ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,739
- 2,697
Nimeleta mada kwenu tajwa hapo juu.
Katika harakati zangu za mizunguko ya hapa na pale , nimejikuta naanzisha mazoea na mke wa mtu ,mwisho wa siku nikamkaribisha kwangu kwa bahati nzuri akaniambia anakuja ile alivyokuja nikamtamkia nampenda ila alichonisihi akaomba iwe siri yangu mimi na yeye ,mtu yeyote asijue hata kama ni rafiki yangu , basi nikasema sawa haina shida siku ile ile akasema ajipumzishe kitandani kwangu ya bila mimi kumjuza maana aliniambia anasikia usingizi ,nami nikamwambia pumzika wala hakuna shida alivyopumzika ..
Nikaendelea na mapishi ya chakula cha mchana nikapika nikaivisha ,nikamuita kula akasema ashakula wala hahitaji kula tena ,ndo nikambembeleza lakini ikashindikana .
Nikaanza kula nilivyomaliza kula nikaingia kuoga baada yakuoga nami nikaenda kujipumzisha , ile kujipumzisha akawa anapekua simu yake kwa kuangalia picha zake na za ndugu zake , nami nikaenda nikawa mtazamaji .
Ilinibidi nimuombe sasa mzigo akaanza kuvua mpaka nikashangaa mbona amekuwa mwepesi hivo au shida nini, kiukweli nilijawa mashaka mengi sana ,akili yangu ikinituma ana UKIMWI maana nauogopa ugonjwa huo kama UKOMA .
Basi buana alivyovua nikamchezea kwa kidole ndani ya dakika kadhaa , akawa amemwaga huku DUSHE langu likiwa limechungulia kunako ila likaogopa kuzama kwa ndani basi liliishia kupachungulia kwa nje ila akanipiga madenda hatari ila kiakili nikiwa nawaza napata UKIMWI hapa , imekuwa mara mbili sasa natongoza kila naye mtongoza anakuwa mwepesi kuliko nilivyodhoea yale magumu mpaka kupewa mzigo.
Hii hali imenifanya nishindwe kujiamini kwenye sex maana naamini hawa wepesi ndo wenye UKIMWI .
Basi buana yule mke wa mtu amekuwa akinitafuta mara kwa mara huku ana mtoto anayenyosha mwenye mwaka na mwezi nafikiri.
Lengo lakuleta kwenu uzi huu nikuhitaji kujuzana mambo kadhaa , Je unaweza kupata UKIMWI kwa kulana Denda kama hana michubuko kwenye ulimi au mdomoni ?
Je na kuichezesha DUSHE kwa juu bila kuzama kunako sehemu husika unaweza pata maambukizi ya VVU?