Kuna mitaa imelaaniwa

Kuna mitaa imelaaniwa

Ulishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne! Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia yenye gari na kama lipo ni mkweche! Wanawake ni kupiga majungu na wanaume vijiwe vya kahawa na draft!.
Ndo nikagundua sio tu kuwepo kwa familia zilizolaaniwa, lakini pia kuna mitaa iliyolaaniwa! Kuna vijiji/kata zimelaaniwa! Kuna wilaya zimelaaniwa (kama wilaya ya kisarawe)! Kuna miji imelaaniwa miji mingi katika mikoa ya pwani, Tabora na kigoma! Unapokuwa unatafuta maisha fanya uchunguzi wa mitaa/kata/wilaya/miji unayoenda vinginevyo hutoboi! Mwisho wa siku lazima hali yako ya maisha iendane na wao! Nikagundua nyuma ya pazia kuna wachawi wanakaa katika malango ya njia kuratibu kila anayekuja na kuishi hapo na kumpiga tukio! Haya mambo magumu sana kuelewa!
na wengi wanaishi watoto wa mnyazi mungu
 
Uko sahihi kabisa!Ila Mungu akiamua watu hutoboa kama mwanamziki...dmdTandale.
 
Tatizo letu ni kuhusianisha kika kitu na ushirikina. Inachekesha kuona kwamba nchi zilizoendelea hua zinaliona bara zima la Afrika ni kama limelaaniwa kwa jinai lilivyo nyuma, wakati huo huo eti na sisi humu ndani tunanyoosheana vidole kwamba eneo fulani limelaaniwa..😆😆

Wakati kiuhalisia sisi wote ni giza tupu tofauti ni ndogo sanaa..
Na hayo maeneo ni yale ya wastaafu wa zamani walijenga kwa tofali na bati na ni nyumba ya vyumba sita.sema ni zamani sababu choo nje na urefu wa nyumba ni çozi 8 .na viwanja vina hati sema ni high density.maji umeme upo na ni karibu na lami au lami ipo.
Wastaafu hawa watoto wao wamejenga kwengine,wao wapo na wapangaji wenye uhitaji wa hivyo vyumba sababu kodi yao ipo chini na makazini kwao wanaenda kwa miguu.sasa watoto wao wanajua mapenzi mapema mno yaani kuanzia la nne mtoto anajua kukatika akifika la saba mpaka form four yeyote ana mbeba sababu ya kuzidiana ukwale kati ya mpangaji na mpangaji,mtoto huvutwa mlango wa pili au wa watatu sababu vijana waliopaNga wananguvu ya kuzitoa bikra zao na wana ushawish wa kipesa pesa.
Ila mimi lililonishinda ni kumlubun mtoto mdogo hata awe tipwa tipwa siwezi.
 
Kipind nkiwa mdogo kijijini kwetu hamna aliekua na gari ila watu walikua wanamiliki ng'ombe nyingi wanahama nao, mara Moro goro, wengine Manyara park.

Watoto walikua hawamalizi shule wanachunga wanaoa na kuolewa mapema [emoji848]nawaza je hyo ni laaana?

Saiv nikienda pale pale kijijini umeme upo, maji ya kutosha, bara bara zipo watu wamejenga sana na vyombo vya usafiri vipo[emoji848][emoji848][emoji848]sasa nawaza kama ile ilikua laaana imemalizwa na nn?
Hakuna cha laana wala mdogo wake laana;Hapo lilikuwa ni suala la muda tu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mtu unaendekeza pombe
Unaendekeza Umalaya Uzinzi
Unaendekeza pombe na sigara hivi kwa Akili ya kawaida unawezaje kutoboa kwa style hii .

Ukiona mtu yeyote katika haya Maisha amekwama Ebu jaribu kutazama pia tabia zake .

Swala la laana au baraka halipo Watu wanajidhuru badala ya kujiponya hivyo tutasingizia laana ila sio kweli that is way wanaojitambua na kuwa na tabia nzuri wamefanikiwa .

The power of habit Always determine our L I F E and goals.

Hii mitaa ya Uswahilini yenye Extreme poverty ebu watazame Wapemba Mbona wait wamefanikiwa katikati ya hayo MAZINGIRA yenye umasikini the chances are ni kuboresha tabia zetu na sio kusingizia laana
 
Nakubaliana naww, hiki kipindi cha mvua huku uswahilini eti kuna kijumba cha vyumba viwili kime anguka ila upande wa chumba kiingine pako fresh anaweza kuji hifadhi, eti anapitisha daftari la mchango wa alfu mbilimbili achangiwe ajenge, sasa je na yule alio kwama kodi je nae aombe mchango!!?? Uswahilini kweli kuna vituko, mm nikastuka hapo kuna game ya chuma ulete pia ....uswazi laana ime tawala
 
Mkuu katika elimu/mambo ya kiroho inasemekana kuna malango ya kitaifa,kimkoa kwenda chini mpaka kijiji. Watawala wa hayo malango ndo huamua eneo hilo liweje na watu wake, ukienda wewe mgeni ukikaa kwa muda mrefu lazima utafanana nao.
Hichi kitu mwalimu Mwakasege alishawahi kukizungumzia.
 
Back
Top Bottom