Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Hilo halitasaidia kuimprove hali ya uchumi huku mitaani na kushusha dolla
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are such a shameless agent of devil!!!Kuna wimbi la makusudi la uvunjaji sheria wa makusudi ili tukamatwe wazungu waingilie kati,kwani itaonekana tunagandamizwa,sawaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
umempa jina halisi analostahili kuitwa hasa !You are such a shameless agent of devil!!!
50000000 gawia 20000= 2500.
Aiseee !!!!50000000 gawia 20000= 2500.
Tuchukulie vijiji hasa vya mijini vina wafanyabiashara wadogo wadogo 2500. Kila mmoja akilipia kitambulisho jumla inakuwa 50 Mil ambayo tuliahidiwa.
Kumbe tuliahidiwa kukamuliwa 50 Mil kila kijiji kijanja namna hii.
CCM ni ile ile.
Wenzenu wanatumia JF kubadilishana mawazo na ikiwezekana kupunguza stress, lakini nyie mnaitumia kulishana machicha ya nazi na kupandishana stress zenu kwa stori za kutungwa vijiweni. Nani akae kupanga kukamata wapinzani!!Huu utawala umeshafeli. Utawala unaogombana na kila mtu!!!? Sasa wakikamata viongozi wa Wananchi ndio dola itashuka au!!!? Pathetic!!!
Kama wanakaa na kupanga waozeshe korosho za wakulima Kisha wawarudishie, wanashindwa nini kukaa na kupanga kuwakamata viongozi wa upinzani. Juzi tumemsikia naibu Waziri aliye katika ofisi ya Rais akitamka hadharani juu ya kumtanguliza mpinzani ili wao wapate maendeleo, wanashindwa nini kuwakamata ili mioyo yao ifurahi, sadist wakubwa nyie.Wenzenu wanatumia JF kubadilishana mawazo na ikiwezekana kupunguza stress, lakini nyie mnaitumia kulishana machicha ya nazi na kupandishana stress zenu kwa stori za kutungwa vijiweni. Nani akae kupanga kukamata wapinzani!!
Hamna cha sadist wala nini, unaleta emotions kwenye siasa! Wewe hujui kuwa hao wanaokamatwa pia ni turufu kwao kisiasa na inaendana na hoja za mzee wa harambee.Kama wanakaa na kupanga waozeshe korosho za wakulima Kisha wawarudishie, wanashindwa nini kukaa na kupanga kuwakamata viongozi wa upinzani. Juzi tumemsikia naibu Waziri aliye katika ofisi ya Rais akitamka hadharani juu ya kumtanguliza mpinzani ili wao wapate maendeleo, wanashindwa nini kuwakamata ili mioyo yao ifurahi, sadist wakubwa nyie.
Huwa inashangaza Emolo kuitwa tall. Lakini kwa andiko hili ni sawa kabisa. Inatiasha kwa the tallest kuandika the lowest uzi. You can't live crooked and think straight! Pathetic.Kuna wimbi la makusudi la uvunjaji sheria wa makusudi ili tukamatwe wazungu waingilie kati,kwani itaonekana tunagandamizwa,sawaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
"Inatiasha" ndio nini?.mbuzi mawe wahed"Huwa inashangaza Emolo kuitwa tall. Lakini kwa andiko hili ni sawa kabisa. Inatiasha kwa the tallest kuandika the lowest uzi. You can't live crooked and think straight! Pathetic.
Hii ni taarifa iliyovujishwa na baadhi ya wazalendo waliochoshwa na uonevu wa kishamba , kwamba viongozi hao wa Upinzani wakamatwe ili kuwatisha na kuwavunja moyo , wanyimwe dhamana angalau kwa wiki moja au mbili ili kuwakomoa .
Hii ni amri iliyosambazwa nchi nzima , huku ikidaiwa kuwa chanzo chake ni kufeli kwa Mkakati wa kuwashawishi masikini kukikimbilia kitambulisho cha wamachinga ambacho sasa kimepewa jina jipya la KODI YA KICHWA , inaaminika kwamba kufeli kwa mkakati huo wa kukamua kila masikini Tsh 20,000 kumesababishwa na wanasiasa wa Upinzani wanaonekana kutumia kila nafasi ndogo wanayopata , ikiwemo mitandao ya kijamii kuwaamsha wananchi na kuwaelimisha kuhusu haki zao.
Tutaendelea kuwahabarisha kila ovu wanalopanga kwa kadri wasamalia wema waliojaa uzalendo watakavyokuwa wanavujisha habari zao.
Naomba kuwasilisha

unatafsiri vibaya sana azimio la Zanzibar , nadhani unayo masilahi kwenye hii kamata kamata , bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba ANAYEKULA NYAMA YA MTU HAACHI , akimaliza hawa chadema unayefuatia ni wewe , mwangalie Nape kama somoAzimio la Zanzibar liliweka wazi kuwa kiongozi yeyote wa upinzani ambaye angekamatwa na kuwekwa mahabusu au jela kwa sababu yoyote ile basi ingetangazwa duniani na ulimwenguni kote kuwa huyo ni mfungwa wa kisiasa.Yaani waliweka azimio la kusema uongo na kuutangazia umma huo uamuzi wa kudanganya ulimwengu. Sasa ni wazi kuwa kwa vile wafungwa wa kisiasa hawatangazwi mara kwa mara basi hao wapinzani wameweka mkakati wa ku-provoke na kuchokoza makusudi ili wawekwe ndani halafu ulimwengu utangaziwe kuwa wafungwa wa kisiasa wanaongezeka TZ. Je huu mkakati wa kudanganya utafanikiwa???
Hivi Mdee na Musiba ni nani mchochezi ? maana hata kama kichwani mwako mna matope basi hata hili hulioni ?Siyo kwmba viongozi wa CHADEMA wameelekezwa wavunje sheria kwa maksudi ili wakamatwe halafu wale kile kikundi cha John Mrema kipate cha kuandika ili 'wafadhili' waendelee kutoa fedha za 'kupigania' demokrasia? Kama ilivyokuwa kwa miradi mingine ukiwemo ule mradi uliompa pressure Mzee Ndesa, hata huu nao utafikia mahali wafadhili watakinai, maana hakuna mchasosimamia zaidi ya kubuni maisha ya UKUPE. Nakusalimu Dr Slaa.