Ongezea pia kuuliza why hawafi haraka?Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari 2006 2010 ila ni mmama kabisa yaani yule after 4 to 5 atakuwa na wajukuu kabisa..
Sasa kuna rafiki yangu naye nikawa namuadithia ndio akanisha hoi kabisa akanikumbusha ex wake wa sekondari eti now ni mama mchungaji tena mchungaji mmoja mkubwa kiumri sana..
Jamani hawa jinsia ke kwanini wanazeeka haraka hivi.
Ukifikia umri wa kuwa mwanaume hayo mawazo ya kuoa katoto kadogo ili asizeeke mapema yataisha...na ukishakuwa tayari kuwa mume, baba wa watoto huwezi waza uzee wa mwenzio bali mkeo akishazaa ndo utaona uzuri wake akiwa ananyonyesha mwanaoKqbisa yaani itatubidi tuoe tuliwazidi 10 years isee..
Comment yako nzuri kama jina lako..maana yake nini hili jina "Eldora"?Ukifikia umri wa kuwa mwanaume hayo mawazo ya kuoa katoto kadogo ili asizeeke mapema yataisha...na ukishakuwa tayari kuwa mume, baba wa watoto huwezi waza uzee wa mwenzio bali mkeo akishazaa ndo utaona uzuri wake akiwa ananyonyesha mwanao
maana yake mzee 😀Comment yako nzuri kama jina lako..maana yake nini hili jina "Eldora"?
Na huo ndio ukweli sema ww unakuwa hujioni 🤣🤣🤣🤣Kitu usichojua ni kuwa hata yeye anakuona umekuwa mbaba,umezeeka. Kuna siku nilikutana na class mate wangu wa sekondari zaidi ya miaka 20 nyuma, nilimuona kazeeka sana ila akili ikaniambia na yeye ananiona hivyo hivyo sema mimi mwenyewe nimejizoea sion kama nimezeeka.
Mimi sijui Mungu kanipa udongo gani..nikikutajia umri wangu na umbo langu unaeza sema nadanganya ..umbo langu ni kama kijana wa 25 ila huo umri sasa mmmmhKitu usichojua ni kuwa hata yeye anakuona umekuwa mbaba,umezeeka. Kuna siku nilikutana na class mate wangu wa sekondari zaidi ya miaka 20 nyuma, nilimuona kazeeka sana ila akili ikaniambia na yeye ananiona hivyo hivyo sema mimi mwenyewe nimejizoea sion kama nimezeeka.
kujitunza and mazoezi km hivi vitu hufanyi hata ww mwanaume utakua km mti uliokosa mbolea so in nutshell hawajitunzi zaidi ya makeup ya usoniKawaida akishazaa watoto basi umri ushaenda hata mvuto unapotea
Kwa hiyo mlikutana wazee yaani. Uliona hesabu za wapi wenzio wqnazeeka ww huzeeki?Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari 2006 2010 ila ni mmama kabisa yaani yule after 4 to 5 atakuwa na wajukuu kabisa..
Sasa kuna rafiki yangu naye nikawa namuadithia ndio akanisha hoi kabisa akanikumbusha ex wake wa sekondari eti now ni mama mchungaji tena mchungaji mmoja mkubwa kiumri sana..
Jamani hawa jinsia ke kwanini wanazeeka haraka hivi.
Maana ake mama wa makamo kijana wanguComment yako nzuri kama jina lako..maana yake nini hili jina "Eldora"?