Kuna 'misinformation' inaendelea kuhusu Uber/Bolt kufunga biashara Tanzania..

Kwanza tuangalie wadau wote wa hii biashara.

Kuna wamiliki wa software kama Uber, Bolt watakuwa wananunua software toka kwa developer bei zake si kubwa. Wanataka above 15% kila trip.Uber ni 30% wamegoma kupunguza Bolt ni 20% wamepunguza toka 28% lakini wanagoma kuwa 15% kuna kampuni nyingine zimekubali 15%.

Kuna Regulator Latra Land transport Regulatory Authority wana tozo kwa mwenye gari 40,000 kwa mwaka.

Kuna Bima Premium Commercial insurance wanachaji 700,000 kwa mwaka.

TRA kodi 250,000 kwa mwaka.

Kuna mmiliki wa gari analipa
1.Petrol
2.Repair and maintenance ya gari.tires vipuli etc
3.Bima ya gari
4.TRA kodi
5.Latra tozo
6.Mshahara wa dereva
7.Fine za Traffics

Nauli kwa Uber na bolt ziko chini sana trip toka City centre to airport ni 7000 mpaka 9000 wakati taxi ya kawaida ni 20 000.

Wanaoumia sana ni wamiliki wa magari faida ndogo sana na wengi wanaachana na hii biashara magari yanachakaa sana na mapato kiduchu wakati gharama za uendashaji ni kubwa sana.

Hawa Uber Bolt wanapiga hela
sana cost za software ziko chini sana
Mkuu naomba kujua hiyo 25% ya bolt au uber nao wanalipa 18% vat ?
 
Kwa Uber/Bolt Corporate ambayo ni service wanatoa on credit kwa makampuni wakiwapeleka month invoice inakuwa na EFD yenye QRC c ikionyesha wamelipa 18% imelipwa kwenye total amount kama VAT.
Kwa individual customers ambao ndio wengi I hope TRA wana mifumo yao
 
Kodi wanayotoza TRA kwenye hayo makampuni analipa Dereva katika kila trip. Mfumo umechezewa sana. Na ndiyo maana ukifungua App ya dereva especially kipengele cha Mjumuisho na Mchanganuo wa Mapato, Matumizi na Makato ya Nauli/Malipo aliyopokea dereva kuna Makato ya kodi sehemu 3.
 
Una hasira nao!!!!
Wamenichukiza sana aisee. Hii inchi umasikini sio swala la asili ni swala la watu kutaka tubakie hapa. Tukibadilishana nchi na taifa moja la wazungu mika 10 tu Tanzania haitakuwa hii. Dubai watasubiri.
 
Kwanza tuangalie wadau wote wa hii biashara.

Kuna wamiliki wa software kama Uber, Bolt watakuwa wananunua software toka kwa developer bei zake si kubwa. Wanataka above 15% kila trip.Uber ni 30% wamegoma kupunguza Bolt ni 20% wamepunguza toka 28% lakini wanagoma kuwa 15% kuna kampuni nyingine zimekubali 15%.

Kuna Regulator Latra Land transport Regulatory Authority wana tozo kwa mwenye gari 40,000 kwa mwaka.

Kuna Bima Premium Commercial insurance wanachaji 700,000 kwa mwaka.

TRA kodi 250,000 kwa mwaka.

Kuna mmiliki wa gari analipa
1.Petrol
2.Repair and maintenance ya gari.tires vipuli etc
3.Bima ya gari
4.TRA kodi
5.Latra tozo
6.Mshahara wa dereva
7.Fine za Traffics

Nauli kwa Uber na bolt ziko chini sana trip toka City centre to airport ni 7000 mpaka 9000 wakati taxi ya kawaida ni 20 000.

Wanaoumia sana ni wamiliki wa magari faida ndogo sana na wengi wanaachana na hii biashara magari yanachakaa sana na mapato kiduchu wakati gharama za uendashaji ni kubwa sana.

Hawa Uber Bolt wanapiga hela
sana cost za software ziko chini sana
Kwan kuna sehemu wamesema ni lazima mtu kuweka gari katika system ya uber na bolt?! Kama kitu hakina faida achana nacho.
 
25% ya 6000 ni 1500

6000 kutoa 1500 unabakia na 4500.

Mzungu kakupa deal ya 6000 yeye kaomba umpatie buku jero tu wewe bakia na 4500.

Serikali yako ya kishirikina hii isiyojua vibaya kwanza wamekushindilia tozo za ajabu ajabu katika vocha, miamala ya pesa. Pili mafuta wamejaza matozo ya kipuuzi hadi yamepanda bei lita inauzwa 2800.

