Kuna mistari ya Biblia ukiisoma unakataa sio maneno ya Mungu

biblia na quran vyote vina maneno ya ajabu ambayo hata kichaa anakataa sio maneno ya Mungu
Ni kweli kabisa.mungu ameshusha amri kumi tu mengine tume tengeneza ChatGPT japo huko nyuma zilibeba utamaduni na tabia za watu.
 
Shida zinatupata kwa sababu hatumtii mungu, tukizifuata Sheria zake na kutubu zambi tulizofanya, hayo mabaya hayatatupata
mkuu umeangalia hiko kisa huko NYUMA ilikuwaje mpaka kufikia hatuna ya kusema hivo
 
Jaribu kufafanua wewe umeelwaje mistari hiyoo
mfano kifo chake kuuwawa kwake na hayo maneno aliyoyasema yanaendana na yaliyotokea alikuja kuleta upanga kama ni amani wanadamu wasinge muuwa na kama asinge kufa kama sadaka ya mwanakondoo wanadamu wasinge okolewa.

Nakushauri namna nzuri ya kusoma biblia nenda kaanzie kitabu cha mwanzo soma mstari kwa mstari hadi ufunuo naamini utaelewa mawili matatu biblia ni kama series ndio maana tunaona kuna agano la kale na jipya lakini ukiwa unanyakua nyakua content za nyuma mbele huwezi kuelewa kamwe.
 
Me namfahamuu mkuu Sasa mtoa mada ndo shida
 
Kama yapi labda wew ndio kichaa
Wapi mungu kasema kuhukumu mwanadamu kwa kifo,wapi sehemu kwenye amri kumi ikisema kama amri kumi.
Zaidi ya kusikia katiba tu za watu kuliko sheria za mungu 10.
 
hekaya za mashariki ya kati.....
Tafuteni za kwenu watu weusi...
 
bonge la kitabu limeandika nyoka anaongea

wewe kwa akili zako timamu unaamini nyoka huwa anaongea?
Ndugu zako watafutwe Unanganywe simu yako sasa maana naona umeanza kuchanganyikiwa
 
Biblia inasema pia "Mjue sana Mungu ili uwe na amani na ndipo mema yatakapokuuua" Sasa wewe unahoji vipi Neno la Mungu inhaling wewe humjui huyo Mungu? Kila Andiko lina mahali pake. Na Mungu ana sifa nyingi sio moja tu. Mfano: Mungu ni wa upendo lakini pia Mungu ni wa haki. Mungu ana wivu na tena ana hasira. Mungu anaokoa na pia Mungu anaangamiza! Kazi kwako mjue kwanza Mungu. Na huwezi kumjua Mungu bali kupitia Yesu Kristo!
 
Safii
 
Hqpo wewe ulieandika ndio unatatizo.la kuelewa Biblia kama ungeuliza ungepewa jibu lkn kwa kuwa umekuja na hukumu basi unajihukumu mwenyewe Biblia iko sawa kabisa inahtaji uelewa kwa anayekuelewa akutafsiriwe wanafunzi wa Yesu kuna wkt waliuliza maswali na walikuwa na Yesu Biblia inahtani uelewa sio kusoma tu.
 
Ndivyo mema yatakavokujia naona typing error "yatakopokuuua"
 
Ndugu zako watafutwe Unanganywe simu yako sasa maana naona umeanza kuchanganyikiwa

Jibu hoja , acha kukimbia kwa ujanja..
je biblia haijaandika kama nyoka anaongea?
 

Kama Mungu ana hasira na anaangamiza

Mbona mpaka leo hii ameshindwa kumuangamiza na kumuua shetani ?
 
Religion is the biggest scam eti juma na swaleh hawampendi wile na Charles wakati wanafanana rangi ya ngozi mpaka nywele.

Muslims wanawapenda waaarabu na wanaamini ndio wenzao halafu Christian wanaamini wazungu ndio wenzao.
Inafikirisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…