Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake.
Kwa makusudi,
mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na baadhi ya wafuasi wake kuelekea chama kipya alichokiandaa kumpokea.
My friends ladies and gentlemen, kwa yanaoyendelea chadema,
unadhani watafika salama kweli kwenye uchaguzi wao wa viongozi wa ngazi ya Kitaifa?
Maana kustahimiliana naona kama kumefikia mwisho vile?🐒
Mungu Ibarki Tanzania