Wamakuwekea vibali ambavyo havina mbele wala nyuma. Pia hawajakutengenezea hata mfumo wa wewe kuweza kukopa gari yako ili uweze kununua yako na usihangaike na za watu za kupeleka hesabu.

Wewe huyo unamuona mzungu adui ila CCM mnafiki namba moja afrika ndie rafiki yako?!

Kama wewe upo vema katika kudai haki yako hebu jiulize kabla ya Uber na Bolt kuja hiyo 6000 ungewezaje kuwa na uhakika wa kuitengeneza kila lisaa tena bila kuhangaika simply kuwasha simu tu na unapata mteja tena hata hamjuani.

Unashindwa kweli kutambua nani ni adui hapa?!

Hii serikali nahisi ni ya kichawi na wameturoga vijana hadi tunashindwa kuona ubaya wao.

Hivi wapi utapata mtu ambaye anaweka miundo mbinu ya kiteknolojia, ana maserver ya kucontrol, wafanyakazi wa kuwalipa 24/7, analipa kodi chini kwao, analipa wataalamu wa IT wakubwa kudevelop na kusimamia Software yake ili kukuwekea wewe kabwela dili la kuingiza mpunga mzuri ambao serikali yako imefeli kwa miaka 60 kukitengenezea hata kibarua cha uhakika wa kukupa wewe 1000 kwa siku.

Then huyu mtu anakwambia kwa kila utachopata mimi naomba niachie tu 25% ya mapato ili niweze kulipia gharama za kuiendesha hii system, inayobakia utajua mwenyewe utapeleka wapi na maisha yako. Wewe unamwita huyu mtu eti mnyonyaji au mchoyo.

Dah K*m*nina waafrika aliyewalaani amewalaani vizuri. Ndio maana hamkomboki mbwa nyie. Na wacha hawa majizi watawanyoosha mbwa kabisa nyie. Magu alikuwa anawatetea kutwa mkasema kwa mabaya mzee wa watu MUNGU kamchukua akapumzike maana hamjui zuri sasa wacha hawa waliopo wawatendee ubaya mnaoutaka maana wajaalaana msiojua vibaya kazi kuwashambulia wanaowatetea na kuungana na wabaya wenu kwa unafiki wenu wa kupenda kutokusimamia haki.

[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] Ptuuuuuuuuuuuh. Taifa la ajabu sijawahi kuona. Trump hakukosea. Africa inatakiwa tena kuwekwa chini ya ukoloni. Akina kwame nkuruma walijitoa bure tu masikini na kuishia kuwawa kutetea majitu yasiyo na akili.

MUNGU awarehemu wanaukombozi na wapigania haki wote huko walipo na kuwapa pumziko maana hawa mabwege waliyoyapigania hata hayajui yanastahili nini.
Punguza jazba na usiingize siasa,hii ni biashara km biashara zingine so issue ya kodi haikwepek
 
Exactly, hapo ndio uone jamaa Wana haki ya kushusha Hadi 15% kwa kweli.

Angalau makampuni yangekuwa yanatoza hiyo 25% per day. Sio per trip. Ni biashara kichaa.
Watoze per day on what?
 
Wamenichukiza sana aisee. Hii inchi umasikini sio swala la asili ni swala la watu kutaka tubakie hapa. Tukibadilishana nchi na taifa moja la wazungu mika 10 tu Tanzania haitakuwa hii. Dubai watasubiri.
Hiyo ni kweli. Nchi hii wapigaji wengi sana!!!
 
25% ya 6000 ni 1500

6000 kutoa 1500 unabakia na 4500.

Mzungu kakupa deal ya 6000 yeye kaomba umpatie buku jero tu wewe bakia na 4500.

Serikali yako ya kishirikina hii isiyojua vibaya kwanza wamekushindilia tozo za ajabu ajabu katika vocha, miamala ya pesa. Pili mafuta wamejaza matozo ya kipuuzi hadi yamepanda bei lita inauzwa 2800.

Wamakuwekea vibali ambavyo havina mbele wala nyuma. Pia hawajakutengenezea hata mfumo wa wewe kuweza kukopa gari yako ili uweze kununua yako na usihangaike na za watu za kupeleka hesabu.

Wewe huyo unamuona mzungu adui ila CCM mnafiki namba moja afrika ndie rafiki yako?!

Kama wewe upo vema katika kudai haki yako hebu jiulize kabla ya Uber na Bolt kuja hiyo 6000 ungewezaje kuwa na uhakika wa kuitengeneza kila lisaa tena bila kuhangaika simply kuwasha simu tu na unapata mteja tena hata hamjuani.

