Kuna 'misinformation' inaendelea kuhusu Uber/Bolt kufunga biashara Tanzania..

Hao wanaondoka kumpisha mkulu mmoja anakuja na programu yake
 
Kuna watu wamezoea kila kitu atakachosikia anailaumu serikali, bila hata kujua kwa undani kinachoendelea
Tanzania kumejaa wapumbavu mkuu
Kama madodoki yasiyoweza kutenganisha maji machafu na safi
Ilimradi ana kipanguso cha kuandika
 
Kwani madereva wanalazimishwa? kama wanaona wanachopata ni kidogo sio waondoe magari yao? Kwanini LATRA waingilie biashara ya watu kuwapigia commission? Je, ndio kazi yao?
 
Kwani madereva wanalazimishwa? kama wanaona wanachopata ni kidogo sio waondoe magari yao? Kwanini LATRA waingilie biashara ya watu kuwapigia commission? Je, ndio kazi yao?
Mkuu unaaibisha ukoo
 
Na hii ndio ilikua fursa sasa kwa wazawa kuja na Uber ya kitanzania.
 
Nijibu tu maswali yangu nijifunze kwako nisiaibishe ukoo!

Kwa ufupi LATRA ni regulatory body ya hizi biashara za usafirishaji na ndio inatoa leseni kwa haya makampuni. So Ina wajibu wa kuratibu mwenenedo wake ikiwemo masuala ya bei. Biashara huria haina maana unaweza kujiamulia utakavyo, kuna governing rules lazima uzifuate. Muwe mnajisomea ili kujifunza vitu vidogo vidogo kabla ya kuja kujichoresha.
 
Ww umeongea tatzo moja tu kuna matatzo zaidi ya moja

Moja latra wanataka kuongeza kiasi kikubwa cha nauli sababu mafuta yamepanda wote tunajua mafuta yamepanda kwa tsh 300+ lakini wanatala kupandisha nauli zaid ya 1k

Pili Latra wanaka nauli zipande then commission ishuke

Tatu kuna swala la kodi ya serikali

Yoye kwa yote bado kuna meza ya mazaungumzo hopefully watayamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…