Uchaguzi 2020 Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukichagua upinzani kutatokea vita. Anatakiwa kuitwa kwenye Kamati ya Maadili

Uchaguzi 2020 Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukichagua upinzani kutatokea vita. Anatakiwa kuitwa kwenye Kamati ya Maadili

Ukiwa na akili zako timamu hauwezi kuamini maneno hayo mbele ya hadhara,je,huyo Mpinzani akishapata Uongozi anapigana na nani?Ukitazama kwa jicho pevu,atakayeleta vita ni yule aliyeshindwa na mpinzani kwa kung'ang'ani madarakani.Tunaposikiliza kauli kama hizi,tupate fursa ya kuhoji,kulikoni wagombea wanaruhusiwa kuwatishia wananchi vita?
Tumechoka kukumbushwa vita vya Libya,Lebanon,Syria au Iraq.Mazingira ya nchi hizo hayashabihiani na yetu hata kidogo.Ukweli usemwe na tuache vitisho.Nani aanzishe vita katika mazingira ya utendaji unaozingatia haki?Watanzania tunafahamika kwa kupenda Amani pale wanapohakikishiwa haki.
 
Tena kaenda mbali akisema maneno ya Ubaguzi,mkichagua upinzani haleti huduma za jamii jimboni kwenu.
 
Huyu mgombea anatishia amani ya nchi..ahojiwe kuwatisha wapiga kura!!
 
Tena kaenda mbali akisema maneno ya Ubaguzi,mkichagua upinzani haleti huduma za jamii jimboni kwenu.
Yuko Sawa, huwezi niletea mtu wa kupinga maendeleo tu kwa Faida ya chama chake cha mfukoni. Msema kweli mpenzi wa Mungu.
 
Kauli kama hizi huwezi sikia NEC wakimuita kuhojiwa, ila upinzani ukisema tunamuunga mkono mgombea wa chama fulani mapema tume inawaandikia barua wakajieleza kwa nini wanaungana.
 
Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukichagua mpinzani kutatokea vurugu na vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume NEC imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake. Pamoja na hilo pia ametoa hongo ya barabara kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi kwa kumuamuru Meneja wa Tanroads kujenga barabara bila kibali cha Chief Executive Tanroads, Waziri wa Ujenzi na kwa kinywa chake akaagiza kazi hiyo ianze bila mchakato wa zabuni. Angalia mgombea huyu alivyoifanya sheria ya manunuzi. Fedha za kugharamia kazi hiyo alisema atatoa yeye. Hii si rushwa ya wazi? Maajabu. Inelekea sheria ni kwa watu wengine na si kwa mgombea huyu.
 
Yule yupo juu ya sheria ndiyo maana hata msukule wake Polepole anamtukana Lissu hadharani
CCM kuwatukana wapinzani ni ruksa lakini mpinzani akiwajibu kupitia chombo chochote cha habari kinafungiwa na kupigwa faini kubwa mno
 
Kauli kama hizi huwezi sikia NEC wakimuita kuhojiwa, ila upinzani ukisema tunamuunga mkono mgombea wa chama fulani mapema tume inawaandikia barua wakajieleza kwa nini wanaungana.
Tumeccm NECCCM hawafanyi kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM, haifanyi kazi kwa mjibu wa katiba na Sheria
 
Ukiwa na akili zako timamu hauwezi kuamini maneno hayo mbele ya hadhara,je,huyo Mpinzani akishapata Uongozi anapigana na nani?Ukitazama kwa jicho pevu,atakayeleta vita ni yule aliyeshindwa na mpinzani kwa kung'ang'ani madarakani.Tunaposikiliza kauli kama hizi,tupate fursa ya kuhoji,kulikoni wagombea wanaruhusiwa kuwatishia wananchi vita?
Tumechoka kukumbushwa vita vya Libya,Lebanon,Syria au Iraq.Mazingira ya nchi hizo hayashabihiani na yetu hata kidogo.Ukweli usemwe na tuache vitisho.Nani aanzishe vita katika mazingira ya utendaji unaozingatia haki?Watanzania tunafahamika kwa kupenda Amani pale wanapohakikishiwa haki.
Uchakachuaji wizi wa kura wa CCM ndiyo utaleta vita
 
