Yuko Sawa, huwezi niletea mtu wa kupinga maendeleo tu kwa Faida ya chama chake cha mfukoni. Msema kweli mpenzi wa Mungu.Tena kaenda mbali akisema maneno ya Ubaguzi,mkichagua upinzani haleti huduma za jamii jimboni kwenu.
CCM kuwatukana wapinzani ni ruksa lakini mpinzani akiwajibu kupitia chombo chochote cha habari kinafungiwa na kupigwa faini kubwa mnoYule yupo juu ya sheria ndiyo maana hata msukule wake Polepole anamtukana Lissu hadharani
Tumeccm NECCCM hawafanyi kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM, haifanyi kazi kwa mjibu wa katiba na SheriaKauli kama hizi huwezi sikia NEC wakimuita kuhojiwa, ila upinzani ukisema tunamuunga mkono mgombea wa chama fulani mapema tume inawaandikia barua wakajieleza kwa nini wanaungana.
Uchakachuaji wizi wa kura wa CCM ndiyo utaleta vitaUkiwa na akili zako timamu hauwezi kuamini maneno hayo mbele ya hadhara,je,huyo Mpinzani akishapata Uongozi anapigana na nani?Ukitazama kwa jicho pevu,atakayeleta vita ni yule aliyeshindwa na mpinzani kwa kung'ang'ani madarakani.Tunaposikiliza kauli kama hizi,tupate fursa ya kuhoji,kulikoni wagombea wanaruhusiwa kuwatishia wananchi vita?
Tumechoka kukumbushwa vita vya Libya,Lebanon,Syria au Iraq.Mazingira ya nchi hizo hayashabihiani na yetu hata kidogo.Ukweli usemwe na tuache vitisho.Nani aanzishe vita katika mazingira ya utendaji unaozingatia haki?Watanzania tunafahamika kwa kupenda Amani pale wanapohakikishiwa haki.
Ahojiwe polepole kwa kuwaita wapinzani ni misukuleHuyu mgombea anatishia amani ya nchi..ahojiwe kuwatisha wapiga kura!!
HehehKuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukimchagua mpinzani kutatokea vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake.
Kodi wanalipa ccm peke yao? Acha ujuha.Yuko Sawa, huwezi niletea mtu wa kupinga maendeleo tu kwa Faida ya chama chake cha mfukoni. Msema kweli mpenzi wa Mungu.
Tume imuite huyu mgombea akajieleze. Haiwezekani avunje kanuni za uchaguzi halafu atizamwe tu.Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukichagua mpinzani kutatokea vurugu na vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume NEC imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake. Pamoja na hilo pia ametoa hongo ya barabara kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi kwa kumuamuru Meneja wa Tanroads kujenga barabara bila kibali cha Chief Executive Tanroads, Waziri wa Ujenzi na kwa kinywa chake akaagiza kazi hiyo ianze bila mchakato wa zabuni. Angalia mgombea huyu alivyoifanya sheria ya manunuzi. Fedha za kugharamia kazi hiyo alisema atatoa yeye. Hii si rushwa ya wazi? Maajabu. Inelekea sheria ni kwa watu wengine na si kwa mgombea huyu.
Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukimchagua mpinzani kutatokea vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake.
Ndio asemeKweli akaeleze hiyo Vita ataleta Nani?
Uko sahihi mkuu. Mpinzani akishinda hana sababu ya kuanzisha vita. Aanzishe vita kutafuta nini wakati kashinda? Jamaa anajitoa ufahamu sana kusema tukichagua upinzani utaleta vita. Huyu jamaa ahojiwe na ikiwezekana akamatwe kabla hajaanzisha hiyo vita anayoihubiri.Msukuma Original,
Msukuma mwenzako hapotoshi labda sema sie wengine hatutishwi... wakatishiane wenyewe kwa wenyewe!!
Nasema Msukum mwenzako hapotoshi kwa sababu anafahamu CCM ni watu wa vita!!! Kila mwenye akili timamu anafahamu alieshinda uchaguzi HAWEZI kuanzisha vita kwa sababu HANA sababu ya kufanya hivyo!
Kinyume chake, historia inatukumbusha kwamba vita huanzishwa na walioshindwa vita! Kwa maana nyingine, huyo Mgombea anachomaanisha ni kwamba, Upinzani wakishinda wana-CCM katu HAWATAKUBALI matokeo na kwahiyo wataingia msituni na kuanzisha vita!!
Hapo utaona ni namna gani nchi imekuwa ikiongozwa na wahalifu ambao wanaapa wakishindwa uchaguzi watakachofanya ni kuingia vitani!!
Hivyo basi, lau kama msemo wa Sheria ni Msumemo ungekuwa una-apply bila kuangalia sura basi Mgombea huyo hakupaswa kuitwa na Tume bali ilitakiwa akamatwe na vyombo vya dola kwa hatua yake ya kuwaambia wafuasi wake kwamba wakishindwa uchaguzi basi wataingia msituni!
Ndugu wananchi, hivi kweli kuna tafsiri nyingine zaidi ya hiyo mtu anaposema "mkimchagua yule, basi nchi itaingia vitani"?
Hakika mkubwa ni tume ambayo iko chini ya zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM.Tumeccm NECCCM hawafanyi kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM, haifanyi kazi kwa mjibu wa katiba na Sheria
NEC ni sehemu ya CCMCCM kuwatukana wapinzani ni ruksa lakini mpinzani akiwajibu kupitia chombo chochote cha habari kinafungiwa na kupigwa faini kubwa mno