Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni busara kuwa kimya kama hufaham kwa undani kinachoendeleaHao wanaondoka kumpisha mkulu mmoja anakuja na programu yake
Kuna watu wamezoea kila kitu atakachosikia anailaumu serikali, bila hata kujua kwa undani kinachoendeleaLabda anataka kuhamisha mjadala sijui kwa maslahi gani
Tanzania kumejaa wapumbavu mkuuKuna watu wamezoea kila kitu atakachosikia anailaumu serikali, bila hata kujua kwa undani kinachoendelea
Kwani madereva wanalazimishwa? kama wanaona wanachopata ni kidogo sio waondoe magari yao? Kwanini LATRA waingilie biashara ya watu kuwapigia commission? Je, ndio kazi yao?Sababu za tishio la kufunga biashara kwa makampuni haya sio sababu halisi kama wengi wanavyozipokea. Ukisoma statements zao, zimeandikwa kimkakati kwamba LATRA wameongeza new charges ya 15%. Seriously?!.
Sio kweli kwamba Serikali imeweka kodi mpya ya 15%. Uhalisia ni kuwa LATRA wamewataka Uber na Bolt wa-charge 15% commision kwa kila trip na sio 20 au 25% kama walivyokua wanafanya.
Kimsingi, madereva wa hizi huduma wamekuwa wakilalamika kukatwa hela nyingi kwa trip (20-25%) na hizi kampuni, hivyo LATRA imeingilia Kati kushusha hizo rates ili madereva wanufaike.
Labda niulize.. Kwani ni mara ngapi abiria ukitumia BOLT/UBER umekuwa ukimsikia dereva analalamika kuhusu malipo? Mara ngapi wamekuwa wakikataa kwenda baadhi ya trips kwa sababu hailipi? Mpaka imekuwa kawaida.
Zinachofanya hizi kampuni ni kuibua taharuki ili Serikali iufyate ziendelee kutengeneza faida kubwa na kuwabana madereva. Ujanja ujanja tu wa kibiashara.
Media zetu nazo..... Au basi!!
Nijibu tu maswali yangu nijifunze kwako nisiaibishe ukoo!Mkuu unaaibisha ukoo
Nijibu tu maswali yangu nijifunze kwako nisiaibishe ukoo!