Magufuli sio msafi kama kweli tume ni huru. Aliyewashauri tume wamwite Lissu hana nia njema na Magufuli aliyezoea kejeli,vitisho na ubaguzi
 
Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukichagua mpinzani kutatokea vurugu na vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume NEC imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake. Pamoja na hilo pia ametoa hongo ya barabara kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi kwa kumuamuru Meneja wa Tanroads kujenga barabara bila kibali cha Chief Executive Tanroads, Waziri wa Ujenzi na kwa kinywa chake akaagiza kazi hiyo ianze bila mchakato wa zabuni. Angalia mgombea huyu alivyoifanya sheria ya manunuzi. Fedha za kugharamia kazi hiyo alisema atatoa yeye. Hii si rushwa ya wazi? Maajabu. Inelekea sheria ni kwa watu wengine na si kwa mgombea huyu.
Tume imuite huyu mgombea akajieleze. Haiwezekani avunje kanuni za uchaguzi halafu atizamwe tu.
 
Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukimchagua mpinzani kutatokea vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake.

Tume ijiuzulu. Haitufai. Ni ndumila kuwili.
 
Msukuma Original,

Msukuma mwenzako hapotoshi labda sema sie wengine hatutishwi... wakatishiane wenyewe kwa wenyewe!!

Nasema Msukum mwenzako hapotoshi kwa sababu anafahamu CCM ni watu wa vita!!! Kila mwenye akili timamu anafahamu alieshinda uchaguzi HAWEZI kuanzisha vita kwa sababu HANA sababu ya kufanya hivyo!

Kinyume chake, historia inatukumbusha kwamba vita huanzishwa na walioshindwa vita! Kwa maana nyingine, huyo Mgombea anachomaanisha ni kwamba, Upinzani wakishinda wana-CCM katu HAWATAKUBALI matokeo na kwahiyo wataingia msituni na kuanzisha vita!!

Hapo utaona ni namna gani nchi imekuwa ikiongozwa na wahalifu ambao wanaapa wakishindwa uchaguzi watakachofanya ni kuingia vitani!!

Hivyo basi, lau kama msemo wa Sheria ni Msumemo ungekuwa una-apply bila kuangalia sura basi Mgombea huyo hakupaswa kuitwa na Tume bali ilitakiwa akamatwe na vyombo vya dola kwa hatua yake ya kuwaambia wafuasi wake kwamba wakishindwa uchaguzi basi wataingia msituni!

Ndugu wananchi, hivi kweli kuna tafsiri nyingine zaidi ya hiyo mtu anaposema "mkimchagua yule, basi nchi itaingia vitani"?
Uko sahihi mkuu. Mpinzani akishinda hana sababu ya kuanzisha vita. Aanzishe vita kutafuta nini wakati kashinda? Jamaa anajitoa ufahamu sana kusema tukichagua upinzani utaleta vita. Huyu jamaa ahojiwe na ikiwezekana akamatwe kabla hajaanzisha hiyo vita anayoihubiri.
 
Tumeccm NECCCM hawafanyi kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM, haifanyi kazi kwa mjibu wa katiba na Sheria
Hakika mkubwa ni tume ambayo iko chini ya zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM.
Toka kitambo tu alishasikika nikuajiri mimi, nikulipe mshahara na gari nikupe hhalafu umtangaze mpinzani.
Kauli ile mpaka sasa wateule wanafyata mkia
 
Wahamiaji haramu na wapumbavu ndio watampigia kura Magu..Kikwete alipata 80% 2005..2010 akapata 62%..huyu alipata 58% ..mwaka huu hapati hata 40%..Mataga mjiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom