Embu chukulia mfano umelipwa 6,000/- kwa trip n then tutoe 25% ya uber pia toa 2,800/- ya lita moja ya mafuta unabak na Sh.1,700/- apo bado hujaweka kununua vocha ya kumpigia mteja,bando la kuwa hewan muda wte,uchakavu wa gari na mengineyo.
Kiufup hyo biashara ni kucheza pata potea. Inakuja kuwa kama biashara ya daladala.
25% ya 6000 ni 1500
6000 kutoa 1500 unabakia na 4500.
Mzungu kakupa deal ya 6000 yeye kaomba umpatie buku jero tu wewe bakia na 4500.
Serikali yako ya kishirikina hii isiyojua vibaya kwanza wamekushindilia tozo za ajabu ajabu katika vocha, miamala ya pesa. Pili mafuta wamejaza matozo ya kipuuzi hadi yamepanda bei lita inauzwa 2800.
Wamakuwekea vibali ambavyo havina mbele wala nyuma. Pia hawajakutengenezea hata mfumo wa wewe kuweza kukopa gari yako ili uweze kununua yako na usihangaike na za watu za kupeleka hesabu.
Wewe huyo unamuona mzungu adui ila CCM mnafiki namba moja afrika ndie rafiki yako?!
Kama wewe upo vema katika kudai haki yako hebu jiulize kabla ya Uber na Bolt kuja hiyo 6000 ungewezaje kuwa na uhakika wa kuitengeneza kila lisaa tena bila kuhangaika simply kuwasha simu tu na unapata mteja tena hata hamjuani.
Unashindwa kweli kutambua nani ni adui hapa?!
Hii serikali nahisi ni ya kichawi na wameturoga vijana hadi tunashindwa kuona ubaya wao.
Hivi wapi utapata mtu ambaye anaweka miundo mbinu ya kiteknolojia, ana maserver ya kucontrol, wafanyakazi wa kuwalipa 24/7, analipa kodi chini kwao, analipa wataalamu wa IT wakubwa kudevelop na kusimamia Software yake ili kukuwekea wewe kabwela dili la kuingiza mpunga mzuri ambao serikali yako imefeli kwa miaka 60 kukitengenezea hata kibarua cha uhakika wa kukupa wewe 1000 kwa siku.
Then huyu mtu anakwambia kwa kila utachopata mimi naomba niachie tu 25% ya mapato ili niweze kulipia gharama za kuiendesha hii system, inayobakia utajua mwenyewe utapeleka wapi na maisha yako. Wewe unamwita huyu mtu eti mnyonyaji au mchoyo.
Dah K*m*nina waafrika aliyewalaani amewalaani vizuri. Ndio maana hamkomboki mbwa nyie. Na wacha hawa majizi watawanyoosha mbwa kabisa nyie. Magu alikuwa anawatetea kutwa mkasema kwa mabaya mzee wa watu MUNGU kamchukua akapumzike maana hamjui zuri sasa wacha hawa waliopo wawatendee ubaya mnaoutaka maana wajaalaana msiojua vibaya kazi kuwashambulia wanaowatetea na kuungana na wabaya wenu kwa unafiki wenu wa kupenda kutokusimamia haki.
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] Ptuuuuuuuuuuuh. Taifa la ajabu sijawahi kuona. Trump hakukosea. Africa inatakiwa tena kuwekwa chini ya ukoloni. Akina kwame nkuruma walijitoa bure tu masikini na kuishia kuwawa kutetea majitu yasiyo na akili.
MUNGU awarehemu wanaukombozi na wapigania haki wote huko walipo na kuwapa pumziko maana hawa mabwege waliyoyapigania hata hayajui yanastahili nini.