Kuna mitaa imelaaniwa

na wengi wanaishi watoto wa mnyazi mungu
 
Uko sahihi kabisa!Ila Mungu akiamua watu hutoboa kama mwanamziki...dmdTandale.
 
Na hayo maeneo ni yale ya wastaafu wa zamani walijenga kwa tofali na bati na ni nyumba ya vyumba sita.sema ni zamani sababu choo nje na urefu wa nyumba ni çozi 8 .na viwanja vina hati sema ni high density.maji umeme upo na ni karibu na lami au lami ipo.
Wastaafu hawa watoto wao wamejenga kwengine,wao wapo na wapangaji wenye uhitaji wa hivyo vyumba sababu kodi yao ipo chini na makazini kwao wanaenda kwa miguu.sasa watoto wao wanajua mapenzi mapema mno yaani kuanzia la nne mtoto anajua kukatika akifika la saba mpaka form four yeyote ana mbeba sababu ya kuzidiana ukwale kati ya mpangaji na mpangaji,mtoto huvutwa mlango wa pili au wa watatu sababu vijana waliopaNga wananguvu ya kuzitoa bikra zao na wana ushawish wa kipesa pesa.
Ila mimi lililonishinda ni kumlubun mtoto mdogo hata awe tipwa tipwa siwezi.
 
Hakuna cha laana wala mdogo wake laana;Hapo lilikuwa ni suala la muda tu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mtu unaendekeza pombe
Unaendekeza Umalaya Uzinzi
Unaendekeza pombe na sigara hivi kwa Akili ya kawaida unawezaje kutoboa kwa style hii .

Ukiona mtu yeyote katika haya Maisha amekwama Ebu jaribu kutazama pia tabia zake .

Swala la laana au baraka halipo Watu wanajidhuru badala ya kujiponya hivyo tutasingizia laana ila sio kweli that is way wanaojitambua na kuwa na tabia nzuri wamefanikiwa .

The power of habit Always determine our L I F E and goals.


Hii mitaa ya Uswahilini yenye Extreme poverty ebu watazame Wapemba Mbona wait wamefanikiwa katikati ya hayo MAZINGIRA yenye umasikini the chances are ni kuboresha tabia zetu na sio kusingizia laana
 
Nakubaliana naww, hiki kipindi cha mvua huku uswahilini eti kuna kijumba cha vyumba viwili kime anguka ila upande wa chumba kiingine pako fresh anaweza kuji hifadhi, eti anapitisha daftari la mchango wa alfu mbilimbili achangiwe ajenge, sasa je na yule alio kwama kodi je nae aombe mchango!!?? Uswahilini kweli kuna vituko, mm nikastuka hapo kuna game ya chuma ulete pia ....uswazi laana ime tawala
 
Mkuu katika elimu/mambo ya kiroho inasemekana kuna malango ya kitaifa,kimkoa kwenda chini mpaka kijiji. Watawala wa hayo malango ndo huamua eneo hilo liweje na watu wake, ukienda wewe mgeni ukikaa kwa muda mrefu lazima utafanana nao.
Hichi kitu mwalimu Mwakasege alishawahi kukizungumzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…