Unashindwa kweli kutambua nani ni adui hapa?!

Hii serikali nahisi ni ya kichawi na wameturoga vijana hadi tunashindwa kuona ubaya wao.

Hivi wapi utapata mtu ambaye anaweka miundo mbinu ya kiteknolojia, ana maserver ya kucontrol, wafanyakazi wa kuwalipa 24/7, analipa kodi chini kwao, analipa wataalamu wa IT wakubwa kudevelop na kusimamia Software yake ili kukuwekea wewe kabwela dili la kuingiza mpunga mzuri ambao serikali yako imefeli kwa miaka 60 kukitengenezea hata kibarua cha uhakika wa kukupa wewe 1000 kwa siku.

Then huyu mtu anakwambia kwa kila utachopata mimi naomba niachie tu 25% ya mapato ili niweze kulipia gharama za kuiendesha hii system, inayobakia utajua mwenyewe utapeleka wapi na maisha yako. Wewe unamwita huyu mtu eti mnyonyaji au mchoyo.

Dah K*m*nina waafrika aliyewalaani amewalaani vizuri. Ndio maana hamkomboki mbwa nyie. Na wacha hawa majizi watawanyoosha mbwa kabisa nyie. Magu alikuwa anawatetea kutwa mkasema kwa mabaya mzee wa watu MUNGU kamchukua akapumzike maana hamjui zuri sasa wacha hawa waliopo wawatendee ubaya mnaoutaka maana wajaalaana msiojua vibaya kazi kuwashambulia wanaowatetea na kuungana na wabaya wenu kwa unafiki wenu wa kupenda kutokusimamia haki.

[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] Ptuuuuuuuuuuuh. Taifa la ajabu sijawahi kuona. Trump hakukosea. Africa inatakiwa tena kuwekwa chini ya ukoloni. Akina kwame nkuruma walijitoa bure tu masikini na kuishia kuwawa kutetea majitu yasiyo na akili.

MUNGU awarehemu wanaukombozi na wapigania haki wote huko walipo na kuwapa pumziko maana hawa mabwege waliyoyapigania hata hayajui yanastahili nini.
Ulianza vizuri post yako mpaka ulipoanza kutukana na ulivymsifia Magufuli aliyetuaminisha ujinga huku pesa zikipigwa tena sana nyuma ya pazia.
 
Mkuu, hawa jamaa hawawezi kufunga biashara, wanatishia tu. Kukata 25% kwa trip wakati gari, mafuta na labour hugharamii sio makato rafiki.

Pia concern ya msingi hapa ni huo upotoshaji tu ambao unaibebesha lawama LATRA wakati inatetea maslahi ya watu wake.
Unajua Uber wao wanalipa wafanyakazi wao Pesa ngapi?
 
Sijajua ila hiki nachokwambia ni uhakika
Nafaka hivi hakuna uwezekano wa say LATRA au madereva wakajiunga na kuwa application yao ambayo wataitumia eg hapa Tanzania tu? Kuna kampuni nyingi tu zinaweza ku-design na ku-code app za namna hii japo wakitaka app ya kiwango bora ni lazima waingie gharama na pengine wachukuwa programmers wa nje.
 
Kama app zinazofanya hivi TZ zipo nyingi tu mkuu. Kuwa na app jambo moja kuendesha hiyo biashara jambo lingine. Mkuu hebu fikiri kama mwendokasi tu watu wanalalamika we unadhani Latra ambao wameshindwa tatua matatizo mengi wataweza? Tanzania jambo likishaingia pesa wale mliowachagua kama viongozi nao wanageuka Mungu watu.
 
Ni kweli. Uendeshaji Tanzania ndiyo janga.
 
Masikini siku zote tunanyonywa... tunapenda Cheap sana..

Hizo kampuni pia zinalipa Jengo la Ofisi, Matangazo, Wafanyakazi, Kodi TRA, Leseni, internet services, Servers, Maintenance n.k. ambazo wengi gharama zake hatuzijui.

Huu mzani hauangaliwi kabisa,, tunakomaa kuwaita Wanyonyaji utafikiri hatujawai fanya biashara.
 
Kwa Uber/Bolt Corporate ambayo ni service wanatoa on credit kwa makampuni wakiwapeleka month invoice inakuwa na EFD yenye QRC c ikionyesha wamelipa 18% imelipwa kwenye total amount kama VAT.
Kwa individual customers ambao ndio wengi I hope TRA wana mifumo yao
Makampuni gani wanatumia Uber/Corporate? Nimeulizwa swali la interview ya kazi. Unaweza ukawa na idea na makampuni yanayotumia Uber/Bolt corporate?
 
Back
Top Bottom