaendelea kupata matibabu. Utaona hapo kiasilimia jinsi gn ugonjwa umeingia ndani ya bunge. Yaani robo ya wathiikiri ya watz ni wabunge.
Ttz la mleta mada ni ktk nyumbu, mshua akitoa amri ya kusimamisha bunge ili waende lockdown Atakuwa wa kwanza kupongeza hapa
Hata kama wangekuwa wengi kiasi gani Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi sasa kama yeye anakimbia vita sasa nani ataongoza mapigano kwa wapigakura wao??
Acha uongo kuwa mkweli. Labda hauko kwenye group la wabunge wa Chadema mkuu cheki Mh. Jafal Michael kawaambia nini kama kweli upo kwenye group hilo?Mm naangalia hapa eh kuna Mpya gani zaid ya kuambiwa watume namba wanazotumia watsap kwenye office ya bunge?
Akaangalie au wewe leta hapa? Hata hivyo hiyo inaonyesha hicho chama kina mjadala wa mawazo kupingana.Kaangalie Chadema Whatsapp Group ndiyo ulete hapa mapovu yako mkuu!!